Kwa aina hii ya viongozi wa Wizara ya Habari, Katibu Mkuu Kiongozi ataweza kutekeleza ahadi yake ya kuunganisha Serikali?

Kwa aina hii ya viongozi wa Wizara ya Habari, Katibu Mkuu Kiongozi ataweza kutekeleza ahadi yake ya kuunganisha Serikali?

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2018
Posts
539
Reaction score
3,507
Ngoma aliyopiga Mhe Rais kuhusu Uhuru wa vyombo vya habari imewachanganya wachezaji na kila mmoja anacheza kwa style yake Kama ifuatavyo;

1. Gerson Msigwa alileta barua ndeefu inayotamka vyombo vilivyofungiwa vifunguliwe, Mkurugenzi Ikulu
2. Baadaye kidogo Dr. Abbass akaja na kauli kwamba kilichoelekezwa kufunguliwa ni online TV
3. Msigwa akarudi na kichwa Cha habari "Ufafanuzi" akasema Mhe. Rais amesema kitakachofunguliwa ni online tv, hapa kavaa kofia ya Msemaji wa serikali
4. Kabla jua alijazama akajitokeza Waziri Bashungwa nakusema kilichofunguliwa ni online tv ila wenye Magazeti yaliyofungiwa wanaweza kufika ofisini wakajadiliana kuhusu sheria iliyotumika

Naangalia hii ngoma ilivyochezwa, naangaliwa wachezaji walivyopoteana na nalinganisha au nausianisha na tatizo aliloahidi kulipatia ufumbuzi Katibu Mkuu Kiongozi la disconnection ya serekali najiuliza ataweza kutimiza mpango wake?

Kwa kauli moja ndani ya serikali moja inaweza kuibua senior official s wa Wizara kila mmoja kwa muda wake na kwamtizamo wake, Je, wizara na wizara zinazungumza lugha gani? Nidhamu itakuwepo? Katibu Mkuu Kiongozi Hawa watu utawaweza?
 
Mama ndie mwenye makosa ANATAKA AFANYE MENGI AMFURAHISHE KILA MTU KWA MUDA MFUPI anavuruga mfumo anachanganya watu akae atulie aanze na kimoja badala ya kingine asijifanye kana kwamba alikua shimoni ilihali alikua MAKAMO
 
Anavuruga Chama , usimamizi madini , wakusanya kodi , mifumo ya uongozi , mara azungumzie elimu mabadiliko mara atake kuajiri yote ndani ya wiki mbili TULIA MAMA nenda pole pole ...
 
Rais kuendelea kumbakiza ofisini Dr Abbas kama katibu mkuu wa wizara ni kujidhalilisha mwenyewe na kuwatukana watanzania.

Dr Abbas alipaswa aondolewe ofisini mara moja ikiwezekana hata kwa makofi.

Ni miaka 6 mfululizo wizara hii ni kama haina waziri na katibu mkuu, wizara nyeti kama hii imegeuzwa kama laboratory kwajili ya wapumbavu kufanya majaribio ya upumbavu wao.

So sad.
 
Anavuruga Chama , usimamizi madini , wakusanya kodi , mifumo ya uongozi , mara azungumzie elimu mabadiliko mara atake kuajiri yote ndani ya wiki mbili TULIA MAMA nenda pole pole ...
Ukiona ujue uongozi uliopita ulikuwa wa hovyo
 
Wakina NAPE ., Kigwangwala,, na ma-snitch wengine wana-kupressurize through social media mana washajua weakness sasa subiri upepo wa wafanya biashara matajiri ambao bado wanakusoma utaiona hii nchi chungu
 
Huwezi vunja alichofanya magufuli ndani ya wiki mbili atapasuka msamba aende taratibu
Ndg yangu tuliza Ubongo,Sahau Mh.Magufuri na impact yake ilikoma tarehe 17 March,2021.Kwa sasa Rais wa JMT ini SSH. yaliyopita sindwele...Tuliza ubongo na kubaliana na matokeo.Ni ushauri wa bure then Blessed
 
Mimi huna haja ya kunishauri mshauri MAMA ana-deal na watu sio computer system unaweza uipige chini uweke nyingine within a minute
 
Mama ndie mwenye makosa ANATAKA AFANYE MENGI AMFURAHISHE KILA MTU KWA MUDA MFUPI anavuruga mfumo anachanganya watu akae atulie aanze na kimoja badala ya kingine asijifanye kana kwamba alikua shimoni ilihali alikua MAKAMO
Inaonekana unaumia sana huko ulipo
 
Kosa kubwa alilofanya Mama ( Mheshimiwa Rais ) ni Kuwabakisha Wawili hawa Gerson Msigwa na Dkt. Hassan Abbas katika Mfumo na hii Awamu yake ya Uongozi.
 
Kavuruga mfumo gani Mama??? Au mfumo wenu wa ulaji sukuma gang???
Mama ndie mwenye makosa ANATAKA AFANYE MENGI AMFURAHISHE KILA MTU KWA MUDA MFUPI anavuruga mfumo anachanganya watu akae atulie aanze na kimoja badala ya kingine asijifanye kana kwamba alikua shimoni ilihali alikua MAKAMO
 
Anavuruga Chama , usimamizi madini , wakusanya kodi , mifumo ya uongozi , mara azungumzie elimu mabadiliko mara atake kuajiri yote ndani ya wiki mbili TULIA MAMA nenda pole pole ...
Duuu sasa mataga mna mama tu. Atakoma
 
Moja kati ya kosa kubwa la mama ni kushindwa kuleta sura mpya ambazo zitatekeleza kile anachoamini badala yake anatumia watu ambao haendani nao kimtazamo na kwa upande mwingine hawamuheshimu. Kuwahamisha Idara haitoshi.

Inaeleweka kila Rais anapoingia madarakani anakuja na watu wake wapya na wazamani anawaacha wachache sasa mama amedharau huu utamaduni na utamghalimu mbele huko asipolitafutia ufumbuzi mapema.

Alichofanya Abbasi ni ukosefu wa adabu wa wazi lakini pia halikuwa jukumu lake kutolea ufafanuzi wa kauli ya Rais, sasa huyu ameonekana vipi ambao wanafanya gizani.
 
Mh Rais fukuza Msigwa fukuza Dr Abas bila hivyo watakupanda kichwani hutaamini ww ni mama mwema unataka utuongoze kistaalabu ila baadhi ya watumishi wako wanaroho mbaya watakuhalibia au watataka uwe na roho mbaya km wa
 
Back
Top Bottom