kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Ngoma aliyopiga Mhe Rais kuhusu Uhuru wa vyombo vya habari imewachanganya wachezaji na kila mmoja anacheza kwa style yake Kama ifuatavyo;
1. Gerson Msigwa alileta barua ndeefu inayotamka vyombo vilivyofungiwa vifunguliwe, Mkurugenzi Ikulu
2. Baadaye kidogo Dr. Abbass akaja na kauli kwamba kilichoelekezwa kufunguliwa ni online TV
3. Msigwa akarudi na kichwa Cha habari "Ufafanuzi" akasema Mhe. Rais amesema kitakachofunguliwa ni online tv, hapa kavaa kofia ya Msemaji wa serikali
4. Kabla jua alijazama akajitokeza Waziri Bashungwa nakusema kilichofunguliwa ni online tv ila wenye Magazeti yaliyofungiwa wanaweza kufika ofisini wakajadiliana kuhusu sheria iliyotumika
Naangalia hii ngoma ilivyochezwa, naangaliwa wachezaji walivyopoteana na nalinganisha au nausianisha na tatizo aliloahidi kulipatia ufumbuzi Katibu Mkuu Kiongozi la disconnection ya serekali najiuliza ataweza kutimiza mpango wake?
Kwa kauli moja ndani ya serikali moja inaweza kuibua senior official s wa Wizara kila mmoja kwa muda wake na kwamtizamo wake, Je, wizara na wizara zinazungumza lugha gani? Nidhamu itakuwepo? Katibu Mkuu Kiongozi Hawa watu utawaweza?