Kwa aina ya mpira anaocheza Kylian Mbappe, atapotea baada ya kufikisha miaka 30

Di Maria yule mtu na nusu,jana kounde alimshukuru kocha fala wa Argentine kumtoa na kuingia Acuna.

Mbappe anachenga ya aina moja tu na mbio ndio maana jana imemchukua dakika 78 kuanza kuonekana uwanjani.
 
Watu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki

Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?

Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
 
Kila nikimuangalia huyu mchezaji ninaona anatumia mbio nyingi na ndio mafanikio yake yapo hapo.

Akishavuka miaka 30 hataweza kukimbia kwa kasi ya sasa hivi na hapo atapotea kama alivyopotea Christiano.
1. Ronaldo hajapotea akiwa na miaka 30, sasas hivi ana miaka 38 na msimu uliopita tu alikuwa anagombania ufungaji bora, mchezaji akifika miaka 38 ni mkubwa sana, malegend wengi wanastaafu chini ya miaka 35.

2. Mbappe hahitaji hata kufika miaka 30 kuweka legacy yake, jamaa ana stats za kutisha sana, kama Rooney, Owen, Neymar na golden boy wengine huwa wanastaafu mapema sababu wameanza kucheza at top level wakiwa wadogo.

267659101_1012002629349472_7011198649200560731_n.jpg
 
1. Ronaldo hajapotea akiwa na miaka 30, sasas hivi ana miaka 38 na msimu uliopita tu alikuwa anagombania ufungaji bora, mchezaji akifika miaka 38 ni mkubwa sana, malegend wengi wanastaafu chini ya miaka 35.

2. Mbappe hahitaji hata kufika miaka 30 kuweka legacy yake, jamaa ana stats za kutisha sana, kama Rooney, Owen, Neymar na golden boy wengine huwa wanastaafu mapema sababu wameanza kucheza at top level wakiwa wadogo.

View attachment 2452173
Na Messi kwa umri huo wa 23 usikute alikuwa na penati 84
 
Watu mliokuwa mnaangalia mpira kupitia TBC huwa hamfichiki

Kwa hiyo nawewe ulikuwa unamsikiliza Nazareth Upete na kumuamini?

Eti chenga ya aina moja' we ulitaka awe nazo pea ngapi?
Yule mtangazaji ni fala sana😂 Kila sekunde...anatamka (Acuna) akunya akunya akunya hata asipokuwa na mpira.
Mara aongea kiarabu mara kiiraq aah tafrani tu
 
Yule mtangazaji ni fala sana? Kila sekunde...anatamka akunya akunya...acuna
Kwanza naye alikuwa haoni vizuri kama sisi tu

Nimeshuhudia matukio mawili akiyatafsiri ndivyo sivyo kulingana na low quality ya streaming

Hadi kwenye sub napo alikuwa anachemka anataja watu wasio husika kama ndio wanaofanya mabadiliko
 
Walikuwa wanaharibu ladha ya mpira kabisa, anatangaza anaacha mara achambue..hovyo hovyo tu
 
1. Ronaldo hajapotea akiwa na miaka 30, sasas hivi ana miaka 38 na msimu uliopita tu alikuwa anagombania ufungaji bora, mchezaji akifika miaka 38 ni mkubwa sana, malegend wengi wanastaafu chini ya miaka 35.

2. Mbappe hahitaji hata kufika miaka 30 kuweka legacy yake, jamaa ana stats za kutisha sana, kama Rooney, Owen, Neymar na golden boy wengine huwa wanastaafu mapema sababu wameanza kucheza at top level wakiwa wadogo.

View attachment 2452173
Ni kweli mbappe statistics zinatuonesha anaweza kuvunja rekodi nyingi lakini kwa ile kasi yake bado nina mashaka kama atakuwa bora baada ya miaka 30.
 
Back
Top Bottom