Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Shein alitaka kukubali matokeo 2015 na kumuachia Maalim weweee Vasco da Gama mkwere hadi akahairisha uzururaji mtoni nakugeuza faster hadi Zenji pamoja na Mkapa na maafisa wa TISS utadhani wanaenda kupinga hukumu ya kifo. Shein alikaripiwa utadhani mtoto mdogoOf course.
Nyerere alilisema hili katika hotuba yake moja.
Alisema kila alipotaka kujiuzulu, wapambe wakawa wanamwambia "Mwalimu nchi inakuhitaji sana, nchi inakuhitaji sana".
Akawa anaaahirisha miaka mitano.
Baada ya miaka mitano, akisema tena anataka kung'atuka, akawa anapewa habari zile zile.
Baadaye akaja kustuka, hapa kuna nchi kunihitaji au hawa watu wanapata faida mimi nikiwa rais na hawajui rais ajaye atakuja na watu gani?
Akaamua kujiuzulu.
Alilisema wazi hili katika moja ya hotuba zake.
Na hii si Tanzania tu.
Kuna uchaguzi mmoja wa Zimbabwe Mugabe alishindwa na Morgan Tsvangirai.
Mugabe akasema yupo tayari kukubali kushindwa. Kukubali matokeo.
Vyombo vyake vya usalama vikamwambia tulia mzee, hakubali matokeo mtu hapa.
Ukikubali matokeo ikaja serikali ya wapinzani hapa, tutafungwa wote kwa ushenzi tuliowafanyia.
Hii habari inajirudia Tanzania.
Mimi sioni kama Magufuli atataka kuongeza muda. Ingawa naye hatabiriki.
Amesema mara kadhaa kwamba hana nia hiyo. Na hilo ni jambo zuri.
Lakini wapambe wake ni kama hawataki kukubali hilo.
Ok, so, me being me. The independent minded guy that I am. Native citizen of Realville. That straight shooter that I am. I am no shrinking violet when it comes to expressing my views.
So I’m going to go out on a limb today and say it. If this means I’ll have to eat crow a couple years from now for being dead wrong, then so be it.
Ni hivi: Rais Magufuli [sidhani] kama atajiongezea muda ili atawale kwa zaidi ya miaka 10.
Minong’ono na hofu iliyopo hivi sasa kwamba atajiongezea muda, ni maneno tu. Ni hewa.
Kwa nini nasema hivyo? Ni kwa sababu zifuatazo:
1. Urais ni mzigo. Ni mzigo mzito wenye kuleta msongo wa mawazo. Ni aina ya mateso flani hivi.
Kwa mtu anayejali kufanya kazi na siyo kula bata, basi mtu wa aina hiyo hawezi kutamani kuwepo madarakani kwa kipindi kirefu kuzidi miaka 10.
Ila kwa mtu mla bata asiyejali kazi, kama alivyokuwa Mobutu wa Zaire au Bokassa wa Afrika ya Kati, atataka aendelee kutawala milele.
Rais Magufuli si mla bata. Jamaa dizaini hata pombe [no pun intended] hanywi. Sidhani kama anavaaga masuti ya bei mbaya.
Jamaa hata mamtoni huwa haendi.
Hata mkewe ukimwangalia unaona kabisa naye si mtu wa bata. Sijawahi kumwona kabeba sijui Birkin bags wala kuvaa red bottoms [Christian Louboutins]. Yeye ni mtu wa magauni ya vitenge tu na tu viatu twa kawaida.
Hata weave [wabongo mnaita weaving] yule mama sijawahi kumwona kashonea.
Hao si aina ya watu wapendao kukaa madarakani kwa muda mrefu.
2. Sidhani kabisa kama atataka kwenda down that rabbit hole.
Yaani yeye ndo aturudishe kule kwa zamani tulikotoka? Sioni kabisa hilo likitokea.
Jamaa atarudi zake Chato kwenda kuchunga ng’ombe.
Kwa hiyo, kwangu mimi hofu iliyopo ya kwamba atajiongezea muda, ni hofu isiyo na msingi wowote ule katika ukweli.
Najua kuwa huwa anapita humu maana kuna wakati aliwahi kunijibu kwenye moja ya hotuba zake baada ya mimi kuuliza humu kama alishawahi kufika Marekani 🤣.
Sasa, kwa jinsi alivyo, anaweza akapita humu na kuona nimesema kuwa hatojiongezea muda wa kubaki madarakani, na yeye akaamua kujiongezea ili tu afanye kinyume na nilivyodai mimi, ili nionekane nimekosea.
Don’t get it twisted, he can be petty like that.
Still, sidhani kabisa kuwa atajiongezea muda wa kubaki madarakani.
Na hii mada/ huu uzi, uwe ni kumbukumbu kuwa ‘NN alisemaga’.
Baadaye ✌🏿
Mambo haya yanakuwa kimfumo zaidi.Ndiyo maana Mugabe na Shein walikatazwa kukubali matokeo.Hata Shein alitaka kukubali matokeo 2015 na kumuachia Maalim weweee Vasco da Gama mkwere hadi akahairisha uzururaji mtoni nakugeuza faster hadi Zenji pamoja na Mkapa na maafisa wa TISS utadhani wanaenda kupinga hukumu ya kifo. Shein alikaripiwa utadhani mtoto mdogo
Ndivyo wasukuma mlivyo ushamba, Gwajima Mshamba, Pascall mshamba, jiwe mshamba. Sio maneno yangu ni maneno ya walio walea. Kinana, Makamba na Membe wakisaidiwa na vijana wao. Msidhani tumeshauBwashee humu hatutambuani kwa makabila yetu bali kwa hoja, Bwashee hoja kubwa hapa ya Nyani ngabu ni Magufuli kutojiongezea muda wake,Abusive lunguage for Sukuma Community is unacceptable comment.
So long as CCM itakuwa madarakani hiyo 2025 and beyond, he will be just fine...inawezekana jamaa yako ni mtu anayependa POWER.
..yaani yeye kuwa ndiyo alfa na omega ndio his addiction.
..lingine ni PARANOIA, kwamba akiondoka atakuwa salama?
..la mwisho, ni kama atafikia malengo yake ndani ya miaka 10, na hatakuwa na temptation ya kuamini anatakiwa kurekebisha hili au lile.
So long as CCM itakuwa madarakani hiyo 2025 and beyond, he will be just fine.
Au unazungumzia usalama gani? Wa vile vitisho vya Bi. Sarungi?
Ataondoka tu...itategemea if he has "muddied" himself and his clique.
..aina ya ulinzi alionao unadhani ni mtu wa kuondoka 2025?
Mkuu usilete ukabila.Ndivyo wasukuma mlivyo ushamba, Gwajima Mshamba, Pascall mshamba, jiwe mshamba. Sio maneno yangu ni maneno ya walio walea. Kinana, Makamba na Membe wakisaidiwa na vijana wao. Msidhani tumeshau
Hivi ushamba ni nini hasa?Mkuu usilete ukabila.
Kuna Wasukuma wengi tupo hapa si washamba, na tunaona ushamba wa Magufuli.
Kulundika watu ushamba kikabila nako ni ushamba.
Mtu kutokuwa a sophisticate, urbanite.Hivi ushamba ni nini hasa?
Ni suala la ‘maoni’ tu ya mtu au?
Aisee!Mtu kutokuwa a sophisticate, urbanite.
Lack of savoir faire.
Kutojua lugha, kutokuwa na ustaarabu, kuwa valuvalu.
Lack of decorum.
Kama rais anayechanganya l na r katika matamshi.
Au anayesema atawapiga mpaka shangazi za watu.
Au anayejichanganya changanya kijinga mara maendeleo hayajali chama, mqra msiponipqtiq fulani siwaletei maendeleo.
Kwa vigezo hivyo Magufuli ni bonge la mshamba.
Ndiyo maana hata washabiki wa Magufuli ni wengi pia.Aisee!
Kama ndo hivyo [kwa kutumia hivyo vigezo] basi washamba ni wengi sana.
Hata humu JF ni wengi mno.
kuwa "uncooth"Hivi ushamba ni nini hasa?
Ni suala la ‘maoni’ tu ya mtu au?
Author wa huu ujinga wa Zanzibar ni Mchonga.Mambo haya yanakuwa kimfumo zaidi.Ndiyo maana Mugabe na Shein walikatazwa kukubali matokeo.
Na moja ya sababu Magufuli hazidishi muda ni kwamba, mfumo wa Tanzania upo tayari kubadili matokeo ili kuifanya CCM ishinde uchaguzi, lakini mfumo hauko tayari kubadili katiba ili Magufuli aendelee kuwa rais.
Kumbuka kuna watu kibao hata kwenye CCM wanaumezea mate urais.
Hata Magufuli mwenyewe hana appetite hiyo.
Ni wapambe wachache tu.
Magufuli ana washabiki wengi?Ndiyo maana hata washabiki wa Magufuli ni wengi pia.
Hawauoni ushamba wake.
Kwa sababu na wenyewe ni washamba kama yeye.
Wewe unasema 1995?Author wa huu ujibga wa Zsnzubar ni Nyerere
That old man kwake legacy ya kuasisi muungano na kutaka uendelee kuwepo aliinfluence rigging ya matokeo ya urais Zanzibar mwaka 1995.
Waliofuta baada ya 1995 wakawa na prevedent ya kufanya dhulma hiyo tena na tena!
Who/what determines ‘couthness’?kuwa "uncooth"