Kwa ajili ya kumbukumbu: Magufuli hatojiongezea muda

Magufuli ni mtu wa misimamo hawezi kuongeza kipindi. Amini!
 
Hata Shein alitaka kukubali matokeo 2015 na kumuachia Maalim weweee Vasco da Gama mkwere hadi akahairisha uzururaji mtoni nakugeuza faster hadi Zenji pamoja na Mkapa na maafisa wa TISS utadhani wanaenda kupinga hukumu ya kifo. Shein alikaripiwa utadhani mtoto mdogo
 
Anawageza Wakinga..mtu tajiri anavaa makobazi...Mayanga constructions?
 

..inawezekana jamaa yako ni mtu anayependa POWER.

..yaani yeye kuwa ndiyo alfa na omega ndio his addiction.

..lingine ni PARANOIA, kwamba akiondoka atakuwa salama?

..la mwisho, ni kama atafikia malengo yake ndani ya miaka 10, na hatakuwa na temptation ya kuamini anatakiwa kurekebisha hili au lile.
 
Mambo haya yanakuwa kimfumo zaidi.Ndiyo maana Mugabe na Shein walikatazwa kukubali matokeo.

Na moja ya sababu Magufuli hazidishi muda ni kwamba, mfumo wa Tanzania upo tayari kubadili matokeo ili kuifanya CCM ishinde uchaguzi, lakini mfumo hauko tayari kubadili katiba ili Magufuli aendelee kuwa rais.

Kumbuka kuna watu kibao hata kwenye CCM wanaumezea mate urais.

Hata Magufuli mwenyewe hana appetite hiyo.

Ni wapambe wachache tu.
 
Bwashee humu hatutambuani kwa makabila yetu bali kwa hoja, Bwashee hoja kubwa hapa ya Nyani ngabu ni Magufuli kutojiongezea muda wake,Abusive lunguage for Sukuma Community is unacceptable comment.
Ndivyo wasukuma mlivyo ushamba, Gwajima Mshamba, Pascall mshamba, jiwe mshamba. Sio maneno yangu ni maneno ya walio walea. Kinana, Makamba na Membe wakisaidiwa na vijana wao. Msidhani tumeshau
 
So long as CCM itakuwa madarakani hiyo 2025 and beyond, he will be just fine.

Au unazungumzia usalama gani? Wa vile vitisho vya Bi. Sarungi?
 
So long as CCM itakuwa madarakani hiyo 2025 and beyond, he will be just fine.

Au unazungumzia usalama gani? Wa vile vitisho vya Bi. Sarungi?

..itategemea if he has "muddied" himself and his clique.

..aina ya ulinzi alionao unadhani ni mtu wa kuondoka 2025?
 
Ndivyo wasukuma mlivyo ushamba, Gwajima Mshamba, Pascall mshamba, jiwe mshamba. Sio maneno yangu ni maneno ya walio walea. Kinana, Makamba na Membe wakisaidiwa na vijana wao. Msidhani tumeshau
Mkuu usilete ukabila.

Kuna Wasukuma wengi tupo hapa si washamba, na tunaona ushamba wa Magufuli.

Kulundika watu ushamba kikabila nako ni ushamba.
 
Mkuu usilete ukabila.

Kuna Wasukuma wengi tupo hapa si washamba, na tunaona ushamba wa Magufuli.

Kulundika watu ushamba kikabila nako ni ushamba.
Hivi ushamba ni nini hasa?

Ni suala la ‘maoni’ tu ya mtu au?
 
Hivi ushamba ni nini hasa?

Ni suala la ‘maoni’ tu ya mtu au?
Mtu kutokuwa a sophisticate, urbanite.

Lack of savoir faire.

Kutojua lugha, kutokuwa na ustaarabu, kuwa valuvalu.

Lack of decorum.

Kama rais anayechanganya l na r katika matamshi.

Au anayesema atawapiga mpaka shangazi za watu.

Au anayejichanganya changanya kijinga mara maendeleo hayajali chama, mqra msiponipatia fulani siwaletei maendeleo.

Kwa vigezo hivyo Magufuli ni bonge la mshamba.
 
Aisee!

Kama ndo hivyo [kwa kutumia hivyo vigezo] basi washamba ni wengi sana.

Hata humu JF ni wengi mno.
 
Aisee!

Kama ndo hivyo [kwa kutumia hivyo vigezo] basi washamba ni wengi sana.

Hata humu JF ni wengi mno.
Ndiyo maana hata washabiki wa Magufuli ni wengi pia.

Hawauoni ushamba wake.

Kwa sababu na wenyewe ni washamba kama yeye.
 
Author wa huu ujinga wa Zanzibar ni Mchonga.

That old man kwake legacy ya kuasisi muungano na kutaka uendelee kuwepo aliinfluence rigging ya matokeo ya urais Zanzibar mwaka 1995 akihofia kuwa Maalim angekuwa rais angeuvunja .

Waliofuta baada ya 1995 wakakuta na precedence ya kufanya dhulma na wao wakaendelea kuifanya hiyo dhulma tena na tena!.

Kinachoendelea sasa Zanzibar hakina ridhaa ya Wazanzibari ni kama military occupation tu.
 
Ndiyo maana hata washabiki wa Magufuli ni wengi pia.

Hawauoni ushamba wake.

Kwa sababu na wenyewe ni washamba kama yeye.
Magufuli ana washabiki wengi?

Ila hivyo vigezo vyako hata haters wa Magufuli wanavyo!
 
Wewe unasema 1995?

Zanzibar mgombea wa urais mwaka 1985, Idris Abdul Wakil, alishindwa kupata 50% ya kura.

Yani, katika kura zile za mtu mmoja anapigiwa "Ndiyo/Hapana", Idris Aabdul Wakil hakupata 50% kura za Ndiyo.

Waliomkataa walikuwa ni wengi zaidi ya waliomkubali.

Watu wa Daily News waliona matokeo halisi, wakaambiwa msiyachapishe, serikali inarekebisha mambo kwanza.

Baadaye, matokeo yakarekebishwa, Idris Abdul Wakil akatangazwa mshindi.

Enzi hizo hakuna vyama vya upinzani wala Internet.

CCM huko Zanzibar walianza kuiba kura tangu enzi za chama kimoja.

Kwa aibu, Mzee Wakil alikataa kugombea urais mara ya pili, akawa rais wa muhula mmoja Zanzibar 1985 mpaka 1990.
 
Kosa kubwa unalolifanya ni kuanza kuwaza kuwa Rais Maguli atajiongezea Muda! Waza nini atakifanyia nchi na aliahidi nini kipindi hiki!
Alishasema kuwa hataongeza muda na hapendi harakati za akina Juma nkamia! Acheni ramli chonganishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…