Englishlady
JF-Expert Member
- Apr 11, 2013
- 2,736
- 3,644
Mkuu muache mzee ata ikiwa miaka 100 mbona unaanza maneno tena wakati hata January Bado ,Mimi nafiki hakuna sababu ya kumpangia bwana ,ikiongezeka sawa, ikibaki iyo sawa , hachana na hayo mkuu
Kuna mambo unaweza kuhukumu kutokana na rekodi ya mtu, kuna mambo unaweza kusema huyu hapa sitegemei aheshimu katiba na demokrasia, kwa sababu kashasema anataka kuua upinzani by 2020.
Hapo una ushahidi wa maneno ya huyo mtu, ukimhukumu unamhukumu kwa fact.
Halafu kuna mambo ya kumhukumu mtu kwa paranoia tu, mtu kashasema mara kadhaa hataongeza muda, unakuwa na inferiority complex tu kuona ataongeza muda.
Kwa sasa, based on facts, kumhukumu Magufuli kwenye hili la kuongeza muda ni paranoia tu.
Na wapinzani wanaoshikia bango hili wanajionesha hawajakoma kisiasa kuchambua mbivu ni zipi na mbichi ni zipi.
Wewe Magufuli ana makosa kedekede ambayo kashayafanya, watu wote wenye akili na wanaoheshimu mantiki wanajua, hayana mjadala.
Unayaacha yote hayo, unaenda kuwa obsessed na makosa ambayo hajayafanya bado?
Aisee!
Kama ndo hivyo [kwa kutumia hivyo vigezo] basi washamba ni wengi sana.
Hata humu JF ni wengi mno.
Kiranga unapoandika 'mkuu wa nchi ni mshamba' ni kukosa nidhamu.Mtu kutokuwa a sophisticate, urbanite.
Lack of savoir faire.
Kutojua lugha, kutokuwa na ustaarabu, kuwa valuvalu.
Lack of decorum.
Kama rais anayechanganya l na r katika matamshi.
Au anayesema atawapiga mpaka shangazi za watu.
Au anayejichanganya changanya kijinga mara maendeleo hayajali chama, mqra msiponipatia fulani siwaletei maendeleo.
Kwa vigezo hivyo Magufuli ni bonge la mshamba.
Umejuaje sina mpaka nijifanye ninayo hiyo ratiba?LOL, jamaa anajifanya ana ratiba nzima ya mshikaji ya saa 24 na kujiona anajua nyendo zote za jamaa kuliko washikaji zake wa UD na UWT.
You are being petty.Akikujibu kuhusu hilo la K nitagi, jamaa anaongea kana kwamba kula bata lazima ule Kempinski tu, ukilia pale K.. si bata?
Halafu hivi kwani kula bata 'kishamba' nako siyo kula bata - lazima mtu ale bata kinyani-ngabu ndo ahesabike kala bata?
Thus far, he hasn’t done it. He has said he won’t do it.This sums up the person as a whole, capable and highly likely will want an endless reign, just for the sake of it cause he can be petty like that.
Ukianza kuhukumu watu kwa minajili ya "chochote kinawezekana" unampa Magufuli uhalali wa kuamka na kusema "Chochote kinawezekana, hawa wapinzani wanaweza kula njama kuqngusha serikali yangu. Nawafunga mapema wasifanikishe njama zao hizo".Mheshimiwa kwa katiba iliyopo na unafiki wa hawa wanaoitwa wanasiasa lolote linawezekana na huyu bwana aliwah kusema kama akiondoka cjui kama kuna wakumalizia miradi aliyoiacha nn maana yake?time will tell bt chochote kinawezekana na lictokee lolote mana kama hayo makosa aliyoyafanya na umesema zaidi ya 100 and nothing happen wala halitoshangaza wanajua tu hawa wanaoitwa wasomi wakipewa ulaji wameshamalizwa na hata wengne kudirik kusema wameokotwa majalalan
Kama ni mshamba, halafu nisiseme kuwa ni mshamba, hapo ndipo nitakosa nidhamu ya kuheshimu ukweli.Kiranga unapoandika 'mkuu wa nchi ni mshamba' ni kukosa nidhamu.
Heshimu angalau hicho kiti (madaraka) inatosha.
That’s his rumored paramour.Anakula bata na yule demu wake (Kabula?) aliyempa nyumba ya serikali pale Kinondoni by Leaders Club.
Oh yeah? Kwa hiyo Big Foot na Loch Ness monster nao wapo?Tukutane 2025.
Lisemwalo lipo.
How would the former be his personal business and the latter not?That’s his rumored paramour.
It’s his and his wife’s business.
People, of all stripes, all over the globe go through issues like that.
Does he have a yacht somewhere off the coast of the Indian Ocean, maybe?
Not sure I understand your question.How would the former be his personal business and the latter not?
No. Umeuliza anakula bata wapi. Nikakutajia.Not sure I understand your question.
Are you saying that you care if Magufuli cheats on his wife?