Kwa ajili ya kumbukumbu: Magufuli hatojiongezea muda

Anha!

Huyo kimada wake ni kweli au ni maneno tu ya watu?

Kama ni kweli, wameanza lini? Baada au kabla ya yeye kuwa Rais?

Mimi namzungumzia Magufuli, Rais.

Je, kuna ushahidi wowote ule, au hata dalili yoyote ile kwamba anaitumia nafasi yake hiyo ya urais, kuishi maisha ya anasa kama wafanyavyo viongozi wengine wa Afrika kama Nguema Mbasogo wa EG au kama ilivyokuwa kwa Mobutu, Bokassa, Dos Santos, na wengineo?

Binti wa Dos Santos sasa hivi yuko matatani.

Cheki mambo ya Teodore Nguema


Hao watu ni wazi wanazitumia au walizitumia nafasi zao kuishi hayo maisha ya anasa. Uongo?

Does Magufuli or any of his acolytes live like this?

Huyo Kabula anaishi hivyo kabla na baada ya Magufuli kuwa Rais?

I’m all ears....
 
Anasa ni nini?

Na wapi upo mpaka wa personal business na anasa?
 
Anasa ni nini?

Na wapi upo mpaka wa personal business na anasa?
1. Anasa ni mambo au hali ya starehe na raha nyingi.
2. Kitu chenye thamani kubwa ambacho si cha muhimu.

3. Mpaka wa mambo binafsi na anasa:
Wewe kama una kimada wako pembeni au kama mkeo ana mchepuko wake pembeni, wewe unamkula kimada wako na mkeo anakulwa na mchepuko wake, bila ya wewe au mkeo kufanya hivyo kwa gharama ya pesa za walipa kodi ambazo si stahili zako, basi mambo hayo hayatuhusu sisi wananchi.

Uchepukaji wenu ni suala lenu ninyi wawili/ wanne.

Kula anasa kwa rasilimali zako halali, ni halali yako.

Kula anasa kwa gharama ya umma ambayo si halali yako, si sawa.
 
Kama no hivyo ni nini maana ya ushindi wa kishindo,ni nini maana ya ushindi wa kisayansi na ninini maana ya mbinyo usio mithilika kwa wenye mitazamo mbadala hata iwe chanya, je mini sababu ya kutumia nyundo kuuwa sisimizi?
 
Kama no hivyo ni nini maana ya ushindi wa kishindo,ni nini maana ya ushindi wa kisayansi na ninini maana ya mbinyo usio mithilika kwa wenye mitazamo mbadala hata iwe chanya, je mini sababu ya kutumia nyundo kuuwa sisimizi?
Maana yake ni ushindi.
 
Labda kwa sababu za kiafya, na umri mkubwa lakini sio kiatiba.

Hafuati sheria ila matakwa yake, akipendezwa ataongeza mpaka afie ikulu.
Nionavyo mimi ni kuwa anaweza kuchelewesha uchaguzi kwa miaka kadhaa ili amalize kazi ambazo hana imani na yeyote kuweza kuzimaliza. Ila sio kuongeza mitano tena!
 
Yaani we unafikiri uongozi ni kula bata tu, kuvaa suti za bei kali, kushonea weaving na kwenda mamtoni.... he he he heeeeee...its all about prestige....self esteem, ego. mi naona kabisa Magu ataongezewa muda.

..hata mimi nimejaribu kumwambia kwamba Jpm loves POWER.

..MADARAKA, ukumbwa, ubabe, tumbua-tumbua, piga-piga, my way or the highway, ndio ulevi wa Jpm.

..wasiwasi wangu ni kwamba kunogewa na madaraka, na matumizi mabaya ya madaraka, kunaweza kumfanya asiondoke madarakani.
 
Sasa huyo Kabula mbona kapewa mpaka nyumba ya serikali bila kustahili.

Na anaitumia bado.

Hiyo si anasa?
 
Nionavyo mimi ni kuwa anaweza kuchelewesha uchaguzi kwa miaka kadhaa ili amalize kazi ambazo hana imani na yeyote kuweza kuzimaliza. Ila sio kuongeza mitano tena!
Conjecture.
 
Sasa huyo Kabula mbona kapewa mpaka nyumba ya serikali bila kustahili.

Na anaitumia bado.

Hiyo si anasa?
Kapewa na serikali? Serikali ya nani? Alipewa lini? Vigezo vya stahili vilikuwa ni vipi?

Na kuna ushahidi kuwa kapewa kweli au ni makisio na madhanio ya watu tu?

Aliambiwa ‘we Kabula...njoo hapa. Chukua hii nyumba’?

Au alipewaje?
 
Maxence Melo unaonaje mkii-bookmark hii mada? Itasaidia sana kukumbushana ifikapo 2025.
 
Sawa, but that is still conjecture at this point.

You say what? Yes or no?
 
Nionavyo mimi ni kuwa anaweza kuchelewesha uchaguzi kwa miaka kadhaa ili amalize kazi ambazo hana imani na yeyote kuweza kuzimaliza. Ila sio kuongeza mitano tena!
Ni mjinga pekee anaweza kufikiri hivyo, yeye Mungu?!

Kazi gani anaifanya ambayo hakuna mwingine anaweza kuifanya?!

Kwanza kafanya nini?!
 
Nyani Ngabu na Paschal Mayalla wote ni wasukuma, na msukuma hata aishi New York hawezi acha ushamba na ujinga flani hivi wa kumsifia msukuma mwenzake hata akila kinyesi
Acha ulofa wewe nani kakudanganya wasukuma washamba au umezaliwa umekuta hizo story basi unaishi nazo tu?
 
You are being petty.

I’m talking about a lavish lifestyle here.

Kama kutafuna K nako ni kula bata hata basi hata yule Matola ombaomba [for lack of a better word] naye alikuwa mla bata maana ana watoto.

Does Magufuli live a lavish lifestyle?
Yaani ukiona herufi K unadhani ni hicho tu, mimi naongelea K nyingine kabisa au hupiti mitaa ya Mwenge mwenzetu?
 
Shida ya ndugu yetu kuwa hajui ama hatambui kuwa kuna kula bata 'kishamba' pia, sijui ndiyo tatizo la kuwa too born town kama akina Lodi Lofa na Dokta Pimbi - akawaulize ma-bush stars akina Meko na Madenge wanavyokula bata kibushi stazi.

 
Mapema mwaka huu aliwaeleza mabalozi wa nchi za nje kuwa, uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na haki. Kwa yaliyotokea, jee twaweza kuamini asemacho kuwa hataongeza muda?
Mambo ya chaguzi mara nyingi huwa yana utata.

Hata Marekani utata huwa upo.

Mshindwa wa uchaguzi wa mwaka 2000 Marekani alidai kuna figisu alifanyiwa.

Mwaka 2016 Hilary Clinton naye alidai kaibiwa kura na Trump kwa msaada wa Putin.

2020 naye Trump anadai kaibiwa kura.

Naamini hao wote ukiwauliza, watakwambia kuwa katika chaguzi walizoshindwa, hazikuwa za huru na haki, ilhali washindi watakwambia zilikuwa za huru na haki.

Ni mambo ya kawaida kwenye siasa hayo.
 
Juma Mkamia Na yule Wa Nkasi wrote chali! Atatokea kiherehere mwingine
 
Tatizo Ni figisu zilizotokea, uchaguzi serikali zamitaa, mapangamizi kwa wapinzani, tume huru ya uchaguzi, tambo za nimekuchagua Na kulipa mshahara alafu utangaze upinzani, Mara tutatumia vyombo vya Dora kubaki madarakani, zuia waangalizi toka nje, zuia vyombo vya habari kuonyesha mikutano ya wapinzani, hakuna kubandika picha za wapinzani mitaani! Na mengi unayojua. Kwa nini tusiwe Na mashaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…