Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Kama Ni mweupe ume m compare na Nani...Pambalu mweupe sana kichwani. Uwezo wake wa kujenga na kupambanua hoja ni mdogo sana.
Wewe kama siyo pambalu mwenyewe basi utakuwa chawa wake. Upo kimkakati. Endelea kujiuzaKama Ni mweupe ume m compare na Nani...
At least ni kijana Alie pambania kile anacho kiamini wewe upo nyuma ya keyboards una Uhuru wa kuandika chochote..
Wahenga walisemaga ukigeuka nyuma kwa kila MBWA anae kubwekea (kukupigia makelele) utachelewa safarini..John Justin pambalu GO GO achana na wakatisha tamaa
Nyumbani kwetu na ukoo wetu hatujawai kutoa chawa π kwa ngazi YEYOTEWewe kama siyo pambalu mwenyewe basi utakuwa chawa wake. Upo kimkakati. Endelea kujiuza
Zitto, Nassari na Halima siyo vijana tena!Vipaji vingi vya vijana vimekufa kwa chama tawala kuogopa compitatiion wanayoweza kuleta kwa watoto wao. Vijana kama Halima Mdee, Zitto Kabwe, NONDO, Nassary na wengine wa aina hii wanapigwa vita wasijekuwa popular nchi ikaja ikapata Rais kutoka kwa wakulima na wafugaji.
Umeongea vizuri sn, siyo rahisi Pambalu kuingia CCM, amepitia magumu mengi sn kwenye utawala wa dictetor lakini katoboaNchi haitaki watu wenye akili kubwa kuliko watoto wa viongozi wakuu wa nchi. Viongozi waandamizi wanatamani wangezaa watoto kama John Pambalu lakini bahati haikuwa yao. Wao wamebahati kuzaa watoto wanaofundishwa siasa na maisha wakati wakina Pambalu uzaliwa na akili ya kipaji.
Vipaji vingi vya vijana vimekufa kwa chama tawala kuogopa compitatiion wanayoweza kuleta kwa watoto wao. Vijana kama Halima Mdee, Zitto Kabwe, NONDO, Nassary na wengine wa aina hii wanapigwa vita wasijekuwa popular nchi ikaja ikapata Rais kutoka kwa wakulima na wafugaji.
Kulinda watoto wa wa wakubwa ipo mikakati yakununua wenye akili timamu wanaojisimamia na kwenda kuwanyamazisha kwa kigezo cha mshahara.
Najiuliza je CCM wapo tayari kuona vijana kama Pambalu wanastawi? Au watampa wilaya kama wakina Nassary? Waoneeni vijana huruma ninyi familia za wanaojiona wao ndio waamuzi wa nani awe Rais na Waziri Mkuu......
CCM ina watu wajinga haswaSerikali ya CCM isivyoitakia mema Tanzania, badala ya kuwafuata CDM na kujifunza jinsi wanavyo recruit watu wao na kuwafanya waive kiuongozi, ili tuwe na vijana wengi walioiva serikalini, wao wanakazi ya kuwanunua na "kuwavua" mbongo zao pamoja na kuwakatisha ndoto zao za kuihudumia Tanzania kama ilivyofanyika kwa Zitto, Kafulila, Nasari, Na wengine wengi.
CCM ya sasa si rafiki kwa watumia vichwa kufikiri, bali ni rafiki kwa misukule.
Naona unaanza kujiuza bwana mdogo haya tenaUkienda pale ihungo boys high school kaulizie darasa la kina John Justin pambalu
Pale ihungo boys Kuna slogan yao """MASTERY FOR SERVICE"" ukiishi pale utaambiwa
""NO ONE CAN CHANGE IHUNGO BUT IHUNGO CAN CHANGE YOU""
Darasa la kina pambalu ndilo lililo fanya mapinduzi makubwa ya IHUNGO ya leo ""IKEMEFUNA"" Kuna kazi ilinipelekaga hapo IHUNGO BOYS HIGH SCHOOL
Hata ukimuuliza ELIAKIM MASWI alie kua TAMISEMI enzi izo watakwambia hata mkuu wa wilaya wa bukoba enzi izo SAMUEL KAMOTE watakwambia the same....
Dogo Ni mzalendo wa kweli na mcha MUNGU kweli kweli ""Roman Catholic"" ndie anae shikilia record ya kua diwani mdogo kuliko WOTE Tanzania Ni potential Sana huyo bwana MDOGO...
Akili kubwa mbona form four alipata daraja la wakubwa (Iv)Nchi haitaki watu wenye akili kubwa kuliko watoto wa viongozi wakuu wa nchi. Viongozi waandamizi wanatamani wangezaa watoto kama John Pambalu lakini bahati haikuwa yao. Wao wamebahati kuzaa watoto wanaofundishwa siasa na maisha wakati wakina Pambalu uzaliwa na akili ya kipaji.
Vipaji vingi vya vijana vimekufa kwa chama tawala kuogopa compitatiion wanayoweza kuleta kwa watoto wao. Vijana kama Halima Mdee, Zitto Kabwe, NONDO, Nassary na wengine wa aina hii wanapigwa vita wasijekuwa popular nchi ikaja ikapata Rais kutoka kwa wakulima na wafugaji.
Kulinda watoto wa wa wakubwa ipo mikakati yakununua wenye akili timamu wanaojisimamia na kwenda kuwanyamazisha kwa kigezo cha mshahara.
Najiuliza je CCM wapo tayari kuona vijana kama Pambalu wanastawi? Au watampa wilaya kama wakina Nassary? Waoneeni vijana huruma ninyi familia za wanaojiona wao ndio waamuzi wa nani awe Rais na Waziri Mkuu......
Kijana royal = kijana loyal? Uwe unaandika kwa kiswahili kuepusha aibu.Pambalu anapenda kusoma Sana utamkuta anajisomea Sanaa current issues nimwandishi pia wa vitabu
Alikuaga akaenda gereza la butimba kutoa misaada ya Hali na Mali akiwa kijana asiye na kazi no-no..
Hanaga tamaa ya Mali Ni kijana mstaarabu na wakupigiwa mfano Hanaga lugha za MATUSI Wala DHARAU Wala UJIVUNI
NI kijana royal na mtiifu Sana, msikivu na mnyenyekevu Sana. Mjenga hoja, na msimamiaji mzur wa anacho kiamini
Wakati mwingine andika uzi mzima kwa kiswahili ili kujiepushia aibu. Pumbulu hana uwezo wowote wa kujenga hoja zaidi ya kuropoka. Si ndo huyo alisema tumsusie Diamond kisa kafanya tamasha siku CHADEMA wana mkutano? Zilikuwa akili au ushuzi?Vipaji vingi vya vijana vimekufa kwa chama tawala kuogopa compitatiion wanayoweza kuleta kwa watoto wao. Vijana kama Halima Mdee, Zitto Kabwe, NONDO, Nassary na wengine wa aina hii wanapigwa vita wasijekuwa popular nchi ikaja ikapata Rais kutoka kwa wakulima na wafugaji.
Acha wivu we mpumbavu ndo maana una Mafi anaherroof mbaryerndio maana wanainchi huwaadhibu kwenye ballot boxes kwasabb ya kukosa utu kwa wengine na nyinyi wenyewe π
kwa akili ya kawaida huweza kusema Fulani ana akili π€£
that means wewe unaemsifia ati Fulani ana akili, wewe ni useless π
mihemko sio deal kwa mwerevu, relax tu bila ghadabu, sema maoni na mtazamo wako juu ya hoja iliyoko mezani, bila matumizi ya lugha zisizo faa wala staha. Inashusha thamani ya IQ yako tu πAcha wivu we mpumbavu ndo maana una Mafi anaherroof mbaryer
Bwana Pambalu uko poa?πPambalu anapenda kusoma Sana utamkuta anajisomea Sanaa current issues nimwandishi pia wa vitabu
Alikuaga akaenda gereza la butimba kutoa misaada ya Hali na Mali akiwa kijana asiye na kazi no-no..
Hanaga tamaa ya Mali Ni kijana mstaarabu na wakupigiwa mfano Hanaga lugha za MATUSI Wala DHARAU Wala UJIVUNI
NI kijana royal na mtiifu Sana, msikivu na mnyenyekevu Sana. Mjenga hoja, na msimamiaji mzur wa anacho kiamini
Mkuu pambalu niliwai kuonanaga nae zamani kipindi niliendaga mwanza alikua rafiki wa last born wetu wakiwa wote ST. AUGUSTINE UNIVERSITY MAIN CAMPUS (MALIMBE)Bwana Pambalu uko poa?π
Kumbe Kuna walimu wa kiswahili humu ngoja niwaitie saizi yenu mpwayungu villageππππKijana royal = kijana loyal? Uwe unaandika kwa kiswahili kuepusha aibu.
Hili nimesha litolea ufafanuzi tayariNaona unaanza kujiuza bwana mdogo haya tena
Kama umekosea kubali umekosea. Acha kuleta janja janja wakati tayari umekosea.Kumbe Kuna walimu wa kiswahili humu ngoja niwaitie saizi yenu mpwayungu villageππππ
Sawa nimekosea Ila haiondoshi maana nzima na content ya nilicho kiandikaKama umekosea kubali umekosea. Acha kuleta janja janja wakati tayari umekosea.
Royal ina maana ya Loyal? Au hiyo Phd yako ndo ile ya chupi?Sawa nimekosea Ila haiondoshi maana nzima na content ya nilicho kiandika