Kwa akili kubwa aliyonayo John Pambalu upo uwezekano akasajiliwa kama wakina Nassary

Royal ina maana ya Loyal? Au hiyo Phd yako ndo ile ya chupi?
Líkāi wúzhī, líkāi nǐ zài zhèlǐ làngfèi de néngliàng, yòng tā lái shíxiàn nǐ zìjǐ de fāzhǎn, ér bùshì yǔ chāoyuè yīqiè de rén zhàndòu
 
pambalu ni nani nchi hii? anakipaji ganicha kusema atachukuliwa yaani hii nchi inawapinzani wa hovyo sanaa
 
hahaaaa yaani chadema wanajifunza ccm tena unataka ccm baba lao wakajifunze kwa mtoto? umeishiwa akili kabisa wewe
 
Umeongea vizuri sn, siyo rahisi Pambalu kuingia CCM, amepitia magumu mengi sn kwenye utawala wa dictetor lakini katoboa
Kwani Lissu na Mbowe hawana Retention programme ya kuwabakiza wanachama na viongozi potential au kazi kugombea madaraka tu.CCM wanaiba wanachama na viongozi potential kutoka Chadema na kubakiza cream wao wanagombea madaraka njaa kali
 
Nakutania tu chief.. ila mlengo wa kisiasa lazima unao
 
Chadema imejaa vichwa tu
 
Yeye na Adam chagulani wa igoma
 
CCM haina muda na takataka, CCM has brainy and very potential scholars kila kona, mkome..!!
Kama ingekuwa hivyo tusingesikia akina Nassary Katambi Gekul na yule mkuu wa wilaya ya Nkasi wamekuwa against na sisiyemu for decades ajabu ndio wamelamba /walilamba vyeo wakiachwa Makada kibao waliotumia muda mwingi kufanya shughuli za chama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…