- Thread starter
- #21
🙄🙄Tunayo historia ya kugeuza boat kuwa kifaru cha majini, shiii hayo ni mambo ya geshini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙄🙄Tunayo historia ya kugeuza boat kuwa kifaru cha majini, shiii hayo ni mambo ya geshini.
Hujui unachokisema. unaenda na upepo. Jipe muda kujisomeaMtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?
Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!
Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?
Mbona haiwezekani jamani!
Waziri alienda kusaini alichoelekezwa.Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?
Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!
Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?
Mbona haiwezekani jamani!
KISASIMtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?
Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!
Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?
Mbona haiwezekani jamani!
True huyu bibi ni liability hasa , siju kipi anachiweza kukisimsmia mpaka meisho .hebu fikiria mtu amechukua ndege HAPa kwa kudi zetu na ma perdiem halafu anakuja kutuuza , hii ni kutukoses adabu kwa kweliBibi ametukosea adabu watanganyika, ilipaswa awe ameshajiuzulu siku nyingi sana. Hayo masafari yasiyo na kichwa wala miguu matokeo yake ndio haya yani tunapigwa mnada mchana kweupe. Inasikitisha sana.
Hawa jamaa wa DP World wako kibiashara zaidi wameweza kushawishi na wanawekeza mahali ambapo wataweza kupata matoke kwa muda mfupiMtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?
Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!
Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?
Mbona haiwezekani jamani!
Kwa akili zako za kawaida, toka uhuru mpaka. Leo zimekupa faida ipi hizo bandari zako? Au kila mwaka unadai ulipiwe mishahara yako na hazina?Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?
Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!
Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?
Mbona haiwezekani jamani!
Aliuza utu wa mtanganyika.🤣🤣hivi chifu hangaya sorry,🤔chifu mangungo aliuzaga nn vile?
Unataka kushindana na watu wanaoijuwa faida ya bandari wakati hata bahari huijuwi ilivyo?Huko kuna itwa kujilipua.
HII NI ROHO MBAYA TU, HUWEZI BINAFSISHA BANDARI ZOTE NCHI MZIMA MPAKA ZA KWENYE MAZIWA,NI KUWALETEA TABU/SHIDA KWA MAKUSUDI VIZAZI VIJAVYO.Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?
Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!
Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?
Mbona haiwezekani jamani!
Rushwa hupofusha akili za wasio na akili kama akina Musukuma, hupofusha wenye elimu kubwa kama Mbarawa.Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?
Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!
Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?
Mbona haiwezekani jamani!
unazijua faida zinazopatikana kwenye miradi yote ya serikali mkuuKwa akili zako za kawaida, toka uhuru mpaka. Leo zimekupa faida ipi hizo bandari zako? Au kila mwaka unadai ulipiwe mishahara yako na hazina?
Hasa CCM ni WEZI sanaWacha mama afanye yake aisee watanzania wezi sana
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
Waziri hana kosa kosa ni sisi bara kukubali kuongozwa na watu wa nchi nyingineMtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.
Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?
Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!
Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?
Mbona haiwezekani jamani!
Tunaenda kuwa koloni la waarabuWaarabu wamejaliwa uharibifu uharibifu uporaji na ujangili
Tarajia maafa zaidi