Kwa akili ya kawaida mtu hawezi kubinafsisha Bandari zote nchi nzima! Waziri alilishwa nini?

Bandari ambayo imekuwa ni bora kuliko ya mombasa unawapa warabu Milele tena Bandari zote?
 
4d2a1515-85a6-42c1-9967-36738e5803ce.jpg
 
Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.

Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?

Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!

Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?

Mbona haiwezekani jamani!
Hujui unachokisema. unaenda na upepo. Jipe muda kujisomea
 
Waziri alienda kusaini alichoelekezwa.

Mazungumzo halishafanyika zamani
 
Yani haya yote yametokea kama yale ya wakati wa Mkapa. CCM wanaamini wanaweza kununua Uchaguzi.
Mie naona Wananchii tukubali vijitisheti, vikofia, kanga, mipira....pilau soda n.k yani chochote kile watakachokuwa wakirusha tukubali. Ila basi, ikija siku ya uchaguzi, ikija kwenye Kura tuwakatae, wakae pembeni wapate akili, wajitathmini halafu wafanye mapinduzi ndani ya CCM. vyovyote vile hawachaguliki kana ilivyokuwa majuzi kati- in recent past.

Wamasai
Ngorongoro
Bandari
....Tanesco?
....Mbeya?
 
Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.

Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?

Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!

Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?

Mbona haiwezekani jamani!
KISASI
 
Bibi ametukosea adabu watanganyika, ilipaswa awe ameshajiuzulu siku nyingi sana. Hayo masafari yasiyo na kichwa wala miguu matokeo yake ndio haya yani tunapigwa mnada mchana kweupe. Inasikitisha sana.
True huyu bibi ni liability hasa , siju kipi anachiweza kukisimsmia mpaka meisho .hebu fikiria mtu amechukua ndege HAPa kwa kudi zetu na ma perdiem halafu anakuja kutuuza , hii ni kutukoses adabu kwa kweli
 
Karibia mtaanza kuchomana sindano za sumu huko Uvccm.
 
Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.

Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?

Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!

Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?

Mbona haiwezekani jamani!
Hawa jamaa wa DP World wako kibiashara zaidi wameweza kushawishi na wanawekeza mahali ambapo wataweza kupata matoke kwa muda mfupi
 
Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.

Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?

Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!

Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?

Mbona haiwezekani jamani!
Kwa akili zako za kawaida, toka uhuru mpaka. Leo zimekupa faida ipi hizo bandari zako? Au kila mwaka unadai ulipiwe mishahara yako na hazina?
 
HII NI ROHO MBAYA TU, HUWEZI BINAFSISHA BANDARI ZOTE NCHI MZIMA MPAKA ZA KWENYE MAZIWA,NI KUWALETEA TABU/SHIDA KWA MAKUSUDI VIZAZI VIJAVYO.
 
Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.

Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?

Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!

Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?

Mbona haiwezekani jamani!
Rushwa hupofusha akili za wasio na akili kama akina Musukuma, hupofusha wenye elimu kubwa kama Mbarawa.

Rushwa huwafanya wote, wenye akili na wasio na akili kuwa kwenye level moja ya uhayawani kama walivyo sasa hiv Musukuma, Mbarawa, Nape, Kibajaji. Huwezi kutofautisha nani wa darasa la 7, darasa la pili, mwenye degree moja na degree 3. Wite wamekuwa wajinga kuzidi ambao hawakwenda shule lakini wamejaluwa akili.
 
Kwa akili zako za kawaida, toka uhuru mpaka. Leo zimekupa faida ipi hizo bandari zako? Au kila mwaka unadai ulipiwe mishahara yako na hazina?
unazijua faida zinazopatikana kwenye miradi yote ya serikali mkuu
 
Mtu umeenda kutafuta wawekezaji, mwekezaji anakwambia, ninataka unipe Bandari, na unipe Bandari zote mpaka za kwenye maziwa na kama zipo za mito nazo nipe ili sasa tufunge mkataba.

Tena haitoshi, anakwambia umpe Bandari hizo kwa maisha yote ya uhai wa Bandari hizo! Hujiulizi tu kwamba huyu mwekezaji hafai hata kusilizwa?

Hata kama alikuwa kakupa na chakula kitaamu kiasi cha kuzidi ulichowahi kula, hapo hapo tayari utaanza kukiona ni kichungu, hata hilo hakuna? Waziri wetu, anapaswa ahojiwe!

Hawa warabu walimlisha nini? Dawa au uganga gani walitumia kumpa Waziri wetu mpaka kajikuta anakubaliana na huo upuuzi?

Mbona haiwezekani jamani!
Waziri hana kosa kosa ni sisi bara kukubali kuongozwa na watu wa nchi nyingine
 
Back
Top Bottom