Sio kweli...maslahi ndo yaliyomuondoa Oscar kila mtu anajua hilo...na hata kama ingekuwa ivyo Oscar angeenda hata Sevilla kwa sababu bado China hakuna timu kubwa kushinda SevillaOscar uwezo wa kuchezea chelsea ulikuwa umeshaisha.
Mkuu mkataba wa Tshabalala na simba unaujua? Mshahara wake unaujua?Umemsikia meneja wake? Meneja kasema Zimbwe analipwa Milioni moja na.nusu kwa mwezi
Mshahara wake ni mil. 4Sina...kama unayo salary slip yenye tofauti na 1.5 ndo pa kuiweka sasa coz naona kama unataka tuanze tupoteze mda kwa ubishi wa kijinga wakati unaweza ku prove vitu...
Contract ni between parties bro... yule ana manager na ni mtu mzima, alisaini kwa hiari na anaweza kusaini kwingineko kwa hiari ndio maisha ya mikataba. Naamini issue sio comparison nani anapata nini, nadhani issue ni consensus between parties..Nadhani hapa hata watu wa sheria haswa upande huu wa mpira, watusaidie kua mtu ameingia mkataba wa miaka 3, mwanzon kulingana thamani yake na performance yake alikua analipwa kiasi fulani ambacho si kikubwa, sasa kiwango kimepanda labda baada ya mwaka mmoja na nusu, kwaio kwenye mkataba umebaki mwaka na nusu umalizike, je mkataba hauwezi kuboreshwa kulingana na thamani ya klabu inavyopanda pamoja na kiwango cha mchezaji? Je ni sawa kusubiri hadi mwezi ndio uanze kujadili mkataba wake? Je hio si inatoa fursa hata kwa timu pinzani kutumia fursa hio kumchukua? Je klabu kama inasubiri hadi mwezi unabaki ina nia kweli ya kumtumia ?
Tshaba hana desturi ya kujiona mkubwa zaidi ya klabu, hana desturi ya ujeuri, mpira ni pesa na ni biashara kubwa sana kwa sasa na wachezaji wanapata pesa nyingi angalia ulaya huko, anachofanya ni sawa, kwenda kule ambapo anaona pesa wanayoitoa inaendana na thamani yake na kiwango chake, jasho lake, commitment yake kwa timu, simba tulikua na nafas kubwa na muda wa kutosha kumuongezea mkataba na kuuboresha kwaio viongozi wasianze kumrushia mawe na kumtuhumu kua anataka kuizidi klabu kitu ambacho sio sawa.
Dahh...[emoji15][emoji15][emoji15]mkuu hiyo ndo salary slip????bye bye..Mshahara wake ni mil. 4View attachment 1765421
Hakuna mchezaji wa kutegemewa, ile Simba imeshakuwa mashine, inafanya kazi kwa pamoja.Tunazungumzia maslahi bob sio ukubwa wa timu...Oscar aliiacha Chelsea kwenda China,sasa China kuna timu kubwa kuishinda Chelsea????watu wanategemewa bob[emoji385][emoji385][emoji385]
Hizi mind games zenu huwa zinakuja sana wakati huu mikataba ikiisha, niko pale pale haitakiwi mchezaji yeyote aiyumbishe klabu, kama maslahi madogo toka mwanzo kwanini alisaini mkataba?Tunazungumzia maslahi ya kijana mtanzania mwenzetu wewe unaleta ushabiki
Hili ndio swali la msingi tusubiri majibu, sio wanaleta kelele zao nyepesi za kuokota mtaani.Hebu tupe salary slip yake tuone hiyo M 1.5!
Leta Salary Slip ya Tshabalala ndio tujadili wacha kelele za barabarani.Hii ni hoja ya mtu asiye na hoja. Viongozi wa timu za Tanzania wamekuwa wa ovyo mno kwenye menejimenti hasa ya wachezaji wa ndani. Walianza kwa kusajili wachezaji wa nje wenye kiwango cha chini kuliko Watanzania, walupopigiwa kelele wakaamua kuwapunja watanzania wenzao. Waone Yanga wanavyosumbuka kutafuta beki ya kushoto baada ya kumpoteza kwa tofauti ya maslahi tena tofauti inayozungumzika!
Umemaliza.Mashabiki wa Yanga ni waongo sana.... Usiwaamini hata kidogo....
Mfano wa vitu vya uongo ambavyo walishawahi kuzusha:
1. Kesi ya Morison kwenda CAS
2. Kumsajili Chama C..
3. Kwamba kikosi chao ni cha Tshs 2.5 billion
4. .....
Kwa hiyo hata hili jambo ni la uongo tena wa mchana kweupe...
Usikute hata huyo anayejifanya ni meneja wa Tshabalala... Ni kanjanja tuu, tena jizi lililotumwa na hao hao Yanga.. .
.......
Undue influenceHakuna mchezaji wa kutegemewa, ile Simba imeshakuwa mashine, inafanya kazi kwa pamoja.Hizi mind games zenu huwa zinakuja sana wakati huu mikataba ikiisha, niko pale pale haitakiwi mchezaji yeyote aiyumbishe klabu, kama maslahi madogo toka mwanzo kwanini alisaini mkataba?
Mshahara wake ni mil. 4View attachment 1765421