permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Acha kujifunza kwa watu waliofeli, mpira una umri wake, kwa sasa ndio muda wake wa kupiga pesa, wampe mkataba mnono au atafute atakapolipwa zaidi. Mifano uliyotoa haina maana, kinachomfanya acheze ni uwezo wake na siyo kwa sababu yuko Simba.Pia siafiki kiasi cha malipo yaliyotajwa hapo kwa hali ya ss ya club. Ila kitu kimoja kifahamike kuwa hayo ni malipo ya kimkataba ambayo yaliingiwa miaka kadhaa nyuma na pia tujue ss status ya Simba ni kubwa kwa hatua iliyopo ndio kwa neno mlipendalo brand ni kubwa ukitaja si kama iliyokuwa nayo miaka kadhaa nyuma.
Pamoja na yote siafiki yy kukurupuka kwani anapaswa kujua club ni kubwa kuliko yy na mazungumzo hayogombi yaendelee hadi mwisho tutaelezwa tena ikizingatia hali ya ss
Binafsi huyo Xoxo nimtahadharishe Simba ilikuwa na kina singano walipitia hali hiyo ikizingatia umri sawa na hawa kina tshaba na ajib Yuko wapi leo hata hana mtu wa kumjua sbb ya kuondoka kijeuri
Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app