Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Tshabalala sio mpenzi wa Simba though
Zimbwe hawezi kulipwa 1.5 ata iweje, ni mishahara ya kina Rashid juma hiyo, hizo ni propaganda za yanga Tu, lakini pia swala la mshahara ni malidhiano Kati ya club na mchezaji, Simba wataweka ofa wanayoona wanaimudu kulingana na bajeti ya club na sio kumfurahisha mchezaji mmojaAseeee sidhani kama zimbwe analipwa 1.5 M.
Na kama analipwa 1.5 M hiyo si ni mkataba wa Nyuma? Ni meneja wake huyo huyo na zimbwe waliona inawatosha asa iweje saiv waone kama walidhulumiwa?
Kama mkataba unaisha team itatoa ofa iliyopo zimbwe atatoa yake wasipokubaliana aende tu, akatafute maslahi pengine.
Ila Simba wakimpa zimbwe hela anayotaka wajiandae kila mchezaji muhimu kutaka mshahara kama wa zimbwe au zaidi.
Na hivyo kuyumbisha team, akikazania sana wamwache aende kwa amani tu, Duniani wachezaji ni wengi.
Baba yake Haji manara ni YangaBaba yake Yanga ..
Na yeye atakuwa Yanga..
Na Simba pia wanafanya upumbavu..
Jamaa ndio uongeaji wake, ila yote yote hiyo interview tumeiskiliza wengi ila hatujaskia akisema mshahara wa zimbwe, vipi mkuu naww umeskia akisema zimbwe anakula 1.5ml kama mleta mada?ile interview kama namkosea sorry ila alikuwa kama kapiga kilajii
ameoneshaa wazi mapenzi yake kwa yanga yawezekana meneja ni shabiki ya timu yetu ya wananchi
hajapresent kama meneja au mimi umeneja ndo nautafsiri vibaya
hapana nisiwe muongo sijasikia mkuuJamaa ndio uongeaji wake, ila yote yote hiyo interview tumeiskiliza wengi ila hatujaskia akisema mshahara wa zimbwe, vipi mkuu naww umeskia akisema zimbwe anakula 1.5ml kama mleta mada?
Kama ni kweli analipwa milioni moja na nusu hilo ni tusi kubwa sana kwa Vijana wa kitanzania wanaopambana kila siku wakimwangalia shabalala kama role modo wao!
Wanachokiona hapo ni kwamba, hata wakipambana kwa juhudi za kuweza kufika pale alipo zimbwe juhudi zao hazitapewa heshima wanayostahili kwa sababu ya utaifa wao ! Mimi ni shabiki wa Simba lakini hili kama ni kweli si sahihi nalipinga kwa nguvu zote !!!!
Miaka miwili yenyewe ndio mikataba yao mara chache sana itokee mtu ana miaka 3 au 4 mikataba mifupi tu ila hakuna haja ya kwenda kwenye media team kama inakunyima mkataba anza kutafuta sehemu yenye maslahi na wewe basi.Wewe sio shabiki bali ni mpenzi wa Yanga, na mimi kama mpenzi wa Simba kwakweli tumesikitshwa kua Tshaba analipwa kamilioni tu kwa mwezi, dah, yani tume betray his love and trust kwa timu anayoipenda na aliyojitolea kuichezea kwa moyo wote, kwakweli aende tu panapomstahili aisee.
Swali fikirishi, ina mana sisi wachezaji watanzania kwenye timu zetu hizi tunadharaulika kiasi hiki, kwamba hatuna hadhi ya kulipwa zaidi ya m15 kwa mwezi sababu tu ni wazawa?
Pia aishi manula naona ameshasoma upepo naye dau lililokuja ni kubwa, na madau yalivyoanza kuja kwa kasi ndio viongozi kuanza kuhaha kuitisha mikutano na wachezaji kujadili mikataba mipya.
Tujifunze hata kwa wenzetu, wachezaji muhimu mikataba unakuta imebakiza mwaka au hata miaka 2, mabosi wameanza kujadili upya mkataba wa mchezaji husika, huku kwetu mchezaji muhimu anabakisha mwezi ndio mnaanza kukimbiakimbia.
Tshabalala hana makuu,na analipwa vizuri tu na si hiyo 1.5 m aliyoandika huyu mtopolo mleta mada,kama mkataba umeisha na Club inamhitaji ni dhahiri ataongezewa mkataba na kuboreshewa masilahi yake. Huyo meneja ana lake jambo na Utopolo na mchezaji mwenyewe ana lake jambo na mabosi wake wa sasa. Muda ndiyo utaongea. Tshabalala hata kama ni darasa la saba lakini anajitambua na hawezi kuingia chaka.wadau wa Simba mmeonyesha ukomavu mkubwa sana. Huyu dogo asibembelezwe wala mashabiki wasiwape presha viongozi. Aachwe aende,tuone atafika wapi