Kwa alichokiongea Vanessa Mdee, inawezekana Diamond Platnumz naye anafeki maisha?

Kwa alichokiongea Vanessa Mdee, inawezekana Diamond Platnumz naye anafeki maisha?

AlphaMale

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2019
Posts
613
Reaction score
1,416
Vanessa alisema sababu ya yeye kuacha mziki ni kuwa haukuwa unampa hela, halafu alikuwa akilazimika kuishi maisha ya juu ili kuwafurahisha mashabiki, wakati kiuhalisia hana uwezo huo

Inawezekana zile V8 zilizopo kwenye parking ya Diamond Platnumz, sio zake, na ile nyumba yake ya ghorofa amepanga tu?
 
Yeah mziki hauna hela na diamond pia ni kielelezo..kwa ukubwa wa diamond hapa afrika na muda aliokuwepo kwenye gemu,diamond hakustaili kuwa na utajiri wa usd 5 mill..hizo v8 unazozungumzia ni gari za kawaida tu ambazo hata watu tu wa kawaida mitaani wanazo ..

Diamond alipaswa kusukuma vitu kama rolls royce wrath,vitu kama range rover evok.. tofauti na wenzake akina davido,sasa immagine wasanii kama jux,harmonize,mbosso,aslay,a.y,FA bado ni masikini tu
 
Yeah mziki hauna hela na diamond pia ni kielelezo..kwa ukubwa wa diamond hapa afrika na muda aliokuwepo kwenye gemu,diamond hakustaili kuwa na utajiri wa usd 5 mill..hizo v8 unazozungumzia ni gari za kawaida tu ambazo hata watu tu wa kawaida mitaani wanazo ..diamond alipaswa kusukuma vitu kama rolls royce wrath,vitu kama range rover evok.. tofauti na wenzake akina davido,sasa immagine wasanii kama jux,harmonize,mbosso,aslay,a.y,FA bado ni masikini tu
V8 gari la kawaida duu.

Alafu usikalili maisha,Ngolo kante wa Chelsea kwa wiki anakunja karibu mil 200,lkn gari analotembelea la kawaida tu.

images (15).jpeg

images (14).jpeg
kuna mzee na sali nae kanisani ana tembelea Benz hizi matoleo ya zamani lkn ana ghorofa Ilala,jengine lipo Tabata mandela road,ana mashamba hekari kibao.
 
V8 gari la kawaida duu.

Alafu usikalili maisha,Ngolo kante wa Chelsea kwa wiki anakunja karibu mil 200,lkn gari analotembelea la kawaida tu.

View attachment 1489318
View attachment 1489319kuna mzee na sali nae kanisani ana tembelea Benz hizi matoleo ya zamani lkn ana ghorofa Ilala,jengine lipo Tabata mandela road,ana mashamba hekari kibao.
Gari ya kawaida hiyo,ushawahi kuiona barabara gani hapa bongo...v8 ni gari za kawaida na ni economical,kama huamini nenda pale ubungo(morogoro road) kaangalie gari zinazopita pale,kuanzia asubuhi hadi jioni,hesabu v8 zimepita ngapi,na hiyo gari ya ng'olo kante nazo hesabu zimepita ngapi...ukiiona hiyo gari anayotembelea ng'olo kante walau moja tu,njoo uchukue zawadi...hiyo gari ni limit edition! Usilete mchezo
 
Gari ya kawaida ni gari iliyozoeleka,yaani ambayo huonekana mtaani ..hizo bentley unaweza ukakaa wiki nzima usiione. .ila cruiser v8 watu kibao wanazo
Mimi Bentley kwa wiki naweza nikakutana nazo hata mara tatu.

Kwa hiyo kuziona mara kwa mara ndio kunazifanya kuwa za kawaida? Haijalishi bei yake?.

Basi kama ndio hivyo ngojea ni ufufue mgongo wa chura wangu,maanake barabarani siyaoni mara kwa mara.
images (17).jpeg
 
Gari ya kawaida hiyo,ushawahi kuiona barabara gani hapa bongo...v8 ni gari za kawaida na ni economical,kama huamini nenda pale ubungo(morogoro road) kaangalie gari zinazopita pale,kuanzia asubuhi hadi jioni,hesabu v8 zimepita ngapi,na hiyo gari ya ng'olo kante nazo hesabu zimepita ngapi...ukiiona hiyo gari anayotembelea ng'olo kante walau moja tu,njoo uchukue zawadi...hiyo gari ni limit edition! Usilete mchezo

Wabongo bwana.
Si Min Cooper hiyo?? Limited Edition kwa sababu umejua ana mzigo jamaa.
 
Hii ndo bongo yaani unakutana na kijeba geto kwake godoro liko juu ya box na shuka moja ambayo kikilala upande mmoja kinatandika na nusu kinajifunika, kina deki ya singsung, tv ya chogo inch 18 iko juu ya kreti ya soda kimeshajaza movie za kikorea kwenye flash kina uhakika wa kuangalia movie wiki nzima non stop so muda kinaobaki nao ni kuwaponda tu wanaume wenzie kwa mali wanazomiliki.. Hivi land cruiser V8 ni gari ya kawaida kwa misingi ipi?
 
Back
Top Bottom