Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
V8 isikutishe jombaa mill 150 hadi 200 unapata zipo kibao tu mitaani hadi show room...kuna gari za kuziogopa ambazo acha mtaani,hata show room huwezi ziona..jamaa kaona gari ina sura mbaya basi anadhani anaweza aka-afford!!!..usiogopeHii ndo bongo yaani unakutana na kijeba geto kwake godoro liko juu ya box na shuka moja ambayo kikilala upande mmoja kinatandika na nusu kinajifunika, kina deki ya singsung, tv ya chogo inch 18 iko juu ya kreti ya soda kimeshajaza movie za kikorea kwenye flash kina uhakika wa kuangalia movie wiki nzima non stop so muda kinaobaki nao ni kuwaponda tu wanaume wenzie kwa mali wanazomiliki.. Hivi land cruiser V8 ni gari ya kawaida kwa misingi ipi?