Kwa alichokiongea Vanessa Mdee, inawezekana Diamond Platnumz naye anafeki maisha?

Kwa alichokiongea Vanessa Mdee, inawezekana Diamond Platnumz naye anafeki maisha?

😃😃😃

ngolo hapendi. show off wala kujikweza nakutukuzwa. ni tofauti sana na domo. diamond anavyopenda misifa angekuwa yeye ndiye ngolo kante watu wasingekunywa maji
ngolo na Diamond hivi nani anapaswa kuringa.
 
Hii ndo bongo yaani unakutana na kijeba geto kwake godoro liko juu ya box na shuka moja ambayo kikilala upande mmoja kinatandika na nusu kinajifunika, kina deki ya singsung, tv ya chogo inch 18 iko juu ya kreti ya soda kimeshajaza movie za kikorea kwenye flash kina uhakika wa kuangalia movie wiki nzima non stop so muda kinaobaki nao ni kuwaponda tu wanaume wenzie kwa mali wanazomiliki.. Hivi land cruiser V8 ni gari ya kawaida kwa misingi ipi?
Halafu hela ya bando kakopa niwezeshe 🤣🤣🤣🤣
 
Niwlezee kidogo mafanikio yake maana wengine mpira sio fans.
ana tuzo ya world cup ya mwaka 2018 akiwa sehemu ya wachezaji waliofanikiwa kuipa France mafanikio makubwa mpaka kuchukua tuzo hiyo. .ameshawahi kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa league ya mpira wa miguu ya uingereza. .ana miliki medali 2 za mshindi wa kombe la league ya uingereza
 
Gari ya kawaida hiyo,ushawahi kuiona barabara gani hapa bongo...v8 ni gari za kawaida na ni economical,kama huamini nenda pale ubungo(morogoro road) kaangalie gari zinazopita pale,kuanzia asubuhi hadi jioni,hesabu v8 zimepita ngapi,na hiyo gari ya ng'olo kante nazo hesabu zimepita ngapi...ukiiona hiyo gari anayotembelea ng'olo kante walau moja tu,njoo uchukue zawadi...hiyo gari ni limit edition! Usilete mchezo
Kwa uk ni gari ya kawaida sana hiyo tena zinatengezwa huko huko uk. Pia ingia mtandaoni ufanye ulinganifu wa bei zake na v8.
 
Gari ya kawaida ni gari iliyozoeleka,yaani ambayo huonekana mtaani ..hizo bentley unaweza ukakaa wiki nzima usiione. .ila cruiser v8 watu kibao wanazo
Kwa maelezo ya kawaida kwa wengi gari ya kawaida ni inayooenkana sana na mtu wa kawaida anaweza inunua, ist ni gari za kawaida ila sio v8.
 
ana tuzo ya world cup ya mwaka 2018 akiwa sehemu ya wachezaji waliofanikiwa kuipa France mafanikio makubwa mpaka kuchukua tuzo hiyo. .ameshawahi kuchukua tuzo ya mchezaji bora wa league ya mpira wa miguu ya uingereza. .ana miliki medali 2 za mshindi wa kombe la league ya uingereza
Yuko vizuri, ila kwa Tz Mkuu naona hii sana hata wakimfananisha Dia na Samatta ukweli wote wanamafanikio kipesa nk nahuyo ngolo ila kitanzania na Africa Mziki una PIMPs sikitoto vichwani mwa watu limekaa jina la Mond kuliko Celebrate yeyote Yule huo ndio ukweli.
 
Naona watu wametoka nje ya maada husika na sasa wanaingilia fani za watu za magari!! Ngoja nimwite mwenye uwanja wake wa magari!! "Kidukulilo" njoo uone hawa jamaa wape ABC's za magari
 
dah!! hii inshu ya utajiri inaniumiza sana kichwa maan kuna watu wanapesa na wanaishi maisha ya kawaida na kuna ambao tunavisent vyakubadilishia mboga na tunataka kuishi kistaa na kujionyesha ivi utamtambuaje mtu kama ni tajiri lamda???
 
Back
Top Bottom