BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
๐๐๐kweli kabisaUsikute ndo huyu[emoji1][emoji1][emoji2]View attachment 1489452
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐kweli kabisaUsikute ndo huyu[emoji1][emoji1][emoji2]View attachment 1489452
๐๐๐kweli kabisaUsikute ndo huyu[emoji1][emoji1][emoji2]View attachment 1489452
Mpwa, hebu feki na wewe basiVanessa alisema sababu ya yeye kuacha mziki ni kuwa haukuwa unampa hela, halafu alikuwa akilazimika kuishi maisha ya juu ili kuwafurahisha mashabiki, wakati kiuhalisia hana uwezo huo
Inawezekana zile V8 zilizopo kwenye parking ya Diamond Platnumz, sio zake, na ile nyumba yake ya ghorofa amepanga tu?
AiseeV8 isikutishe jombaa mill 150 hadi 200 unapata zipo kibao tu mitaani hadi show room...kuna gari za kuziogopa ambazo acha mtaani,hata show room huwezi ziona..jamaa kaona gari ina sura mbaya basi anadhani anaweza aka-afford!!!..usiogope
Umezidisha sifuliHiyo ya ng'olo bila usd 300000 hupati...hiyo ya kuanzia kuna matoleo kibao hapo chini kama range tu...jamaa kumbe hata gari huzijui,tunazungumzia MINI cooper achana na JOHN
Piga hesabu hiyo usd 300900 kibongobongo ni sh ngapi
Alikuwa anafake life life likachoka kuwa faked na kumfuc* yeye baada ya kuchoka kuwa fuc*ed ndio akafanza maamziKwa kifupi mziki wa sasa una hela sana ila pia kufulia kupo.
Mkuu ebu wewe niambie hiyo ni bei gani kwa kibongo bongo $300 au $ 900Umezidisha sifuli
Mbona ghorofa yeye mwenyewe kwenye interview Wasafi tv alisema kapanga wakati akijenga his dream homeVanessa alisema sababu ya yeye kuacha mziki ni kuwa haukuwa unampa hela, halafu alikuwa akilazimika kuishi maisha ya juu ili kuwafurahisha mashabiki, wakati kiuhalisia hana uwezo huo
Inawezekana zile V8 zilizopo kwenye parking ya Diamond Platnumz, sio zake, na ile nyumba yake ya ghorofa amepanga tu?
Tofautisha maisha ya Afrika na wenzetu. Aliko Dangote ni tajiri kuliko Roman Abramovich lakini hana matusi kama ya Abromovich, hujawahi kumuona na private yatch, wala akila bata na private plane. Afrika maisha ya watu wenye pesa ni tofauti na ulaya.Yeah mziki hauna hela na diamond pia ni kielelezo..kwa ukubwa wa diamond hapa afrika na muda aliokuwepo kwenye gemu,diamond hakustaili kuwa na utajiri wa usd 5 mill..hizo v8 unazozungumzia ni gari za kawaida tu ambazo hata watu tu wa kawaida mitaani wanazo ..diamond alipaswa kusukuma vitu kama rolls royce wrath,vitu kama range rover evok.. tofauti na wenzake akina davido,sasa immagine wasanii kama jux,harmonize,mbosso,aslay,a.y,FA bado ni masikini tu
haaah kuna akili mafugifugi dahUsikute ndo huyu[emoji1][emoji1][emoji2]View attachment 1489452
Mkuu fuatilia tena kati ya hao wawili nani anapesa then uje uandike tena hapa.Tofautisha maisha ya Afrika na wenzetu. Aliko Dangote ni tajiri kuliko Roman Abramovich lakini hana matusi kama ya Abromovich, hujawahi kumuona na private yatch, wala akila bata na private plane. Afrika maisha ya watu wenye pesa ni tofauti na ulaya.
Kuna magari kuyaendesha bongo ni kituko
You are dame right naona abromovich ana almost mara mbili ya aliko duh kweli africa bado tu masikini sanaMkuu fuatilia tena kati ya hao wawili nani anapesa then uje uandike tena hapa.
Hata wewe bila shaka ni miongoni mwa watu wanaofake lifeV8 isikutishe jombaa mill 150 hadi 200 unapata zipo kibao tu mitaani hadi show room...kuna gari za kuziogopa ambazo acha mtaani,hata show room huwezi ziona..jamaa kaona gari ina sura mbaya basi anadhani anaweza aka-afford!!!..usiogope
Wewe jamaa hovyo kweli, yaani min Cooper nayo gari ya kusema ni 700mil? Inawezekana wewe hata baiskeli huna kabisa.Min cooper unafikiri mchezo, hiyo ya ng'olo kama huna kuanzia mill 700 utaishia kuiona kwa picha hivyo hivyo
Kaka vip mbona kimya.............?au umeenda kiwandani kabisa kuulizia bei yake.Ngoja nikuletee gharama halisi ya cooper achana na basic
Niko busy kidogo,tulia usiwe na harakaKaka vip mbona kimya.............?au umeenda kiwandani kabisa kuulizia bei yake.
๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐Niko busy kidogo,tulia usiwe na haraka
Yeah mziki hauna hela na diamond pia ni kielelezo..kwa ukubwa wa diamond hapa afrika na muda aliokuwepo kwenye gemu,diamond hakustaili kuwa na utajiri wa usd 5 mill..hizo v8 unazozungumzia ni gari za kawaida tu ambazo hata watu tu wa kawaida mitaani wanazo ..diamond alipaswa kusukuma vitu kama rolls royce wrath,vitu kama range rover evok.. tofauti na wenzake akina davido,sasa immagine wasanii kama jux,harmonize,mbosso,aslay,a.y,FA bado ni masikini tu