Kwa alichokiongea Vanessa Mdee, inawezekana Diamond Platnumz naye anafeki maisha?

Vanessa alisema sababu ya yeye kuacha mziki ni kuwa haukuwa unampa hela, halafu alikuwa akilazimika kuishi maisha ya juu ili kuwafurahisha mashabiki, wakati kiuhalisia hana uwezo huo

Inawezekana zile V8 zilizopo kwenye parking ya Diamond Platnumz, sio zake, na ile nyumba yake ya ghorofa amepanga tu?
Mpwa, hebu feki na wewe basi
 
V8 isikutishe jombaa mill 150 hadi 200 unapata zipo kibao tu mitaani hadi show room...kuna gari za kuziogopa ambazo acha mtaani,hata show room huwezi ziona..jamaa kaona gari ina sura mbaya basi anadhani anaweza aka-afford!!!..usiogope
Aisee
 
Hiyo ya ng'olo bila usd 300000 hupati...hiyo ya kuanzia kuna matoleo kibao hapo chini kama range tu...jamaa kumbe hata gari huzijui,tunazungumzia MINI cooper achana na JOHN
Piga hesabu hiyo usd 300900 kibongobongo ni sh ngapi
Umezidisha sifuli
 
Vanessa alisema sababu ya yeye kuacha mziki ni kuwa haukuwa unampa hela, halafu alikuwa akilazimika kuishi maisha ya juu ili kuwafurahisha mashabiki, wakati kiuhalisia hana uwezo huo

Inawezekana zile V8 zilizopo kwenye parking ya Diamond Platnumz, sio zake, na ile nyumba yake ya ghorofa amepanga tu?
Mbona ghorofa yeye mwenyewe kwenye interview Wasafi tv alisema kapanga wakati akijenga his dream home
 
Yeah mziki hauna hela na diamond pia ni kielelezo..kwa ukubwa wa diamond hapa afrika na muda aliokuwepo kwenye gemu,diamond hakustaili kuwa na utajiri wa usd 5 mill..hizo v8 unazozungumzia ni gari za kawaida tu ambazo hata watu tu wa kawaida mitaani wanazo ..diamond alipaswa kusukuma vitu kama rolls royce wrath,vitu kama range rover evok.. tofauti na wenzake akina davido,sasa immagine wasanii kama jux,harmonize,mbosso,aslay,a.y,FA bado ni masikini tu
Tofautisha maisha ya Afrika na wenzetu. Aliko Dangote ni tajiri kuliko Roman Abramovich lakini hana matusi kama ya Abromovich, hujawahi kumuona na private yatch, wala akila bata na private plane. Afrika maisha ya watu wenye pesa ni tofauti na ulaya.
Kuna magari kuyaendesha bongo ni kituko
 
Mkuu fuatilia tena kati ya hao wawili nani anapesa then uje uandike tena hapa.
 
V8 isikutishe jombaa mill 150 hadi 200 unapata zipo kibao tu mitaani hadi show room...kuna gari za kuziogopa ambazo acha mtaani,hata show room huwezi ziona..jamaa kaona gari ina sura mbaya basi anadhani anaweza aka-afford!!!..usiogope
Hata wewe bila shaka ni miongoni mwa watu wanaofake life
 
1593193367779.png

Kante had driven a ยฃ20,000 Mini since he arrived at Leicester in 2015
source: The sun/uk
 
Yeah mziki hauna hela na diamond pia ni kielelezo..kwa ukubwa wa diamond hapa afrika na muda aliokuwepo kwenye gemu,diamond hakustaili kuwa na utajiri wa usd 5 mill..hizo v8 unazozungumzia ni gari za kawaida tu ambazo hata watu tu wa kawaida mitaani wanazo ..diamond alipaswa kusukuma vitu kama rolls royce wrath,vitu kama range rover evok.. tofauti na wenzake akina davido,sasa immagine wasanii kama jux,harmonize,mbosso,aslay,a.y,FA bado ni masikini tu

Hiyo Rolls Royce Madale litaweza kufika?
 
Back
Top Bottom