Kwa alichokiongea Vanessa Mdee, inawezekana Diamond Platnumz naye anafeki maisha?

Gari ya kawaida ni gari iliyozoeleka,yaani ambayo huonekana mtaani ..hizo bentley unaweza ukakaa wiki nzima usiione. .ila cruiser v8 watu kibao wanazo
Hata hizo mini cooper zipo nyingi mtaani... acha ushamba mkuu.. hiyo gari ya kante uwezi fananisha na cruiser v8
 
Dah maisha yangu kabisa haya nimecheka sana Mkuu
 
Jf kama huijui ikuumiza kichwa sana
Dah milion 150/200 unaona hela ya kawaida khaaaaaaaa...........[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ila si shangai hii ndio JF,kila mtu mjanja,kila mtu tajiri,kila mtu msomi.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahaha unachekesha ...Yule tajiri wa Chelsea anapesa pengine kuliko ata Jeff Besoz wa Amazon achana na warusi wewe...wanaficha mali kwa majina engine uko
 
Ata Ommy Dimpo hana kitu.Ni fake life
 
Hahaha unachekesha ...Yule tajiri wa Chelsea anapesa pengine kuliko ata Jeff Besoz wa Amazon achana na warusi wewe...wanaficha mali kwa majina engine uko
Ni kweli ana ela kuliko Dangote... Il siyo kama Besoz yule jamaa ana ela chafu
 
Vanessa kachanganywa na penzi la Rotimi kama ni hivyo muziki haulipi angeshaacha muda mrefu.Yeye akisema haumlipi na kina Nature watasemaje?
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
ngolo hapendi. show off wala kujikweza nakutukuzwa. ni tofauti sana na domo. diamond anavyopenda misifa angekuwa yeye ndiye ngolo kante watu wasingekunywa maji
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

ngolo hapendi. show off wala kujikweza nakutukuzwa. ni tofauti sana na domo. diamond anavyopenda misifa angekuwa yeye ndiye ngolo kante watu wasingekunywa maji
Hapendi sifa bali anatumia hela yake mbona kawaida,wote hamuwezi kufanana.Diamond kununua V8 mnasema anapenda sifa ,je MO kununua Tesla ya 2019 naye anapenda sifa?

Nilicho shangaa jamaa kujaji watu kutoka na brand za magari,ndio maana nikaampa mfano wa Ngolo.
 
Mzee ww unalo v8?
 
Hapo boss kafa kaoza, hat mahusiano yake na huddah yalisuasua kisa dimpoh, had huddah akanyang'anywa ndinga na kupewa baby mashavu mbonyeo. [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ya kweli hayo au unachafua jina la mtu?
 
Sasa nimchafue kwa kipi? Au me nna tatzo nae lipi huyo mtu? Km huna connection basi kuwa mpoleee, wee deal na kumfatilia dimondi, wengine tunawafuatilia wengne alaaaaaah.
Kwahiyo wewe unaamini unaloambiwa?hizo story nazisikia Sana lakini sijawahi kuthibitisha Ni za ukweli au la! Ndo maana sitii neno kwenye Hilo sitaki kuingia kwenye dhambi zisizo nihusu
 
Hahaha unachekesha ...Yule tajiri wa Chelsea anapesa pengine kuliko ata Jeff Besoz wa Amazon achana na warusi wewe...wanaficha mali kwa majina engine uko
umeongopa hatupimi utajiri kwa maono/mapendekezo yako bali number iliyopigiwa hesabu, kwa mahesabu ya namba utajiri wa Jeff ni wakutisha sana mpaka kufikia kule inabidi Mali sijui uzifiche wapi Dunia hii.
 
Kwahiyo wewe unaamini unaloambiwa?hizo story nazisikia Sana lakini sijawahi kuthibitisha Ni za ukweli au la! Ndo maana sitii neno kwenye Hilo sitaki kuingia kwenye dhambi zisizo nihusu
Basi kaa kwa kutulia, by the way sikua nakujibu wee, au sijalazimishaa ukubali, ndio maan tumetofautiana mitazamo hivyo, hebu relaaaaaaaax.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…