Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Kweli nimekumbuka
 
Mchungaji ana Tatto...Zile za kwenye Nyonyo kwani kashazifuta
 
Ni hatari kutumia uzuri wako kutafuta kazi. Viungo vya chini na mwili ndio utakaoteseka na kuchakaa haraka.
Haka kama vikichakaa kuna msemo "Maku haina shombo" unajua mpaka leo jokate anahongwa ? Jiulize kwa nini ? Wewe ukimchoka mwengine anavuta goma. Wanaume wengi tunataka kujua kwa nini kila aliyetuzidi anapapenda pale. Ndio maana nikakazia kuwa ukiwa na binti mzuri kaza amalize chuo kikuu akimaliza ameshatoboa. Nenda kwenye mashirika na taasisi mbali mbali za serikali pia usisahau private sector utajionea nilichoandika hapa.
 
Dar ukristo bana, umeingiliwa, sasa huyu, form four failure, mshiriki wa umiss, danga LA ki sasa, anakuwa, mchungaji!! Kama kuna MTU anamsikiliza, inabidi awaishwe mirembe(hospitsri ya vichaa Dodoma)
 
Huyu demu sindio wanamuitaga Opra?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…