KatetiMQ
JF-Expert Member
- Sep 25, 2022
- 249
- 506
Nyie jamaa vichwa boksi kabisaUnamwita malaya umewahi kulala nae?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie jamaa vichwa boksi kabisaUnamwita malaya umewahi kulala nae?
Kweli nimekumbukaWakati nawaletea habari ya kuokoka kwake hapa si mlinipinga?
Habari zangu ni kiasi cha muda tu, leo kila mmoja anamuita mchungaji Uwoya! Lols
Haya nendeni mkapate upako, msiangalie mavazi bali matendo yake.
Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!
Mshindi namba 5 wa Miss Tanzania 2006, muigizaji na mjasiriamali Irene Pangras Uwoya, 35 amempokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake! Muigizaji huyo aliyezaliwa na kulelewa katika Ukatoliki, alifikia uamuzi huo baada ya kukumbwa na maswahibu yaliyotishia uhai wake. Mjane huyo wa...www.jamiiforums.com
Na wewe anzisha kanisa lako tukikuelewa tunakuja. Punguza makasiriko.Nyie jamaa vichwa boksi kabisa
Mkwe nakusalimu kwa jina la Jamhuri🤣
Swali kigongo msumari... ..!Anafungisha ndoa?
Mchungaji ana Tatto...Zile za kwenye Nyonyo kwani kashazifutaHabari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.
View attachment 2993264
Ndiue huyo huyo Mungu aliyesema hivyo!..Mungu ndio anahukumu.
Haka kama vikichakaa kuna msemo "Maku haina shombo" unajua mpaka leo jokate anahongwa ? Jiulize kwa nini ? Wewe ukimchoka mwengine anavuta goma. Wanaume wengi tunataka kujua kwa nini kila aliyetuzidi anapapenda pale. Ndio maana nikakazia kuwa ukiwa na binti mzuri kaza amalize chuo kikuu akimaliza ameshatoboa. Nenda kwenye mashirika na taasisi mbali mbali za serikali pia usisahau private sector utajionea nilichoandika hapa.Ni hatari kutumia uzuri wako kutafuta kazi. Viungo vya chini na mwili ndio utakaoteseka na kuchakaa haraka.
Na wewe anzisha kanisa lako tukikuelewa tunakuja. Punguza makasiriko.
Sija hukumu ni angalizo tu mkubwaHuna mamlaka ya kuhukumu mkuu.
Huyo dada anataka kutumia umaarufu wake vibayahili nalo litizamwe, mm najua uchungaji unasomewa, upadri pia, labda angejiita nabii, kuhani, hapo sawa.
Irene kanivutia na mimi kufungua kanisaTuma sadaka kwenye namba hii ya Mpesa 0754200389, jina litatokea mchungaji kiongozi Airini Uwoyer
Dar ukristo bana, umeingiliwa, sasa huyu, form four failure, mshiriki wa umiss, danga LA ki sasa, anakuwa, mchungaji!! Kama kuna MTU anamsikiliza, inabidi awaishwe mirembe(hospitsri ya vichaa Dodoma)Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.
View attachment 2993264
Huyu demu sindio wanamuitaga Opra?Habari watu wa Mungu. Nimetokea kuvutiwa na mchungaji Irene kwakua anayaongea matukio halisi ya kibinadamu na uhusiano wa binadamu na Mungu.
Wachungaji na manabii wengi wamekua ni waongo na habari za uongo nyingi na sisi kama wafuasi tumekua tukitanga tanga kuhama makanisa kutafuta manabii ambao wengi ni waongo. Naomba kwa ambaye ameshawahi kusali Friends of God ministry kwa mchungaji Irene Uwoya aje kutupa ushuhuda hapa ili tuweze kuwaokoa watu wa Mungu. Mungu awabariki sana.
View attachment 2993264
Irene kanivutia na mimi kufungua kanisa