Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Kila binadamu ana karama yake. Mungu ameamua muda wa Irene kuwaokoa wanadamu ni sasa wewe ni nani hata upinge hilo?
USISAHAU MIUNGU WAKO WENGI.
Kutoka 20:3-17 “Usiwe na miungu mingine ila mimi.
 
Duh wewe ni lesbian?
 
Kanisa lina baba mchungaji kwanza? Maana hiyo nafasi naihitaji sana.
 
Sioni baya yeye kuwa mchungaji.Swala ni kuwaelekeza njia sahihi waumini wake kupitia Biblia,Narudia kupitia Biblia.Mengine ni ya kawaida sababu ni mchanga huko na bado anafuatiliwa na nguvu za Upande wa Giza anaweza teleza but akasimama go Irene,go nenda Ukamuheshimishe Mungu kwa mataifa.
 
Msiamini kila roho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…