Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Mungu wa kweli na uzima amemtuma mtumishi wake Mchungaji Irene.
Bado nina wasiwasi na huyo Mungu wake;
kumbuka:
Nabii tito katumwa na mungu,
zumalidi mchawi katumwa na mungu,
Nabii shilla katumwa na mungu,(kugawa pesa)
Masanja katumwa na mungu,
Shusho katumwa na mungu,
Mwamposa katumwa na mungu,
pilipili katumwa na mungu,
 
Hauwezi kutoka kwenye uislam ukaenda kuanzisha kanisa .huo ni uchizi
 
Utakuwa unawaza unanyonya manyonyo ya mchungaji🤣🤣🤣😜😛
 
Unataka utumwe wewe mkuu?
 
kwa kile kipilipili ngoja nisali mwenyewe chumbani
 
Mimi nitaaenda kujionea uumbaji wa Allah..
Hana lolote la kiimani la kunifundisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…