Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Mungu wa kweli na uzima amemtuma mtumishi wake Mchungaji Irene.
Bado nina wasiwasi na huyo Mungu wake;
kumbuka:
Nabii tito katumwa na mungu,
zumalidi mchawi katumwa na mungu,
Nabii shilla katumwa na mungu,(kugawa pesa)
Masanja katumwa na mungu,
Shusho katumwa na mungu,
Mwamposa katumwa na mungu,
pilipili katumwa na mungu,
 
Hata Waislamu wanaruhusiwa kutoka kwenye Uislamu na kuanzisha makanisa, kwa hiyo hiyo point ya "Mimi Muislamu" haiondoi point yangu kwamba hata wewe unaweza kuanzisha kanisa.

Na kama hutaki kutoka kwenye Uislamu uanzishe kanisa, basi waache hao Wakristo waliojipangia mfumo wao waishi kwa raha zao kwenye mfumo wao.

Kwani wamekulazimisha kwenda kwenye hilo kanisa?
Hauwezi kutoka kwenye uislam ukaenda kuanzisha kanisa .huo ni uchizi
 
Kufungua kanisa Uwoya sio kitu kibaya labda ni kweli Mungu amemuita
Lakini inabidi akubali kubadili matendo kuanzia maneno mpaka mavazi

Mchungaji ana vikuku mguuni waumini wataelewa neno wakati akili yote itakua inamuwaza

Amevaa koti hilo bra ya ndani inaonekana Seriously? Mimi kama kondoo nitakua nawaza nanyonya kifua cha mchungaji

Abadilike..!
Utakuwa unawaza unanyonya manyonyo ya mchungaji🤣🤣🤣😜😛
 

Attachments

  • 20240515_084138.jpg
    20240515_084138.jpg
    99.3 KB · Views: 3
Bado nina wasiwasi na huyo Mungu wake;
kumbuka:
Nabii tito katumwa na mungu,
zumalidi mchawi katumwa na mungu,
Na bii shilla katumwa na mungu,(kugawa pesa)
Masanja katumwa na mungu,
Susho katumwa na mungu,
Mwamposa katumwa na mungu,
pilipili katumwa na mungu,
Unataka utumwe wewe mkuu?
 
Wakati nawaletea habari ya kuokoka kwake hapa si mlinipinga?
Habari zangu ni kiasi cha muda tu, leo kila mmoja anamuita mchungaji Uwoya! Lols

Haya nendeni mkapate upako, msiangalie mavazi bali matendo yake.

kwa kile kipilipili ngoja nisali mwenyewe chumbani
 
Back
Top Bottom