Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado nina wasiwasi na huyo Mungu wake;Mungu wa kweli na uzima amemtuma mtumishi wake Mchungaji Irene.
Hauwezi kutoka kwenye uislam ukaenda kuanzisha kanisa .huo ni uchiziHata Waislamu wanaruhusiwa kutoka kwenye Uislamu na kuanzisha makanisa, kwa hiyo hiyo point ya "Mimi Muislamu" haiondoi point yangu kwamba hata wewe unaweza kuanzisha kanisa.
Na kama hutaki kutoka kwenye Uislamu uanzishe kanisa, basi waache hao Wakristo waliojipangia mfumo wao waishi kwa raha zao kwenye mfumo wao.
Kwani wamekulazimisha kwenda kwenye hilo kanisa?
Siyo huwezi, hakuna sheria ya fizikia itakayovunjwa hapo.Hauwezi kutoka kwenye uislam ukaenda kuanzisha kanisa .huo ni uchizi
Kwa sababu neno Mungu tu ni igizo.hawa watu wanafanya maigizo sana na mambo ya Mungu.
Utakuwa unawaza unanyonya manyonyo ya mchungaji🤣🤣🤣😜😛Kufungua kanisa Uwoya sio kitu kibaya labda ni kweli Mungu amemuita
Lakini inabidi akubali kubadili matendo kuanzia maneno mpaka mavazi
Mchungaji ana vikuku mguuni waumini wataelewa neno wakati akili yote itakua inamuwaza
Amevaa koti hilo bra ya ndani inaonekana Seriously? Mimi kama kondoo nitakua nawaza nanyonya kifua cha mchungaji
Abadilike..!
Uislam hauchezewi hapo ndipo nnapo wakubaligi
Kumbe uwoya kawa nabii mchungaji naye 😄
Ova
Unataka utumwe wewe mkuu?Bado nina wasiwasi na huyo Mungu wake;
kumbuka:
Nabii tito katumwa na mungu,
zumalidi mchawi katumwa na mungu,
Na bii shilla katumwa na mungu,(kugawa pesa)
Masanja katumwa na mungu,
Susho katumwa na mungu,
Mwamposa katumwa na mungu,
pilipili katumwa na mungu,
Mchungaji Irene Uwoya. Uwoya ni baba yakeU
UWoya?
kwa kile kipilipili ngoja nisali mwenyewe chumbaniWakati nawaletea habari ya kuokoka kwake hapa si mlinipinga?
Habari zangu ni kiasi cha muda tu, leo kila mmoja anamuita mchungaji Uwoya! Lols
Haya nendeni mkapate upako, msiangalie mavazi bali matendo yake.
Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!
Mshindi namba 5 wa Miss Tanzania 2006, muigizaji na mjasiriamali Irene Pangras Uwoya, 35 amempokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake! Muigizaji huyo aliyezaliwa na kulelewa katika Ukatoliki, alifikia uamuzi huo baada ya kukumbwa na maswahibu yaliyotishia uhai wake. Mjane huyo wa...www.jamiiforums.com