Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

Kamwe siwezi kuingia kwenye kanisa au msikiti wa huyo mtu maana tabia zake Hana sifa ya kuwa kiongozi wa jamii au kundi lokote
Wenzio Mafarisayo na masadukayo wakisema hivyo hivyo kwa Bwana Yesu Kristo kipindi anaanza huduma matokeo yake,
Mwishoni wakaonekana vilaza wa head wakizidiwa maarifa ya Ki Mungu na kina Petro wavuvi,tomaso na Zakayo mtoza ushuru kisa tu kujiona wao wakamilifu na wana elimu kubwa kuliko hao ngumbaru wafuasi wa Mnazarene
Mungu hua anafanya maajabu ambayo akili za Kibinadamu zinagoma kabisaaaa
Mungu Sio Shemeji yako umpangie namna ya kufikisha ujumbe kwa watu wake!
Stay and see God wonders!
😁😁
 
Hauzi kweli huko church?

Anyway huyu mmama huwa anaonekana mzuri kidogo tu akiwa amevaa nguo na make up

Nikikumbuka lile vuzi la kipilipili nasikia kinyaa
 
Kwa hiyo wewe unatamani bra za wanawake wenzio
 
Ukianza kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya, unishtue ili na mimi nije tusali wote.
 
Mchungaji wetu wa Kasi ya 6G ,atakimbiza Sanaa km mwamposaa n swala la muda tu😂
 

Attachments

  • Screenshot_20240518_220754.jpg
    353.7 KB · Views: 2
Alibadili dini huyu demu na kuwa muislamu na jina Sheila.
 
Mimi sina cha kuongea ila hawa wanafanya sasa niamini ukiristo zama hizi ni dini ya kitapeli wakiristo wanatakiwa wasimame waiteteee kwa nguvu dini yao mungu wetu ana dhihakiwa sana mungu wetu mpk wasagaji wanaojiuza wanajiita manabii nyakati hizi tutaona mengi duniani mpka tufe kazi ipo
 
Mc pili pili hata usimtaje! Juzi tarehe 14 tulikuwa nae Mbeya huku alikuja kwenye tamasha flani hivi tuka collide kwenye ki grocery flani hivi karibu na Mbeya Pazuri alikuwa anakula mitungi balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…