Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Wenzio Mafarisayo na masadukayo wakisema hivyo hivyo kwa Bwana Yesu Kristo kipindi anaanza huduma matokeo yake,Kamwe siwezi kuingia kwenye kanisa au msikiti wa huyo mtu maana tabia zake Hana sifa ya kuwa kiongozi wa jamii au kundi lokote
Mwishoni wakaonekana vilaza wa head wakizidiwa maarifa ya Ki Mungu na kina Petro wavuvi,tomaso na Zakayo mtoza ushuru kisa tu kujiona wao wakamilifu na wana elimu kubwa kuliko hao ngumbaru wafuasi wa Mnazarene
Mungu hua anafanya maajabu ambayo akili za Kibinadamu zinagoma kabisaaaa
Mungu Sio Shemeji yako umpangie namna ya kufikisha ujumbe kwa watu wake!
Stay and see God wonders!
😁😁