Heavy equipment
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,456
- 1,005
"Lazima waibe sana maana kazi nyingi za serikaini siyo za ushindani unapewa bure"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwe na subira maana wahusika wote wa ufisadi watapitishwa katika njia ya Moto na majonzi kisheriaLucas mwashambwa aione kwenye file kuwa ufisadi na CCM Ni Chanda na Pete
Inasikitisha mno!Leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwa kuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
Rais Samia ameeleza kuwa ndege mpya ya mizigo ya ATCL inayokaribia kuwasili nchiniilipaswa kulipiwa Dola Milioni 37 lakini invoice imekuja dola milioni 86 na pale alipohoji mkataba ulisemaje? na ongezeko limetokana na wapi?, alipewa majibu mepesi mepesi kama vile vifaa vimepanda bei
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani….. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” Alisem Rais Samia.
KWA HALI KAMA HII NI VYEMA MKURUGENZI WA ATCL NA TIMU YAKE WAKATANGULIA MLANGO WA KUTOKEA MAPEMA KABLA FEDHEHA YA KUTUMBULIWA HAIJAMKUTA
Umepenyezewa Kwa nyuma hii taarifa?Uwe na subira maana wahusika wote wa ufisadi watapitishwa katika njia ya Moto na majonzi kisheria
ATCL hawamiliki ndege na hawahusiki na ununuzi wa ndege. ATCL ni kama wasimamizi wa biashara ya usafiri wa anga kwa niaba ya serikali. Mmiliki wa ndege za ATCL ni Tanzania Government Flight Agency (TGFA). Na taratibu za manunuzi zinaanzia wizarani kwa sababu pesa ya ununuzi haijazalishwa kutoka kwenye biashara zaidi ya bajeti kuu ya seriali. Sasa huyo Mkurugenzi wa ATCL anahusikaje hapo????Leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwa kuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
Rais Samia ameeleza kuwa ndege mpya ya mizigo ya ATCL inayokaribia kuwasili nchiniilipaswa kulipiwa Dola Milioni 37 lakini invoice imekuja dola milioni 86 na pale alipohoji mkataba ulisemaje? na ongezeko limetokana na wapi?, alipewa majibu mepesi mepesi kama vile vifaa vimepanda bei
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani….. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” Alisem Rais Samia.
KWA HALI KAMA HII NI VYEMA MKURUGENZI WA ATCL NA TIMU YAKE WAKATANGULIA MLANGO WA KUTOKEA MAPEMA KABLA FEDHEHA YA KUTUMBULIWA HAIJAMKUTA
Hakika rais wetu anatakiwa asaidiwe pakubwa na kwa haraka, ikiwemo kumwombea Mungu ampe ujasiri, akili na hekima itokayo juu. Kakwama na kuishia kulalamika na kutukana: "...stupid..., ...pumbavu..."!Taifa linapita mahali pagumu sana, PhD hangaya anahitaji msaada. Haya majizi yenye uwezo wa kuongeza hizo % zao hata ukiyaita stupid au Pumbavu ni sawa umeyapaka mafuta au kuyabembeleza...
Ona hali za afya za watu wetu, ona elimu zao, ona kilimo chao, ona watanzania wanavyoteseka kwa matozo yasiyo kichwa wala miguu ona ma mikopo nchi imegeuzwa shamba la bi hangaya kila mtu anachota kwa style yake.
Nadhani mtoa mada hamjui mmiliki wa ndege... ATCL anakodi ....kuna ile team ya wanasheria wa hii mikataba ndio wamemgutusha bi tozo. Ungeniambia Mwigulu na katibu mkuu wake, au wale wa Ujenzi mawasiliano na uchukuzi ningekuelewaa
anayenunua ni nani? maana ATCL wao wanazikodi tu, hakuna haja ya kujiuzulu
Sijawahi kumsikia mama S akitukana hivyo embu tuone kama matusi yake yanaambatana na vitendo.
mama katukana tusi ganiSijawahi kumsikia mama S akitukana hivyo embu tuone kama matusi yake yanaambatana na vitendo.
Nani analipa hizo ukute wakala wa ndege sio ATCLLeo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwa kuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
Rais Samia ameeleza kuwa ndege mpya ya mizigo ya ATCL inayokaribia kuwasili nchiniilipaswa kulipiwa Dola Milioni 37 lakini invoice imekuja dola milioni 86 na pale alipohoji mkataba ulisemaje? na ongezeko limetokana na wapi?, alipewa majibu mepesi mepesi kama vile vifaa vimepanda bei
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani….. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” Alisem Rais Samia.
KWA HALI KAMA HII NI VYEMA MKURUGENZI WA ATCL NA TIMU YAKE WAKATANGULIA MLANGO WA KUTOKEA MAPEMA KABLA FEDHEHA YA KUTUMBULIWA HAIJAMKUTA
Kwa ulichokiandika ni kama vile hukunyonya vizuri au huna shukrani kwa aliyekunyonyesha. Kwa taarifa yako binadamu anatengenezwa ktk siku 1,000. Chakula kikuu kwa miezi sita ni ziwa tamu la mama. #Ufikirie kabla ya kuandika. Uwe na heshima basi.🙏🙏🙏Mwache adhani uraisi ni kama kunyonyesha mtoto.AJIKAZE AAMUE.
Manunuzi na uendeshaji unafanywa chini ya Waziri/KM na board inamaana hao wote wanabaki kufanya nini?Leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha za manunuzi ya Ndege mpya ya mizigo kinyume na fedha ambazo zilikuwepo kwenye mkataba wa awali huku akiwataka Watumishi wa Serikali waliokubali ongezeko hilo bila kuhoji waachie nafasi zao kwa kuwa hawana uchungu na fedha za Watanzania.
Rais Samia ameeleza kuwa ndege mpya ya mizigo ya ATCL inayokaribia kuwasili nchiniilipaswa kulipiwa Dola Milioni 37 lakini invoice imekuja dola milioni 86 na pale alipohoji mkataba ulisemaje? na ongezeko limetokana na wapi?, alipewa majibu mepesi mepesi kama vile vifaa vimepanda bei
“Na bado aliyepokea anakuletea Serikalini hii ilipwe ndio invoice tumepokea….. stupid, ulipopokea umechukua hatua gani? umeuliza nini? umefanya nini? ukilitazama kwa undani hili ongezeko limeanzia huku ndani kuna Watu wameongea huko”
“Hatuwezi kwenda hivyo na nadhani hawa wanaopokea hizo invoice wakazileta kwa raha zao kabisa Serikalini watupishe, hawafai kuwa kwenye hizo nafasi, kama wanafaa angepokea huko akalihoji”
“Baada ya kuhoji akasema nilipokea hivi, nimeambiwa hivi lakini bado nimeoka tufanye hivi, huyu unamuelewa lakini Mtu anapokea kwa raha zake tu analeta Serikali ‘Kuna hiyo invoice imekuja, vifaa vimeongezeka baada ya covid, pumbavu haiwezekani….. Mawaziri tusaidieni over-invoicing zipo nyingi sana” Alisem Rais Samia.
KWA HALI KAMA HII NI VYEMA MKURUGENZI WA ATCL NA TIMU YAKE WAKATANGULIA MLANGO WA KUTOKEA MAPEMA KABLA FEDHEHA YA KUTUMBULIWA HAIJAMKUTA
Ndio kazi aliyokuwa amejipa Magufuli kunyoosha vichwa ngumu wote Serikalini. Matokeo yake alijijengea maadui ambao mpaka leo hawataki kusikia jina lake. Tutamkumbuka kama Rais pekee "Jiwe" asiyetishwa na kutishika.
Inaonekana kama ili uongoze hii nchi kwa mafanikio ni lazima uwaone watendaji wote wa serikali kama Ng'ombe au Punda. Uwapeleke peleke mpaka waombe kuacha kazi.
Kila mtu anayepata nafasi kidogo anataka kuiba.
Ni tabia za watu, mkuu hivi chama chenu kina nia thabiti ya kumkomboa masikini toka kwenye lindi la umaaikini? Mnamuwekea TOZO huku mnaiba billions, na nilivyoona mama kashindwa kumtaja kwa jina muhusika hata mmoja nikajua ndio imetoka hiyoStupid na pumbavu sio tusi!.
P
ATCL hawahusiki na mchakato wa manunuzi...wanakabidhiwa ndege zilizonunuliwa na Serikali kupitia wakala wa ndege za Serikali na Wizara yake.Mama Samia, alichukia sana sanaaa, kiukweli inaudhi mnoo mnoo, yaani watu wanaiba sanaa, Mkurugenzi ATCL lazima aondoke, pia Mkurugenzi TGFA lazima aondoke, kumbuka hizi ndege zikitaka kununuliwa TGFA lazima abariki maombi ya ATCL, hivyo wakurugenzi wote wawili lazima waondoke haraka na kuachia ngazi zao, yaani wajifukuzishe kazi wao wenyewe au Mh. Rais awafukuze kwa barua haraka sana kwa kuwatengua kwa barua haraka ya Ikulu.
Mh. Rais kachukia sana, naamini kati ya leo au ugeni huu wa Makamu wa Rais wa Marekani ukipita, atachagua wakurugenzi wapya ATCL na TGFA, ndio maana Mh. Rais alisema watupishe, naamini ni watu wengi kidogo, hadi ofisi ya mwanasheria Mkuu wa Serikali nayo inahusika kabisa. Ngoja tuone siku chache zijazo
Waafrika huwa hatuna aibu wala hiyo hofu ya kujiuzulu haipoLeo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU