Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

Mkuu inaonekana akili yako huna imani nayo yaani mwanamke nishindwe kumuongoza kisa kanizidi miaka 5 big No maybe awe kunguru asiyefugika, ila kwa single mother hapana kwa kweli ni complicated issue kubalance malezi
una uzoefu na single mothers?
 
mzee wako ametisha
 
sasa complications nyingi za nini.Lazima tu siku moja utakuja kuzinguana na huyo aliyezaa nae
 
sasa wanawake wenye hela nyingi wataolewa na nani?
 
mzee vipi vidonda vimeshalipuka?
 
Ni ushauri mzuri ila kuoa mwanamke mwenye mtoto kunachangamoto zake,kama uchumi mzuri hakuna shida.Kwa mfano unaoa mama mwenye mtoto miaka saba mwanzoni huku hakuna shida ila mwishoni unapokuwa mzee ndiyo changamoto na huyo mke kama hana hekimu utapata shida sana,labda huyo mtoto awe wa kike ataendelea na maisha yake.
 
Ma single mama, sasa waolewe nani ? Acheni ubaguzi nao wana haki ya kuolewa. Mistake zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…