Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi


Kwanini afadhali huyo mtoto awe wa kike?
 
Hilo sio swala la Tz,ni swala La Dunia,usije date,wala kuoa single mothers, labda kama hujui consequences zake tukujuze.
 
Write your reply...BORA NIOE NG'OMBE AU MBUZI AU KUKU

AU BORA NISIOE KABISA KULIKO KUOA SINGLE MAMA VIJANA MSISUBUTU KABISA HATA WAZAZI WAKO WATAKUONA WA AJABU KUOA FAMILIA YA MWENZAKO
Kikubwa siku hizi hamuulizi upo bikra bali mnauliza upo na watoto wangapi?
 
NA MIMI NILIYEKAA KWENY MAHUSIANO TOFAUTI TOFAUTI KWA MIAKA 20+ NJOONI PM NIWAPE MWONGOZO BORA WA NAMNA YA KUYAWEZA HAYAA...!
 
Nina 48 mke 61 tumedumu miaka 25 Kila wakati ni bebi kwangu.
Hata Law of Demand & Supply ina Exceptional.. nnamaanisha kuna mazingira mengine haiwi applicable, maneno yake ni kwa uzoefu wake mkuu na kwa kiasi kikubwa ni applicable.
 
Mimi wife nimemzidi miaka 19 na maisha yanasonga [emoji120][emoji120]
 
Je ukiwa na miaka 40 ukao bint wa miaka 22 inakuwaje?
 
Hamna kitu hapo, OA , nasema oa yeyote.
Labda namba 4 kdg, na yenyewe umesema mwanamke na sio mke wa mtu.
Mke wa mtu ndio kamwe ni htr sn.
Lkn mwanamke just hajaolewa,
Beba ,kwan hakun utayemkuta bikra,
 
Moja Kati ya thread nzuri nilizowahi kuzisoma humu Jf

Nakazia hapo kwa kuoa mwanamke aliyeachika na mwanaume mwingine.Kusema ukweli watu ambao waliwahi kuwa kwenye mahusiano na wakafanikiwa kupata mtoto/ watoto huwa hawaachani kbsa.Wanaweza wakatengana kimwili lakini siku wakikutana lazima watapasha viporo tu.Na pia watoto wao watawafanya watafutane ili kujua Hali na maendeleo ya watoto wao.

Simshauri mtu aoe mwanamke aliyeachika maana atachapiwa Sana.
 
Swala la kuoa mwanamke niliyemzidi miaka 5-10 sikuwahi kulielewa kabisa, yani unakuwa na mwanamke anakuona kama kaka yake au anakuheshimu sana anashindwa kuwa na uhuru na wewe kwasababu sio wa rika moja.

Mimi ni wife tofauti ni mwaka mmoja tu na kila kitu kipo sawa, yanu atleast umzidi miaka 3 sio 5-10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…