Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi

Na nyie wanaume nawaambia tho sina experience ila usioe mwanamke ambae anakuzidi elimu na kipato cha fedha.
Kama Mke ana elimu, basi wewe kuwa na pesa heshima itakuwepo.note: hapa vice versa is not true😀😀😀

Hapa sitegemei wanawake wenzangu kupingana na Mimi😂
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] vipi tena mzee anazingua nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Namna ya malezi ni ngumu sana kubalance mzani kati ya mwanao na mwingine, namna ya kuzuia asiwasiliane na baba yake

Kinachonikera Mimi naishi na mtoto wake, ila Nina wangu mwingine nje nikiwasiliana nae anawaka

Hawa wanawake hawana akili, mtanisamehe

Anayetaka kuoa single mother aoe ila asirudi hapa analia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unauma halafu unapulizia,hao wanawake ni majanga mkuu,sio wote ila majority ni vichomi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vip ulimpata yule dada natinde
 
Ni wale mapacha wa kike ndo Uliwaona?
 
Ikiwa imepangwa na Mungu mimi ninani nikatae?
True
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwani umemuoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala la ndoa halina mtaalam uzoefu wako unaweza usiwe sahihi kwa mwingine, suala la Umri, kipato, Mazingira inategemea tu na akili za wenye ndoa, Cha muhimu vijana waoane wenye sifa zinazoendana ndoa zitadumu
 
Naomba kufunga mada yangu kwa wewe kijana ambae bado hujaoa siyo mwana mme mgane wala Divorcee NO. You fresh young chap usioe mwanamke mwenye sifa nilizotaja na kama huamini oa acha kubishana na mimi mara sijui ndoa haina formula, mara sijui marriage ni complicated institution mara sijui inategemea Mimi ninachokumambia achaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Point #1 sio kweli.
Ushahidi ni huu; Tanzania ikiwemo Dar es salaam nyumba nyingi hazina baba mwenye Nyumba, kuna watoto na mama tu.
Wababa washakufa.
Hivyo ukimwoa mwanamke uliyemzidi miaka 5 basi jua kuwa kuna uwezekano mkubwa wa kumuacha duniani miaka zaidi ya kumi mbele baada ya kifo chako.
 
Mkuu umeongea kweli tupu, hasa kwenye point ya kwanza kuhusu umri wa mke, kwa kuongezea hapo ni kwamba mwanamke akishakuzidi umri basi na uwezo wake wa kufikiria utakuwa mara mbili ya kwako wewe mwanaume, ni kweli kuwa wanawake wamebarikiwa kuwa na ubongo unaoconnect mambo mengi kwa wakati mmoja, so mwanamke akikuzidi umri au akiwa sawa na wewe kiumri jua kuwa kiakili yuko mbali sana na atakusumbua sanaa maana wao majukumu ya maisha huwa wanayaanza mara tu baada ya kuzaliwa, ndo maana utakuta watoto wa kiume wanacheza mpira ila watoto wa kike wanajipikilisha na kulea watoto wa plastic(midoli) ndo nature hiyo....

Lakini mkuu kwenye suala na mwanamke mwenye mtoto hapo naona wanaume tulegeze kidogo kuzingatia na mazingira ya huyo mtoto alivyopatikana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuhusu swala la mtoto naongelea kijana fesh ambae hajawahi kuoa na wala hana mtoto asioe mwanamke mwenye mtoto siku ya mwisho itamletea shida tu na anaweza shida akainzisha hata yeye mwenyewe kwa ubinafsi tu. Mfano mimi as said am 46 with three kids hakuna namna kwa njia yoyote ile nikawa sina mke then lazima nitaingia kwenye mahusiano na mwanamke ambae labda ni 38-42 huyu anaweza akawa kabisa ana mtoto
 

Wewe university graduate, though you’re not ‘reach’ yet.... hapo kijana na msichana ni wote wanataka kuolewa..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…