Kwa anayetaka kuoa nashauri usioe mwanamke mwenye sifa hizi


Ahsante kwa ushauri lakini hapo kuhusu mwanamke mwenye mtoto sikubaliani napo! Je mwanaume mwenye mtoto nae asioe na mwanamke asiyekuwa na mtoto kwa sababu ya ex wake?

WE FALL IN LOVE BY CHANCE WE STAY IN LOVE BY CHOICE!
 
NINA RAFIKI YANGU ANA WATOTO WAWILI, AMEZAA NA MWANAMKE ASKARI, JAMAA HANA KAZI MPAKA SASA! AMESOMESHWA NA MWANAMKE CHUO. MWANAMKE ALISHAZAA HAPO KABLA JUMLA WATOTO WA 3.

NA MIMI NASEMA VIJANA TUOE MWANAMKE AMBAYE YUPO TAYARI KUPOTEZA CHAKE CHOCHOTE KWA AJILI YAKO, NA SIO MWANAMKE AMBAYE KILA KUKICHA UNAPOTEZA WEWE TU.
 
Mahusiano na ndoa havina formula.
Kuna watu wanaona wanavigezo vyote ulivyosema na wanaachana na kuna Watu hawana hivyo vigezo wamedumu.
Mambo yamahusiano waachiwe wanaohusiana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fact. Ila bado kuowa single maza ni kaaazi kweli kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifariji tu kwa sababu ulioa mwenye mtoto,amini unayoambiwa humu kwa % kubwa.Vumilia tu huna namna!!
 
Mimi nataka kuoa niliyemzidi elimu lakini amenizidi kipato cha fedha. Unasemaje juu ya hilo ?

Ni afadhali iwe kinyume chake, akuzidi elimu umzidi kipato.... hivyo unavyotaka utaishia kudharauliwa na kuona elimu si lolote.
 
Kwenye umri hapo nakataa kwa sababu hata mpishane miaka 30 kinacho matter zaidi ni matunzo ya mwili wako. Kuna vibabu vya miaka 50 hadi 60 vinapiga vitu balaa kuliko hawa vijana chipsi tulio nao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Du ni kweli kabisa ndugu.ijapo kuna jambo lina utata hapa....mfano umezinguana na mke baada ya miaka 15 ya ndoa na labda una umri wa miaka 42 au zaidi,kwa mtazamo wangu huwezi kwenda kuoa bint wa miaka 19,20,22 atakuzingua mbele huwa nafikiria ikitokea kwangu natamani kuoa bint wa miaka 28 au 31 hapo katkat ukioa bint mdogo ambae hajapita kwenye misukosuko kidogo atakusumbua kidogo.na ma bint wa miaka hiyo mara nyingi wanakua wamesha zaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amri ya 3 ya hii thread ni muhimu zaidi, maana kwenye maisha ya ndoa shetani atakupa majaribu ila kitendo cha kuivunja hii amri ni kujitengenezea majaribu mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…