Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anayepinga hoja za lissu ni mtu wa ajabu sana.Tundu Lissu yuko sahihi. Ccm hawawezi kujibu hoja za Lissu.
AmeeenMungu mbariki lissu
Huwa najiuliza kwann serikali inapinga vikali, na kujisahaulisha kuhusu mabadiliko ya katiba? Sisi watanzania siyo wajinga ni wazembe.Habari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa ili tuendelee kuwa na amani na kupata maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.
Mambo matatu ambayo vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya ni:
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikifanya haya, vitajenga imani kwa wananchi kwamba vipo kwa maslahi ya Taifa, si kwa chama fulani cha siasa.
- Wakuu wote wa ulinzi na usalama wa Kitaifa wakutane na Rais na kumshauri akubali kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayorekebisha mapungufu ya chaguzi zetu.
- Wakae pembeni na kuwaacha wanasiasa wabishane kwa hoja majukwaani bila upendeleo kwa upande wowote. Endapo upande mmoja utaamua kufanya maandamano ya amani kuishinikiza Serikali kurekebisha vifungu vya Katiba ili chaguzi zetu ziwe huru na haki, basi vyombo vya ulinzi na usalama visiingilie maandamano hayo, bali vitoe ulinzi tu.
- Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
Hekima hii imfikie Lukas Mwashambwa na ndugu yake tlaahtlaah.Hapa hapahitaji ushabiki wa vyama!Habari Ndugu zanguni,

Hakika...Habari Ndugu zanguni,

Mkuu,Hekima hii imfikie Lukas Mwashambwa na ndugu yake tlaahtlaah.Hapa hapahitaji ushabiki wa vyama!
Kazi kweli kweli!Mkuu,
Inasemekana huyo dogo Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa ni mtu mmoja mwenye I'd kadhaa.
Huwa anaandika utumbo na kuunga mkono hoja zake mwenyewe
Ni kweli, vyombo vyetu wajibu wake ni kuilinda ccm ikae madarakani kwa shuruti.Acha kuviingiza vyombo vyetu wa ulinzi na usalama katika TREASON....
Mkuu wangu huo uufanyao ni UHAINI......
Ngoja tuwa - tag ili waje fast kutoa maoni yao..Hekima hii imfikie Lukas Mwashambwa na ndugu yake tlaahtlaah.Hapa hapahitaji ushabiki wa vyama!
Umejiunga hapa jukwaani hata miezi 6 huna, lakini unamwaga matusi balaa.Nonesense!!! Mavi matupu!!
Kwa hiyo kumbe jamaa ni joka la mdimu lenye vichwa viwili..Mkuu,
Inasemekana huyo dogo Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa ni mtu mmoja mwenye I'd kadhaa.
Huwa anaandika utumbo na kuunga mkono hoja zake mwenyewe
Lissu ni toothless dog. Ataongea tu na hata yasipofanyika sidhan kama ana uwezo wa kufanya Chochote.Habari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa ili tuendelee kuwa na amani na kupata maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.
Mambo matatu ambayo vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya ni:
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikifanya haya, vitajenga imani kwa wananchi kwamba vipo kwa maslahi ya Taifa, si kwa chama fulani cha siasa.
- Wakuu wote wa ulinzi na usalama wa Kitaifa wakutane na Rais na kumshauri akubali kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayorekebisha mapungufu ya chaguzi zetu.
- Wakae pembeni na kuwaacha wanasiasa wabishane kwa hoja majukwaani bila upendeleo kwa upande wowote. Endapo upande mmoja utaamua kufanya maandamano ya amani kuishinikiza Serikali kurekebisha vifungu vya Katiba ili chaguzi zetu ziwe huru na haki, basi vyombo vya ulinzi na usalama visiingilie maandamano hayo, bali vitoe ulinzi tu.
- Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
Amiri jeshi mkuu kwani Lissu au Samia?Umeongea pointi,vyombo vya ulinzi visimamie taifa na siyo chama kimoja
Tatizo lipo kwa wananchi. Wengi wamesinzia na hawana mpango wa kuamka!Mungu aliugeuza Moyo wa Farao kua mgumu hata asielewe nyakati na matukuo yake .
Dola ikijiuliza , Vyama vingapi Afrika vya ukombozi, vimeanguka na vimeangukaje?.
Sio lazima Nchi iwe kama Nchi zingine .
Hata Dola itumie nguvu Kwa Upinzani, Nyakati zinataka Mabadiliko .
Ikubali, Mabadiliko ya Sheria za uchaguzi na Tume huru.
CCM ni imani ya nchi....Ni kweli, vyombo vyetu wajibu wake ni kuilinda ccm ikae madarakani kwa shuruti.