The Coin Man
Senior Member
- Jan 2, 2025
- 156
- 167
natamani ningekuwa karibu yako nimgekunasa kofi ilo stop writting nonsenseNonesense!!! Mavi matupu!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
natamani ningekuwa karibu yako nimgekunasa kofi ilo stop writting nonsenseNonesense!!! Mavi matupu!!
Hakuna bandari iliyouzwa....acha hoja za kitotoUhaini ni kitendo Cha kuuza bandari zetu.
Amani na utulivu upo wakati kila mtu analazimishwa kuwa chawa?Mapambano yapi ?!!
Mabadiliko yapi ?!!
Viongozi wa upinzani na wanasiasa wanapambania stahiki za kibunge na mengineyo....wanataka watutumie wananchi kama DARAJA tu....duniani kote ni hivyo na mifano itele.....
Watanzania wamejifunza kutoka huko Sudan ,Kenya ,Somalia ,Ethiopia na DRC.....
#Amani na utulivu ni jambo la mwanzo kabla ya hayo maslahi ya wanasiasa walio wachache!
Mambo ni matatu tu gentleman,Ngoja tuwa - tag ili waje fast kutoa maoni yao..
Wewe Lucas Mwashambwa na mwenzio Tlaatlaah njooni mtie neno hapa..
Hata hivyo, kati ya hawa wawili, huyu Lucas Mwashambwa kidogo huwa na akili timamu na kabusara fulani sometimes. Huyu akiona hoja ina nguvu, hu - mute na kujichimbia ndani ya Lumumba...
Lakini mwenzake huyu Tlaatlaah, ni mbishi wa kijinga hata kama ukweli wa jambo alobishia unamkodolea macho mbele yake. Huyu hana hekima ya kuzuia vidole vyake kuandika chochote. Na hana hekima ya kujizuia kuuanika ujinga wake pale anapopaswa kufanya hivyo...🚶🏻🚶🏻🚶🏻
Acha upuuzi wewe! Unaelewa maana ya treason?Acha kuviingiza vyombo vyetu wa ulinzi na usalama katika TREASON....
Mkuu wangu huo uufanyao ni UHAINI......
Naunga mkono hoja hasa mapendekezo yako namba 2 na 3.Habari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa ili tuendelee kuwa na amani na kupata maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.
Mambo matatu ambayo vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya ni:
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikifanya haya, vitajenga imani kwa wananchi kwamba vipo kwa maslahi ya Taifa, si kwa chama fulani cha siasa.
- Wakuu wote wa ulinzi na usalama wa Kitaifa wakutane na Rais na kumshauri akubali kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayorekebisha mapungufu ya chaguzi zetu.
- Wakae pembeni na kuwaacha wanasiasa wabishane kwa hoja majukwaani bila upendeleo kwa upande wowote. Endapo upande mmoja utaamua kufanya maandamano ya amani kuishinikiza Serikali kurekebisha vifungu vya Katiba ili chaguzi zetu ziwe huru na haki, basi vyombo vya ulinzi na usalama visiingilie maandamano hayo, bali vitoe ulinzi tu.
- Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
Bora mzazi wako angekumwaga chooni tu!Ndio nitajitetea vyema tu...anipeleke huko mahakamani....
Nitaiambia mahakama kuwa mtoa mada ameyachochea majeshi yetu KUIASI serikali halali.....
Haiwezekan anayeteuwa viongoz wa hivyo vyombo ni mwenyekiti wa chamaUmeongea pointi,vyombo vya ulinzi visimamie taifa na siyo chama kimoja
Vyombo vya usalama kupendelea upande fulani ushike dola ni sehemu ya usalama pia kwa manufaa ya taifa. Ipo siku vyombo vya usalama vitachagua upande wa upinzani kuongoza nchi na itakuwa hivyo.Habari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa ili tuendelee kuwa na amani na kupata maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.
Mambo matatu ambayo vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya ni:
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikifanya haya, vitajenga imani kwa wananchi kwamba vipo kwa maslahi ya Taifa, si kwa chama fulani cha siasa.
- Wakuu wote wa ulinzi na usalama wa Kitaifa wakutane na Rais na kumshauri akubali kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayorekebisha mapungufu ya chaguzi zetu.
- Wakae pembeni na kuwaacha wanasiasa wabishane kwa hoja majukwaani bila upendeleo kwa upande wowote. Endapo upande mmoja utaamua kufanya maandamano ya amani kuishinikiza Serikali kurekebisha vifungu vya Katiba ili chaguzi zetu ziwe huru na haki, basi vyombo vya ulinzi na usalama visiingilie maandamano hayo, bali vitoe ulinzi tu.
- Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
Mmh hoja anazozitoa lissu kwa ccm wanaoweza kuzijibu ni wachache Sana. Nadhani wataanza kuzuia mikutano yake au kuzuia vyombo vya habari visirusheHabari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa ili tuendelee kuwa na amani na kupata maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.
Mambo matatu ambayo vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya ni:
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikifanya haya, vitajenga imani kwa wananchi kwamba vipo kwa maslahi ya Taifa, si kwa chama fulani cha siasa.
- Wakuu wote wa ulinzi na usalama wa Kitaifa wakutane na Rais na kumshauri akubali kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayorekebisha mapungufu ya chaguzi zetu.
- Wakae pembeni na kuwaacha wanasiasa wabishane kwa hoja majukwaani bila upendeleo kwa upande wowote. Endapo upande mmoja utaamua kufanya maandamano ya amani kuishinikiza Serikali kurekebisha vifungu vya Katiba ili chaguzi zetu ziwe huru na haki, basi vyombo vya ulinzi na usalama visiingilie maandamano hayo, bali vitoe ulinzi tu.
- Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
Maslahi mapana ya taifa ni hivyo vyombo vya dola kuilinda serikali halali inayosimamia ustawi ,maono ya utulivu na amani.....Bora mzazi wako angekumwaga chooni tu!
Unaelewa hata maana ya maasi? Tangu lini Vyombo vya ulinzi na usalama kusimamia upande wa haki na wananchi kwa maslahi mapana ya Taifa ikawa uhaini?
Lissu ni dalali tu wa kule BRUSSELS wanakosumbuana na Trump kuhusu "25% tariffs in levies"....Mmh hoja anazozitoa lissu kwa ccm wanaoweza kuzijibu ni wachache Sana. Nadhani wataanza kuzuia mikutano yake au kuzuia vyombo vya habari visirushe
Mpuuzi ni wewe unayeleta mbango kwa vitu vilivyo wazi....Acha upuuzi wewe! Unaelewa maana ya treason?
Faida yao ya "kuliamsha" ni nini ?!!Amani na utulivu upo wakati kila mtu analazimishwa kuwa chawa?
Awareness ya wananchi wa Kenya, Sudan, Somalia, Ethiopia na DRC ni kubwa sana... Huwezi kuwakuta wakiimba mapambio na nyimbo za kuwaabudu viongozi wao!
Zaidi kiongozi akiwazingua wataliamsha!
Sasa Serikali kutolewa kwa njia halali kuna shida gani? Tena Serikali yenyewe hii ya wezi na vilaza ya CCM inayoliibia taifa na kulirudisha nyuma kila siku?Maslahi mapana ya taifa ni hivyo vyombo vya dola kuilinda serikali halali inayosimamia ustawi ,maono ya utulivu na amani.....
Mzazi wako wewe katuletea mtu wa hovyo asiyejua thamani ya UTULIVU NA AMANI....
Habari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa ili tuendelee kuwa na amani na kupata maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.
Mambo matatu ambayo vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya ni:
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikifanya haya, vitajenga imani kwa wananchi kwamba vipo kwa maslahi ya Taifa, si kwa chama fulani cha siasa.
- Wakuu wote wa ulinzi na usalama wa Kitaifa wakutane na Rais na kumshauri akubali kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayorekebisha mapungufu ya chaguzi zetu.
- Wakae pembeni na kuwaacha wanasiasa wabishane kwa hoja majukwaani bila upendeleo kwa upande wowote. Endapo upande mmoja utaamua kufanya maandamano ya amani kuishinikiza Serikali kurekebisha vifungu vya Katiba ili chaguzi zetu ziwe huru na haki, basi vyombo vya ulinzi na usalama visiingilie maandamano hayo, bali vitoe ulinzi tu.
- Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
Acha kuviingiza vyombo vyetu wa ulinzi na usalama katika TREASON....
Mkuu wangu huo uufanyao ni UHAINI......
...ulichokiongea wewe ni hayo majeshi yaiasi serikali yao halali....