Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Lakini tulipofikia sasa kuhusu chaguzi zetu ni pabaya sana katika hazipo huru na haki, pia zinaingiliwa sana na vyombo vya dola pamoja na ccm. Kitu ambacho kinatuweka katika hatari kubwa ya machafuko.Vyombo vya usalama kupendelea upande fulani ushike dola ni sehemu ya usalama pia kwa manufaa ya taifa. Ipo siku vyombo vya usalama vitachagua upande wa upinzani kuongoza nchi na itakuwa hivyo.
Kuiba kura na kupanga matokeo hiyo sio TREASON?Acha kuviingiza vyombo vyetu wa ulinzi na usalama katika TREASON....
Mkuu wangu huo uufanyao ni UHAINI......
Hayo ndiyo mabadiliko anayoyazungumzia Ndugu Lisu. Tuvibadilishe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kutoka kuwa ulinzi na usalama wa ccm kuwa ulinzi na usalama wa Taifa.Usisahau huko kwenyewe kumejaa makada na wanachama watiifu wa ccm hakuna chochote watafanya zaidi ya kufuata maagizo ya kulinda maslahi ya chama chao
Kama ni kweli, siku yakitokea machafuko Jeshi letu litakuwa limehusika kusababisha machafuko hayo.Kimsingi ndivyo inapaswa kuwa hivyo ila kwa sasa jeshi linaongozwa na kupokea maelekezo ya wanasiasa.
Amiri jeshi mkuu ni mwenyekiti wa chama, anamteua mkuu wa majeshi CDF anampa maelekezo na amri moja tu HAKIKISHA WALIO CHINI YAKO WANAKIPIGIA KURA CHAMA TAWALA.
Hapo ni wazi jeshi litakuwa upande wa chama tawala na sio wananchi kwa sababu wanalipwa na kula kutoka kwa serikali ya CCM.
Jeshini ukiwa mtu wa kuhoji au ujuaji mwingi wanakubambikia kesi kuwa umeasi kwa kusapoti upinzani.
Vijana wengi sasa jeshini wanapenda na kutamani mabadiliko na hawafurahii upumbavu unaofanywa na wanasiasa waovu wa nchi hii.
Hakika Anguko la CCM limeanza kuonekana wazi.
Ni machawa au we ye vinadaba vya uchawa ambao wanawezacwasijueleqe au wavhague tu kutokukuelewa.Habari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa ili tuendelee kuwa na amani na kupata maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.
Mambo matatu ambayo vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya ni:
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikifanya haya, vitajenga imani kwa wananchi kwamba vipo kwa maslahi ya Taifa, si kwa chama fulani cha siasa.
- Wakuu wote wa ulinzi na usalama wa Kitaifa wakutane na Rais na kumshauri akubali kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayorekebisha mapungufu ya chaguzi zetu.
- Wakae pembeni na kuwaacha wanasiasa wabishane kwa hoja majukwaani bila upendeleo kwa upande wowote. Endapo upande mmoja utaamua kufanya maandamano ya amani kuishinikiza Serikali kurekebisha vifungu vya Katiba ili chaguzi zetu ziwe huru na haki, basi vyombo vya ulinzi na usalama visiingilie maandamano hayo, bali vitoe ulinzi tu.
- Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
Binadamu tumeumbwa kutafuta kilicho bora. Hapo si swala la umezaliwa lini. Tunachotakiwa kufanya kama Taifa ni kutafuta Katiba bora, itakayotupatia Viongozi Bora na maendeleo ya kweli kwa mtu mmoja mmoja.Watathubutu? Wakienda tu baada ya masaa 24 watakuwa under house arrest na hiyo Asali kupewa wanaotii amri. Wewe umezaliwa lini huwajui CCM?
Kwa hiyo tuendelee na katiba hii iliyopo ili tu ccm waendelee kubaki madarakani na ndugu na Jamaal zao waendelee kupata ajira serikalini na wale wasiyo na ndugu na waliyo nje ya ccm waendelee kupata tabu. Kama ndiyo hivi! Tanzania tunasafari ndefu sana ya kujikomboa.Hapa Kuna kesi nzuri ya uchochezi unaoelekea kwenye uhaini!
Vyombo vya dola viache kulinda serikali iliyopo vigeuke upinzani kudai kinachoitwa katiba! Huu ni uhaini!
BTW, katiba mpya haina faida yeyote kwa wananchi wa kawaida zaidi ya wanasiasa wanaotamani kupata madaraka na ajira kwa ndugu na marafiki zao!
Naona hujui hata maana ya uhaini kisheriaAcha kuviingiza vyombo vyetu wa ulinzi na usalama katika TREASON....
Mkuu wangu huo uufanyao ni UHAINI......
Na ku.buja kuwa kuwapo kwa utulivu haina maana kuna amani. Amani ni tunda la haki na kwa sasa kuna utulivu tu ambao ni matokeo ya woga wa wananchi hasa baada ya kuwa na vyombo vya ulinzi na usalama vinavyofanya siasa.Endelea kuviamini Vyombo vyetu vya Usalama ndio maana Nchi yetu ni tulivu
The Last TrumpetCCM waelewe wanachi tumechoka kuburuzwa kibwege- bwege na chaguzi ambazo hazina maana yaani kabla ya uchaguzi kuanza basi mshindi anajulikana sasa huo kama si ubwege ni nini.
Tarumbeta / baragumu lishapigwa na Lissu. Tunakwenda kuikomboa Tanganyika yetu kuwa na chaguzi za kweli, huru na haki, asiye na mwana aeleke jiwe, mwenye watoto mapacha wawili wote awaweke mgogoni, mkulima abagae jembe begani, mfugaji aswage mifugo yake mbele, mwalimu ashike chaki mkononi, mhudumu wa bar ashike opener, mama ntilie abebe masufuria- ni shime shime.
Atakayerudi nyuma kudai mageuzi haya hatufai hata kidogo, ni msaliti lofa na si mtanganyika halisi.
Lissu kashatangulia, wazalendo wote tumfuate.
Uliouandika ni ujinga mtupuHabari Ndugu zanguni,
Nadhani wote tumemsikia Tundu Lisu akitoa hoja zake kuhusu chaguzi zetu. Tukiacha ushabiki pembeni na kuwa Wazalendo, tutaona kwamba hoja zake ni za Kitaifa, haziegemei upande wowote wa kisiasa au kidini. Lengo lake ni kutoa mwongozo wa nini tunapaswa kufanya kama Taifa ili tuendelee kuwa na amani na kupata maendeleo ya kweli kwa Watanzania wote.
Mambo matatu ambayo vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vinapaswa kufanya ni:
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vikifanya haya, vitajenga imani kwa wananchi kwamba vipo kwa maslahi ya Taifa, si kwa chama fulani cha siasa.
- Wakuu wote wa ulinzi na usalama wa Kitaifa wakutane na Rais na kumshauri akubali kufanya mabadiliko ya Katiba yatakayorekebisha mapungufu ya chaguzi zetu.
- Wakae pembeni na kuwaacha wanasiasa wabishane kwa hoja majukwaani bila upendeleo kwa upande wowote. Endapo upande mmoja utaamua kufanya maandamano ya amani kuishinikiza Serikali kurekebisha vifungu vya Katiba ili chaguzi zetu ziwe huru na haki, basi vyombo vya ulinzi na usalama visiingilie maandamano hayo, bali vitoe ulinzi tu.
- Vyombo vya ulinzi na usalama viungane na Tundu Lisu kudai mabadiliko ya Katiba yatakayoruhusu chaguzi zetu kuwa huru na haki ili kuepusha machafuko.
Mimi BushDokta naunga mkono hoja zako na kama vyombo vinajali basi ushauri huu ni sawa
Imagine
1.Mkurugenzi Mtendaji wa NEC ni CCM
2. Wajumbe wa NEC ni ccm
3. Polisi wanaolinda Kura ni wateule wa ccm
4. Wasimamizi wa Uchaguzi ni ccm
5. Usalama wa Taifa ambai kimsingi ni wadau kwenye mambi ya kitaifa wana influence ya uccm kwa kiasi flani.
6. Mifumo ya kukusanya na kuhesabu kura ni ya ccm
7. Wajumbe na wagombea wakidai haki wakati wa zoezi wanadhulika na kushambuliwa wengine hadi kufa.
Ktk Mazingira kama haya unaposema unashriki uchaguzi ili iweje?
Unless una maslahi huo uchaguzi zaidi ya ushindi ndipo utashiriki.
Hoja za Lissu ziko Valid for 100%.
Anayezipinga sio Mzalendo
Kwa maoni yangu naona umenena vyema sana, tatizo ninaloliona kwa nchi za wajamaa ni kuchanganya, makada wa vyama na vyombo vya dola. Inafahamika kwamba wakuu wa mikoa na wilaya ni makada wa ccm ,hapo hapo unakuta ndio wenyeviti wa kamati za ulinzi na usalama wa mikoa/wilaya husika. na unakuta wengine wana vyeo vya kijeshi au ni mapolisi sasa hapa panatuchanganya. uwezekano wa aliye na buyu la asali akukabidhi ulambe wewe yeye akiangalia shida inaanzia hapo.Habari Ndugu zanguni,