Kwa asilimia kubwa sana dunia inaendeshwa na mawazo ya kike

Kwa asilimia kubwa sana dunia inaendeshwa na mawazo ya kike

Ila mwanamke ana uwezo mkubwa wa ushawishi kwa kutumia lugha ya maumbile kuliko lugha ya kinywa. Mwanaume hana uwezo huo, uwezo wake uko kwenye lugha ya waleti, ndiyo maana mwanaume asiyejaliwa lugha ya waleti hawezi kulishawishi hata jibwa lake , jibwa litahama nyumbani kutafuta mji ambao watu wana kawaida ya kwenda buchani, hata mwanamke naye anawezakumtaliki mwanaume kwasababu haongei lugha ya waleti.
Hahahahah lugha ya wallet ni utumwa katika mfumo tofauti!

Wanawake wamekuwa slave lords na wana manipulate wanaume kwa uzembe wao wa kutozitambua nafasi zao. A weak man is a smart womans plaything 😅
 
Na ni mwanaume aliye na ukike ndani yake pia ndio maana hutoa mbegu za kike na za kiume pia....
 
Hakika.. unaweza kuta hata mkuu wa majeshi huko kazini wanamuhanya balaa!! Lakin akifika kwa mke wake anamuhanya balaa! Yan unaweza kuta mke hamtaki hata mama wa mume wake, na jamaa anaufyata mama mzazi hakanyagi nyumbani.
Papuchi power 😂 ile kitu ndio maana sir God aliamua kutufukuza Eden maana watu wangekuwa wanagombania maepo badala ya kufanya kazi😂
 
Papuchi power [emoji23] ile kitu ndio maana sir God aliamua kutufukuza Eden maana watu wangekuwa wanagombania maepo badala ya kufanya kazi[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama maji yaani, inabidi tu ukubali.
 
Hakika.. unaweza kuta hata mkuu wa majeshi huko kazini wanamuhanya balaa!! Lakin akifika kwa mke wake anamuhanya balaa! Yan unaweza kuta mke hamtaki hata mama wa mume wake, na jamaa anaufyata mama mzazi hakanyagi nyumbani.
Kuna simulizi moja nilisimuliwa na askari mstaafu aliyepigana vita ya Kagera kwamba Idd Amin alikubali kutoroka Uganda kwa ushawishi wa mkewe mpya Sarah Kyolaba (alikuwa na wake sita) baada ya kugomea ushawishi wa aina hiyo uliotolewa na jeshi lake na baraza la mawaziri, aliamini kwamba Mwanajeshi haogopi na kiapo chake ni kufia nchi yake (sasa akakiuka kiapo na ushauri wa jeshi na baraza la mawaziri lakini akatekeleza maagizo ya mkewe); kumbe ndiyo maana Gadhafi na Saddam hawakukubali ushauri wa kutoroka.
 
Back
Top Bottom