Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,611
- Thread starter
- #41
Kwa Simba, jike ndiye ana impact (tija), dume ni bazazi tu.Ni manii ya baba na Yai la mama ndiyo inayomform mtoto na kwenda kutunzwa kwenye tumbo la uzazi yaani placenta (kwa miezi tisa). Mtoto anatengenezwa na kudevelop tabia kutokana na details zilizobebwa kwenye manii ya baba pamoja na details zilipo kwenye Yai la mama full stop.
Always Mwanaume ni Vision na Mwanamke ni Mission kwa pamoja wanaform kitu kinachoitwa Mwanadamu.
Jaribu kuchimba vizuri utugundua hakuna mawazo ya kike na hakuna mawazo ya kiume bali ni mawazo ya mwanadamu. Kwa sababu kila mmoja ni sehemu ya mwili wa mwenzake.
Kwa Tembo, jike ndiye mkuu wa familia na jike mkongwe ndiye mkuu wa ukoo.
Kwa kuku mlinzi wa vifaranga ni mtetea, jogoo anajuwa kufunga tai tu 12/7/24/365.