Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

Mdomo mali yako ulipii kodi ongea uwezavio tukana utakavio lakini kumbuka hiyo siku ambayo itatolewa roho yako huo mdomo wako hauta kusaidia zaidi utaishia kufukiwa na kifusi cha tani 10 wewe na hivio vingereza viako na mdomo wako huo unashia kuoza na kutafunwa na wadudu
 
Wewe ni Muislamu? Naona umeandika kwa kauli ya kujijumuisha "...tumekomba mpaka uarabu..." na hili nimekuuliza kwakuwa muislamu wa kweli au anayejua dini yake katika basic level anapaswa kutambua kwamba hakuna Quran ya kiarabu na Quran ya lugha nyengine. Quran ni moja tu ambayo ipo kwenye lugha ya kiarabu, zote katika lugha nyengine ni jitihada za kutafsiri ya hiyo Quran katika hizo lugha husika (It never represents the full meaning as when recited in it's original form i.e. Arabic).

Tukirudi katika mada kiujumla, ni kweli waislamu wengi tumechukua baadhi ya mila za kiarabu kama mavazi ya kanzu n.k lakini pia hii sio makosa wala kujidhalilisha, inatokana tu na mapenzi ya watu wa jamii fulani kwa hao waarabu ambao kwa kiwango kikubwa ndio waliowafikishia hiyo dini yenyewe. Uislamu umetoa misingi ya nini kifaa na nini hakifai mfano katika mavazi.

Kubwa unalopaswa kujua ni kwamba katika mengi ni lazima tutafanana tu na waarabu kwa kuwa kwetu sisi waislamu inapendekezwa kumuiga mtume (ni sunna) kwa kila kitu na kuna malipo katika kufanya hivo. Sasa hao waarabu unaowaona tayari mila zao zilishakuwa katika kumuiga mtume na unapotuona na sisi tumewaiga haishii kwao wao tu bali tunafanya kwa kumuiga Mtume (SAW) kwa kadri ya kilichotufikia na kuthibiti kutokea kwake.

Nikusaidie pia, ni kweli Mtume Muhammad (SAW) angekuwa shaolin pia na sisi tungevaa kama Shaolin, unajua kwanini? he is our role model na kila mmoja ana role model wake, ila sijui wewe wako ni Jesus ama ni akina David Livingstone na Karl Petters.

Hivi nguo wanazovaa nguo wanazovaa maharusi wa kikristo (Suti na shela) kule Mbeya, Kilimanjaro na huko kwenu ni mila ya nani vile???
 
Mkisha jua kuandika vingereza mnajitoa akili na kuwa na urimbukeni unao sababisha kitokwa na maneno machafu yanayo sukumwa na ushamba na chuki hisiyo na maana
 
Hii ni uongo mkubwa sana. Inamaana wake zao na mama zao walitoka kwenye jamii gani Kama walikua hawataki watoto wa kike?
Kama uongo basi wewe sema ukweli ulivio sio kuishia kusema uongo tu
 
Umeanza vizuli kuuliza muisho umevua suruali ukanyea bila haya
 
Kule zenji walipojaa Waislam ndipo penye Mashoga haswaa, tena wanavaa shanga na kukatika viuno kama Afande Rama[emoji23][emoji23][emoji23]

Hata Mlolongo anajua kwakuwa ni ndugu zake
Katika wapumbavu na wewe umo ila uvumi
 
Hizi ni propaganda na zipo hata uende google ila sio ruhusa katika nchi za kiislamu ,hayo maandamano ni kwamba wanajua hakuna manipulation na hawaitambui ila upande fulani ndo hivyo.
 
Cha muhimu umekubali zipo na ni Waislam hao..Aljazeera hawawezi kuwazulia
Nionyeshe wapi wamefunga ndoa msikitini? kama hujui hao magays lazima wapingane na uislamu kwa vile uislamu uko strictly katika sharia hauna manipulation sijui nan kasema eti kama wanaofuata sangara kule Italy.

Katika uislamu hata wakubwa zako kawaulize wanajua hakuna huo ujinga kama hutoandamwa uchinjwe😅😅
 

 
😅😅😅Hamna kitu kama hicho unalazimisha.

waislam wanavalishana pete?😅😅

Hatuwezi kufanana kabisa na nyie mapunga.
 
Mbona hujauliza kuhusu ukristo nao mavazi ya uchi majina taratibu vp hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…