Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

Najiuliza kama tungewahi kustarabika,
Tungekuwa wa kwanza kutembelea mabara ya mengine,
Je wenyeji wangefata tamaduni zetu na dini zetu?

Je dini zetu si halal?
Na je mbona wazee wetu waliomba mvua,mavuno na n.k na vikafanyika..kwa nini leo tunaita ushirikina?

Tuna safari ndefu.
 
Kwani ulikatazwa kupiiga ngoma zako?

Wewe kaa ucheze ngoma sisi tunawangoja Waarabu wa DP World waje tutengeneze Dirham.

Unazijuwa Dirham?
Watu wanasafiri kwenda Saudia Arabia kumpiga shetani mawe. Shetani unaweza kumpiga mawe kweli? Wamemuona mtu wao ambaye kwao elimu siyo kipaumbele anafikiri kama wote ni wapiga mawe.
Watu wa jamii ya mwezi watakujengea msikiti na kisima cha kuchambia tu. Sehemu ambazo wameishi Waabudu mwezi na nyota hakuna hata maendelo hapa Tanganyika. Watakuletea Dirham? Zanzibar yenyewe karibia wote ni warushe mawe lakini hawajawapa Dirham. Wamekuja kuiba na nasikia Ikulu nayo ni ya warusha mawe
 
uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?

Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.

Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.

Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam

Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam

taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.

Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau

lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.

mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?

Marekebisho
1.Kanzu Haijaanza Valiwa na Waarabu,Hata Yesu(Issa) Myahudi kutoka israel Alivaa kanzu Ni Vazi kama Jeans tu.Ila ni Vizuri Kuenzi Alivyokuwa Akivifanya Mtume Muhammad(S.A.W) kwa sababu Tuna Mapenzi nae.

2.kutukuzwa Kwa Mwarabu,Mtu Yoyote Mweupe Hutukuzwa mzungu Hutukuzwa zaidi Kuzidi mwarabu.Kuita Ngozi Ya Kiarabu Ni ngozi Ya mtume Haina shida kwani ngozi ya mtume haikuwa nyeusi.

3.Chakula:Biriani Asili Yake Ni India Na si Uarabuni

4.Lugha:Kusoma Quran kwa kiarabu

12:2 Quran "Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani kwa Kiarabu ili mpate kuzingatia"

Kupitia Lugha Ya Kiarabu Ambayo hata wengine Hawajui Maana wake Kuna Zaidi Ya Watu waliohifadhi Quran yote Milioni 200 duniani Kote.
Biblia inayoandikwa kwa lugha zote Kila mtu anaielewa kwa lugha Yake Hakuna Hata Mmoja Aliyeihifadhi Duniani,Mbali na Biblia Yote Hata Kitabu cha mathayo au Yohana hakuna alichohifadhi Chote.
Hii Ndo Maana ya Mazingatio,Tumeizingatia Kupitia lugha Moja.
 
hapa tunazungumzia uislamu na uarabu mm sio mkristo na ndio maana wala sitaji habari za wakristo hilo ndio tatizo la sisi waislamu kuna vitu vingine ni vya ukweli lakini tunapindisha .mwenyezi mungu ametuumba kwa utashi yaani kutambua vitu na mambo kwa ujumla sasa tujifunze mda mwengine kuumiza vichwa vyetu hata kama ww ukiwa muislamu ,leo hii mm nimeuliza maswali makusudi ili nipime watu tuliokua ktk imani ya kiislamu lakini nimegundua kuwa waislamu tunapenda sana ligi na dini nyingine hili ndo tatizo letu .
Huna Elimu Yoyote,Huelewi Dini,Hujui historia(Sira)
Hujui Kwa Nini Mtume Wa Mwisho alishushwa Akiwa Mwarabu.
Hata Hivo Kati ya Mitume Yote 25 waliotajwa Kwenye Qur'an,Wanne tu Ndo waarabu.
Hata Kama Hatuna vya Kufuata Hatuwezi Fata Tamaduni za Watu wa Magharibi Bora Tumuenzi Mtume Wetu
Waarabu Ndo Kabila Teuzi katika Uislamu
Kama Ilivyo kwa Wakristo Waisrael Kabila Teuzi sema tu Akili zao wametekwa Na Watu wa Magharibi
 
Watu wanasafiri kwenda Saudia Arabia kumpiga shetani mawe. Shetani unaweza kumpiga mawe kweli? Wamemuona mtu wao ambaye kwao elimu siyo kipaumbele anafikiri kama wote ni wapiga mawe.
Watu wa jamii ya mwezi watakujengea msikiti na kisima cha kuchambia tu. Sehemu ambazo wameishi Waabudu mwezi na nyota hakuna hata maendelo hapa Tanganyika. Watakuletea Dirham? Zanzibar yenyewe karibia wote ni warushe mawe lakini hawajawapa Dirham. Wamekuja kuiba na nasikia Ikulu nayo ni ya warusha mawe
Kwani wewe Unamjua Shetani
Una Uhakika gani kama shetani Hawezi Pigwa Mawe?
Kwani Unaishi Nae Ghetto?
 
Shetani anaishi wapi? Kuna mtu anajua shetani anapoishi? namba yake ya simu unaye? nyumba anayoishi unaijua? ushawahi kumuona? anaonekana? Kuna mambo ambayo ukiyafanya lazima utoe akili timamu, uvae akili ya kichaa.
Unabeba jiwe unamrushia shateni? Watu wanatengeneza pesa nyingi sana kwa ujinga wa watu. Unaanzaje kurusha mawe kwa kitu cha kufikirika?
 
Kwani ulikatazwa kupiiga ngoma zako?

Wewe kaa ucheze ngoma sisi tunawangoja Waarabu wa DP World waje tutengeneze Dirham.

Unazijuwa Dirham?
Uzi huu ni wa waislam kuleta hoja. sio ninyi mnaoabudu the almighty dollar, Kipaumbele kwenu Pesa, Mjadala unahusu dini wewe kipaumbele chako ni pesa na kufurahia waarabu kuja. kama ni hivyo yafaa yafaa uende jukwaa la biashara ukajifunze biashara na sio kungoja waarabu ukidhani mambo yatakuwa mepesi, Never! hata ujue kuitamka hio pesa ya kairabu Dirham bado msoto wa kuitafuta upo pale pale, unaweza kuendelea kungoja hata waarabu wakija.
 
The almighty dollar, Mungu wenu Pesa.

Mjadala unahusu dini wewe kipaumbele chako ni pesa, anyway best of luck kusaka hizo Dirham pesa za waarabu, wengine kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu tulishaanza kuzimake tangu kitambo, nakutakia kila la kheri katika safari yako ya kuanza kuzisaka.
Allah.

Wewe unamjuwa Mungu wako wa duniani, kama ilivyofundisha biblia? Soma 👇🏾

1687819461028.png
Bible Gateway
https://www.biblegateway.com › pa...
2 Corinthians 4:4 New Living Translation
Satan, who is the god of this world
 
Allah.

Wewe unamjuwa Mungu wako wa duniani, kama ilivyofundisha biblia? Soma 👇🏾

View attachment 2669940
Bible Gateway
https://www.biblegateway.com › pa...
2 Corinthians 4:4 New Living Translation

Satan, who is the god of this world
hapa tunazungumzia uislamu na uarabu, mimi sio mkristo na ndio maana wala sitaji habari za wakristo hilo ndio tatizo la sisi waislamu kuna vitu vingine ni vya ukweli lakini tunapindisha. Mwenyezi Mungu ametuumba kwa utashi yaani kutambua vitu na mambo kwa ujumla, tujifunze mda mwengine kuumiza vichwa vyetu hata kama jambo linakuumiza, mimi nimeuliza swali ili tuweze kulifafanua katika mrengo wa imani ya kiislamu lakini nimegundua kuwa baadhi yenu mnapenda sana ligi na dini nyingine na hili ndio tatizo kubwa.
 
Tatizo nini?

Waislam dunia nzima mila yao ni moja tu mila ya Ibrahim AS.

Uwe Mwarabu usiwe Mwarabu ni mila hiyo hiyo tu.

Qur'an uwe China, Tanzania, USA, Urusi, Brazil, au kwenu sijuwi wapi? Inasomwa kwa lugha moja tu na haijawahi kubadilika. Muujiza.
Wewe usiye Muislam kinakuuma nini?

Pilipili iko shamba yakuwashiani? Si urudi tu, Uislam mwema sana.
 
uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?

Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.

Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.

Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam

Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam

taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.

Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau

lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.

mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
Wewe hivi unaujua utamaduni WA waarabu kabla ya uislam waarabu walikua na utamaduni mbovu sanaa kabla ya uislam mfano walikua wakizika watoto wao wakike wakiwa hai wakiogopa aibu ya kujulikana kua Wana watoto wakike
Uislamu umekuja kuwastaarabisha waarabu khalas
 
Yaani Hadi Leo hujui kwamba dini inaanzishwa na jamii na sio mungu. Ndo maana dini ya wahindi wanatamaduni zao pia, we pia una zako za kabila lako lakini wamekuaminisha uislamu ndo ukweli afu zako ni za uwongo na umeamini so sio kosa lao ni lako.
 
Wewe hivi unaujua utamaduni WA waarabu kabla ya uislam waarabu walikua na utamaduni mbovu sanaa kabla ya uislam mfano walikua wakizika watoto wao wakike wakiwa hai wakiogopa aibu ya kujulikana kua Wana watoto wakike
Uislamu umekuja kuwastaarabisha waarabu khalas
Hizo ndo story wanazokuambia, lakini ukweli ni kwamba uislamu ni dini Kama dini zingine inaanzishwa na tamaduni fulani kwa kusudi la kuendesha watu wa tamaduni hio... Sasa kutakuwa na Mungu wangapi Kama kila tamaduni imetokewa na Mungu wake sijui mlimani sijui pangoni na kila tamaduni Ina dini yake na sheria zake. Hizi ni sheria za watu Ila wanasema za Mungu ili watu waogope na kufata na kuwatishia kuwa baada ya kufa Kuna moto coz hamna mtu Ashawahi kurudi so utaogopa tu ila in reality hamna kitu Kama hicho
 
Najiuliza kama tungewahi kustarabika,
Tungekuwa wa kwanza kutembelea mabara ya mengine,
Je wenyeji wangefata tamaduni zetu na dini zetu?

Je dini zetu si halal?
Na je mbona wazee wetu waliomba mvua,mavuno na n.k na vikafanyika..kwa nini leo tunaita ushirikina?

Tuna safari ndefu.
Hata Mimi nikiomba mbwa ananisaidie kupata kitu na nikakipata haimaanishi mbwa ni Mungu au mbwa ndo katumia miujiza Mimi kupata hicho kitu. Ni ukosefu tu wa maarifa ndo unafanya waafrika tufikirie ushirikina, wenzetu washatoka huko wanafanya kazi wanavumbua vitu nyie kazi kusali tu
 
Marekebisho
1.Kanzu Haijaanza Valiwa na Waarabu,Hata Yesu(Issa) Myahudi kutoka israel Alivaa kanzu Ni Vazi kama Jeans tu.Ila ni Vizuri Kuenzi Alivyokuwa Akivifanya Mtume Muhammad(S.A.W) kwa sababu Tuna Mapenzi nae.

2.kutukuzwa Kwa Mwarabu,Mtu Yoyote Mweupe Hutukuzwa mzungu Hutukuzwa zaidi Kuzidi mwarabu.Kuita Ngozi Ya Kiarabu Ni ngozi Ya mtume Haina shida kwani ngozi ya mtume haikuwa nyeusi.

3.Chakula:Biriani Asili Yake Ni India Na si Uarabuni

4.Lugha:Kusoma Quran kwa kiarabu

12:2 Quran "Hakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani kwa Kiarabu ili mpate kuzingatia"

Kupitia Lugha Ya Kiarabu Ambayo hata wengine Hawajui Maana wake Kuna Zaidi Ya Watu waliohifadhi Quran yote Milioni 200 duniani Kote.
Biblia inayoandikwa kwa lugha zote Kila mtu anaielewa kwa lugha Yake Hakuna Hata Mmoja Aliyeihifadhi Duniani,Mbali na Biblia Yote Hata Kitabu cha mathayo au Yohana hakuna alichohifadhi Chote.
Hii Ndo Maana ya Mazingatio,Tumeizingatia Kupitia lugha Moja.
Acha uwongo, kuhifadhi una maana gani. Religion ni culture na culture inahusisha lugha. We unadhani wasingewaambia hivyo Leo hii ungesoma kiarabu. Fikirieni mbali, Mimi nimesoma Quran kwa kingereza mbona nimeelewa..naweza kukuelezea sheria zao na story zao kibao bila kusoma hicho kiarabu chao hio sio point. Point ni kwamba hawataki neno libadilike kwa sababu kwenye translation Kuna uwezekano wa kuongezeka au kupungua kwa maneno maana mantiki tamathali za semi etc, 🤣Sasa Kama unadhani Mungu ametengeneza nyota billions ili amtokee muarabu pangoni aagize watu duniani waongee nae kiarabu ndo atasikia sawa.. 😂 Baki na akili yako
 
Huna Elimu Yoyote,Huelewi Dini,Hujui historia(Sira)
Hujui Kwa Nini Mtume Wa Mwisho alishushwa Akiwa Mwarabu.
Hata Hivo Kati ya Mitume Yote 25 waliotajwa Kwenye Qur'an,Wanne tu Ndo waarabu.
Hata Kama Hatuna vya Kufuata Hatuwezi Fata Tamaduni za Watu wa Magharibi Bora Tumuenzi Mtume Wetu
Waarabu Ndo Kabila Teuzi katika Uislamu
Kama Ilivyo kwa Wakristo Waisrael Kabila Teuzi sema tu Akili zao wametekwa Na Watu wa Magharibi
Sio wametekwa ndo utamaduni uzuri uliyo na uhuru na maendeleo. Tamaduni za waarabu Zina ubaguzi wa rangi, wanawake, Zina ukatili na vitu hivyo vyote so of course mtu atafata anapoona pako vizuri na peaceful kuliko kufata tamaduni ambaye kiongozi wake wa dini aliolewa na mtoto wa miaka 6 na kumfanya Akiwa na 9. Utamaduni wa kimagharibi huwezi ruhusu vitu Kama hivi...
 
Shetani anaishi wapi? Kuna mtu anajua shetani anapoishi? namba yake ya simu unaye? nyumba anayoishi unaijua? ushawahi kumuona? anaonekana? Kuna mambo ambayo ukiyafanya lazima utoe akili timamu, uvae akili ya kichaa.
Unabeba jiwe unamrushia shateni? Watu wanatengeneza pesa nyingi sana kwa ujinga wa watu. Unaanzaje kurusha mawe kwa kitu cha kufikirika?
😂Afu wanalalamika why bongo hatuendelei kumbe watu wanampiga mawe shetani
 
Uzi huu ni wa waislam kuleta hoja. sio ninyi mnaoabudu the almighty dollar, Kipaumbele kwenu Pesa, Mjadala unahusu dini wewe kipaumbele chako ni pesa na kufurahia waarabu kuja. kama ni hivyo yafaa yafaa uende jukwaa la biashara ukajifunze biashara na sio kungoja waarabu ukidhani mambo yatakuwa mepesi, Never! hata ujue kuitamka hio pesa ya kairabu Dirham bado msoto wa kuitafuta upo pale pale, unaweza kuendelea kungoja hata waarabu wakija.
We Kama huabudu dollar Sali kwa kiarabu Allah akushushie tende ule usitafute hela sawa mkuu
 
Wale ma padre wanavyovaa kanzu, ma-sister wanavyovaa unform za kufanana juu wanaweka kofia, ma pasta wanavyovaa kola nyeupe, kanisani kuna wapiga piano, waumin wanavaa suti, shati na suruali huo utamaduni mmeutoa kwenye kabila gani Tz?
 
Back
Top Bottom