Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

Kwa asilimia nyingi Waislamu tumechukua tamaduni za Kiarabu. Je, Uislamu ni Uarabu?

Tujikubali na asili zetu, tujivunie vyetu.

Dufu ni ngoma za waarabu, kuna ulazima upi kuacha kupiga ngoma zetu sisi za asili yetu Mdundiko, Lizombe,sindimmba,mganda,mdumange,msewe, ?
Nan kakwambia dufu ni uislam [emoji23]
 
Quran 10: 47. Na kila umma una Mtume. Alipo wajia Mtume wao walihukumiwa baina yao kwa uadilifu, wala hawa kudhulumiwa.
Angalia hii aya pia:

Quran 14: 4. Na hatukumtuma Mtume ila kwa ulimi wa kaumu yake ili apate kuwabainishia. Basi Allah humuacha akapotea amtakaye, na akamwongoa amtakaye. Naye ni Mtukufu Mwenye nguvu na Mwenye hikima.

Kama aya hizi ni kweli, basi Uislamu si kwa mashirika/ mataifa /ummah yasiyo ya Waarabu. Quran inasema kwamba kila watu wamepokea ujumbe wao kutoka kwa Mungu katika lugha yao wenyewe ili waweze kuelewa na Qur'ani akaishuka kwa Waarabu ili Waarabu waweze kulewa nini Allah anasema.
 
Hizo ndo story wanazokuambia, lakini ukweli ni kwamba uislamu ni dini Kama dini zingine inaanzishwa na tamaduni fulani kwa kusudi la kuendesha watu wa tamaduni hio... Sasa kutakuwa na Mungu wangapi Kama kila tamaduni imetokewa na Mungu wake sijui mlimani sijui pangoni na kila tamaduni Ina dini yake na sheria zake. Hizi ni sheria za watu Ila wanasema za Mungu ili watu waogope na kufata na kuwatishia kuwa baada ya kufa Kuna moto coz hamna mtu Ashawahi kurudi so utaogopa tu ila in reality hamna kitu Kama hicho

Nanukuu " kuwatishia kuwa baada ya kufa Kuna moto coz hamna mtu Ashawahi kurudi so utaogopa tu ila in reality hamna kitu Kama hicho"

Unasema in reality hamna kitu kama hicho.Kama hakuna mtu aliewah kurud umejuaje hamna kitu kama hicho?
 
Interview ya wapi🤣🤣? sijawahi kuvaa suti waliovaa walipigwa chini kwa vile vichwa empty.

Shoga yule wa Arusha kafungishwa ndo kanisani kwani hujui?
Mbona wewe ni upinde je bible ndo unakufundisha?

Au nikuletee viongozi wako wale sijui sangara sijui papa wanavaa suti na ndo Miungu yenu🤣🤣🤣.

Makanisani ni ruksa wanaume kuoana 🤣
😂Mimi sio mkristo we vipi? Na hoja zako za kitoto Sana, so we ukiona kanisa Arusha limefungisha ndoa ndo makanisa yote duniani ndo yanafungisha ndoa wanaume. 😂yaani hata mtoto wa la tano anakushinda hoja...hebu kua bac
😂Unavyosema upinde ndo nini, upinde sio mtu, ni rangi na kwenye physics zinasababishwa na refraction of light...ndo maana nakuambia Rudi hata form 2 upate elimu kidogo
 
Kuna makosa ZAIDI ya Elfu Moja kwenye Hilo likitabu LENU lililoshushwa na shetani.
Kuna makosa kwenye Quran pia...😂au mnataka kutuambia Kuna mbingu Saba na moto Saba, viumbe vimeumbwa viwili viwili, nyota hutulinda kutokana na majini, 😂hebu acha utajiabisha..🤣shahawa zinatoka kwenye UTI wa ubongo
 
😂Mimi sio mkristo we vipi? Na hoja zako za kitoto Sana, so we ukiona kanisa Arusha limefungisha ndoa ndo makanisa yote duniani ndo yanafungisha ndoa wanaume. 😂yaani hata mtoto wa la tano anakushinda hoja...hebu kua bac
😂Unavyosema upinde ndo nini, upinde sio mtu, ni rangi na kwenye physics zinasababishwa na refraction of light...ndo maana nakuambia Rudi hata form 2 upate elimu kidogo
🤣🤣Sasa si kanisa hilo yalianzishwa na wazungu ...Na hizo suti si wameanzisha wazungu

.
Nionyesha andiko yesu alivaa suti au wanafunzi wake ...Nikuonyesha neno kanzu kweny bible..

Unafuata mila za wazungu hamna dini ndo maana mnafungisha ndoa za wanaume 🤣🤣🤣hamna dini hapo ni mila za wazungu kuvaa nguo fupi hapo wakubwa wenu sijui ndo sangara wanavaa kanzu
 
Kwanza tukubaliane wewe sio muislam sawa?
Kama wewe Ni muislam misingi ya uisilam na uliyo yaorodhesha vinaendana?
Hamna Muislamu hapo, Mambo anayoyahoji yote yana majibu ya wazi kabisa kwa alie Muislamu, ameshindwa kujua kama Uislamu sio Uarabu.
Kwanza tukubaliane wewe sio muislam sawa?
Kama wewe Ni muislam misingi ya uisilam na uliyo yaorodhesha vinaendana?
 
uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?

Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.

Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.

Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam

Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam

taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.

Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau

lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.

mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
Mimi nikujibu tu kuwa Uislam sio Uarabu na
1. Kuvaa Kanzu au Kofia haikufanyi uwe muislam na ndio sababu mtu anaruhusiwa kusali bila vyote hivyo.
2. Vyakula ni uamuzi wako ili mradi kiwe halali hakuna mtu anakuzuia kupika au kula unachopenda
3. Quran unaweza kusoma yeyote unayo ielewa Vizuri ila kwa kuwa original version iliandikwa kwa kiarabu, kusoma ya Kiarabu ni nzuri zaidi kwani kwa lugha yoyote, kuna maneno hayana direct translation kutoka lugha moja kwenda nyingine.
4. Sala huendeshwa kwa lugha moja (Kiarabu) ili mtu aweze kushiriki ibada mahali popote duniani
 
Twtizo nini?

Wsislam dunia nzima mila yao ni moja tu mila ya Ibrahim AS.

Uwe Mwarsbu ysiwe Mwarabu ni mika hiyo hiyo tu.

Qur'an uwe China, Tanzania, USA, Urusi, Brazil, au kwenu sijuwi wapi? Inasomwa kwa lugha moja tu na haijawahi kubadilika. Muujiza.
Wewe usiye Muislam kinakuuma nini?

Pilipili iko shamba yakuwashiani?

FICHA UPUMBAVU WEWE.

MWAMEDI AMEISHI MIAKA YA 1500 ILIYOPITA.

IBRAHIMU AMEISHI MIAKA 5000 ILIYOPITA.

UISLAMU UNA MIAKA 1500,
NA ULIANZISHWA NA MOHAMED WAKATI IBRAHIM AMEKUFA MIAKA ZAIDI YA 3500.
Miaka Mingi kabla ya UISLAMU KUANZISHWA NA MWAMEDI
NA HADIJA KUSILIMU.
 
uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?

Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.

Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.

Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam

Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam

taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.

Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau

lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.

mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
[emoji23][emoji23][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
FICHA UPUMBAVU WEWE.

MWAMEDI AMEISHI MIAKA YA 1500 ILIYOPITA.

IBRAHIMU AMEISHI MIAKA 5000 ILIYOPITA.

UISLAMU UNA MIAKA 1500,
NA ULIANZISHWA NA MOHAMED WAKATI IBRAHIM AMEKUFA MIAKA ZAIDI YA 3500.
Miaka Mingi kabla ya UISLAMU KUANZISHWA NA MWAMEDI
NA HADIJA KUSILIMU.
IsomeQur'an kijana, utaiona raha yake.

Imekuja kuweka sawa mambo yote yaliyodanganywa na waandishi wa biblia. Qur'an ndiyo "criterion". Muujiza.

Unajuwa maana ya neno Uislam?
 
Unarudi kule kule...
Waislam wa wapi kwao kupiga Dufu Ni lazima?

Ukisema lazima/sharti maanake lipo katika misingi ya uislam SI ndio?
Haya sasa wapi dufu Ni lazima kiasi kwamba linatengua ngoma zetu?
We hujamuelewa unayemjibu
 
Quran 36: 5. Uteremsho wa Mwenye nguvu, Mwenye kurehemu. 6. Ili uwaonye watu ambao baba zao hawakuonywa , basi wao wamekuwa wenye kughafilika.

Hizi aya zimekamilka na kueleza kiuwazi kuhusu kuja kwake kwa Waarabu pekee.
Allah katika Koran anasema kwamba kila watu wamekuwa na Mtume wao wenyewe ambao aliwaonya katika lugha zao wenyewe, na kwamba amemtuma Muhammad kwa wale ambao bado hawajaanza mwongozo wowote, na ambao baba zao hawakuonywa, yaani Waarabu.

Kwa njia hii watakuwa hawana udhuru wowote na hawezi kusema, lakini hatukuwai kupokea ujumbe wowote.

Endelea kusoma Koran hapa chini:
Quran 6: 156. Msije mkasema: Hakika mataifa mawili kabla yetu yameteremshiwa Kitabu; na sisi tulikuwa hatuna khabari ya waliyo kuwa wakiyasoma. 157. Au mkasema: Lau kuwa tumeteremshiwa sisi Kitabu tungeli kuwa waongofu zaidi kuliko wao. Basi imekufikieni bayana kutoka kwa Mola wenu Mlezi, na uwongofu, na rehema. Basi nani aliye dhaalimu mkubwa zaidi kuliko yule anaye kanusha Ishara za Mwenyezi Mungu, na akajitenga nazo
 
uarabu una mila na desturi zake na uislam una sheria zake lakini huku kwenye uislam tumekomba mpaka uarabu, nimeuliza swali uislamu ni uarabu?

Majina - yani mpaka jina la ukoo linanyofolewa.

Kutukuza waarabu - kuwa na dhana potofu kwamba waarabu ni ndugu zake Mwenyezi Mungu, kuiita ngozi ya kiarabu ngozi ya mtume, mwarabu akitaka kitu flani ni ngumu kumkatalia, akikosea kitu flani rahisi kumsamehe.

Mavazi - Kudhani kwamba kanzu ni uislam

Dufu - Ngoma hii wengi huipiga hasa kwenye sherehe kudhani ni uislam

taratibu za Kuoa - Kuvaa kanzu huku kiunoni kuna jambia la vitani kudhani ndio uislam.

Vyakula - kikiwa kina asili ya uarabuni mfano biriani kitapewa heshima zaidi kuliko pilau

lugha - Kusoma quran kwa kiarabu hata kama huelewi, kusalimiana kwa kiarabu, n.k.

mtume angekuwa mchina tungevaa kishaolin temple na tungekuwa na vidoti sita au kadhaa kwenye makomwe yetu ?
Kama kweli mods wanajali heshima na kufunga nyuzi kwa hekima basi huu wa kwako wala usingefika hapa ulipo.Umekosa heshima na kuwa jeuri hata kwa muumba wako.Unasema kuna watu wanaamini waarabu ni ndugu wa Mwenyezi Mungu.! Hakuna haja ya kujadili uarabu na uislamu hapo hapo upigwe marufuku kuandika kufru kama hii.
 
Nimesoma Quran iliyotafisiriwa kiswahili , Quran inatafisiri Islam maana yake kuwa karibu na Mungu ikimaanusha Islam ni utakatifu hamna sehemu imeandikwa kwenye Quran kwamba Islam ni uarabu ingawa wafuata dini ya Islamic wengi ni Arab zaidi sababu ya Ishmael kukimbilia uarabuni alikoekekezwa na Mwenyezi Mungu ili kunusuru ndoa ya baba yake Ibrahim.

Sasa hivi uislam umeenea Dunia nzima kwa sehemu kubwa. PM wa England ni Muislam na ulaya Sasa hivi kumejaa misikiti na waislam wa ulaya ,USA bunge lao lina waislam kitu ambacho karne ya 19 ilikuwa sio rahisi.
Niseme tu arabs kiasili wana history ya ujio wa Ishmael kama ambayo Israel inavyohusika na ukristo na ujio wa Yesu tu hayo mengine ni desturi hayahusuani na imani .
 
Back
Top Bottom