CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
IsomeQur'an kijana, utaiona raha yake.
Imekuja kuweka saa mabo yote yaliyodanganywa na waandishi wa biblia. WQur'an ndiyo "criterion".
UJINGA KATIKA DINI YA MOOD.
QURAN 34.44
QURAN 62.3
Quran 16.43.
Quran 16.125
Hizi Aya zoote zinakiridini/Imani ya UKRISTO na UYAHUDI vitabu vyao vilitanguli kabla Ya uislamu.
WAO WATAKWAMBIA MANABII WOTE NI WAISLAMU. NJE YA QURAN HAKUNA UISLAMU.
JARIBUNI KUAMINI VITABU VILIVYO TANGULIA.
Agano la kale katika Biblia limeandikwa miaka zaidi ya 3200 iliyopita wakati Agano Jipya limeandikwa miaka 2000.
Hiyo Quran imeandikwa miaka 1400 iliyopita.
Ukiwa na akili tu lazima ujuwe ni kipi kitabu cha ukweli.
UFUNUO UNAITA DINI HIYO NI SHIMO LA KUZIMU.