Ilikuwaje Allah na shetani ni ma neighbors?Hijja Hailipiwi Mkuu,
Kufikirika ndio Yakini Yenyewe,Mungu hawezi Mleta shetani Mkawa Mnamuona bali ataleta Dalili Za kufikirika za Uwepo wa shetani,Hizo Dalili Zitawasaidia wenye Akili Kujua uwepi wake.
Hata Mungu mwenyewe Ni Wa Kufikirika Kaleta Dalili za uwepi wake Wenye Akili na yakini Tunaamini Yupo.
Kurusha mawe kwenye All Kaaba Ndo Tulichoelekezea Kwenye Vitabu vyetu na katu Wewe Huna akili Kuzidi Kitabu chake.
Na kuna mwarabu mmoja alipaza sauti akisema. Huu ni utamaduni wetu kuvaa hivi wala hauhusiani na dini. Ni ngumu watu kuelewa kama vichwa vyao vimejaa upumbavu bila kufikiri. Hijabu mnatumia ni kujistiri ( saafi kabisa ) lakini si vazi la uislamu ndo maana ukienda nchi zingine za kiislamu hukuti mwanamke kajifunika kila sehemu as if Mungu aliumba mtu asiyetakiwa kujulikanaJibu swali kwa uelewa wako,uislamu ni uarabu?
Kuna kisa kimewai tokea eneo flani hapa Tz,waarabu waliingia zao bar na kanzu zao,waswahili wakatahamaki na kuzua taharuki,walijibiwa kuwa wao ni waarabu wa kikristo na kanzu kwao ni vazi la kimila tu kama ilivo wamasai na shuka zao!!
Hahaaa!! Kama waislamu tu wanaliwa kiboga huko zenji nani arudi huko? Wewe ndo urudi kwenye dini ya mwanzo, ndo maana quran imeutaja ukristo na uyahudi lkn hizo dini hazjataja uislamu. Km uislamu ulikuwepo hapo mwanzo kabla ya hizo ulikuwa unatumia mwongozo upi?AlhamduliLlah leo Waislam wapo Arafa wakitimiza nguzo ya Yjslam ya Haj.
Tusisahau lei ni siku ya kujiombea ba kuwaombea Dua njema wengine wote, tulio hai na waliotangulia.
Pia tusisahau kuwaombea ndugu zetu wasio Waislam, asaa iwe heri nyoyo zao ziione nuru, warudi katika Uislam.
View attachment 2670498
James delicious ni muislam ? Aliyeolewa pale Arusha ndoa ya kanisani ni muislamu?Yule askari wa zanzibar alikuwa mkristu? Nioneshe biblia ilipoandika kufungisha ndoa za wanaume. Mkaidi kafanya ya kwake ndo uite ni ukristo?? Ulitaka akapigwe mawe wakati ukristu unasema usiue??
Tunskutakia siku njema, kuwa na amani.Hahaaa!! Kama waislamu tu wanaliwa kiboga huko zenji nani arudi huko? Wewe ndo urudi kwenye dini ya mwanzo, ndo maana quran imeutaja ukristo na uyahudi lkn hizo dini hazjataja uislamu. Km uislamu ulikuwepo hapo mwanzo kabla ya hizo ulikuwa unatumia mwongozo upi?
Jumba lipo limemtunza shetani na linapatikana uarabuni huko. Dunia hii jamaniIlikuwaje Allah na shetani ni ma neighbors?
Allah anadai yeye ni mungu alafu anasema wanawake wapigwe , wazi utajua Allah ni Muhammad na Muhammad ni Allah, Mungu hawezi kuongea ujinga huu3.Ubaguzi wa Wanawake,Hakuna kitu Kama hicho kwa Waaarabu Ila Mwanamke Hawezi Kuwa Juu ya Mwanaume
Hujachelewa rudi palipo na Mungu wa haki. Shetani hapondi mawe, anakemewa kwa jina la Muumba.Tunskutakia siku njema, kuwa na amani.
AlhamduliLlah, leo Waislam wapo Arafa wakitimiza nguzo ya Uislam ya Haj.Nyie mnataka ardhi kubwa ya nini wakati keshokutwa mnakwenda kupewa bikra 7 ughaibuni?
Allah ni katili sana huyo kwa viumbe vyake.Allah anadai yeye ni mungu alafu anasema wanawake wapigwe , wazi utajua Allah ni Muhammad na Muhammad ni Allah, Mungu hawezi kuongea ujinga huu
Koran 4:34.... Basi wanawake wema ni wale wenye kut'ii na wanao jilinda hata katika siri kwa kuwa Allah ameamrisha wajilinde. Na ambao mnachelea kutoka katika ut'iifu wanasihini, muwahame katika malazi na wapigeni
Jina lipi hilo?Hujachelewa rudi palipo na Mungu wa haki. Shetani hapondi mawe, anakemewa kwa jina la Muumba.
Mungu baba muumba wa mbingu na dunia. Aliyemtuma Yesu kristo aliyeshinda hadi mauti na kufufuka ktk wafu. Na kumuacha roho mtakatifu atulinde, ulishaokolewa na Yesu kristo utamuadhibu shetani hata ukiwa huko zanzibar siyo lazima uende kumponda maweJina lipi hilo?
kuna nguvu kubwa sana kupitia jina la Yesu. Hadi majini hukimbia wasikiapo jina hilo.AlhamduliLlah, leo Waislam wapo Arafa wakitimiza nguzo ya Uislam ya Haj.
Tusisahau leo ni siku ya kujiombea na kuwaombea Dua njema wengine wote, tulio hai na waliotangulia.
Pia tusisahau kuwaombea ndugu zetu wasio Waislam, asaa iwe heri nyoyo zao ziione nuru, warudi katika Uislam.
View attachment 2670498
Suleiman kwenye biblia alikuwa mfalme na alitenda madhambi na wala hakuagizwa na Mungu wa wakristo, mwisho wa siku alijutia SanaMbona Suleimani alikuwa nao zaidi Ya Hao,Shida Iko wapi kwa mtume wa Mungu.Mm sishangai Hapo Uliowataja hata wangekuwa zaidi Ningeona sawa tu.
Huyo naye muislamu na anasema karuhusiwa je ni kweli?[emoji1787][emoji1787]Sasa si kanisa hilo yalianzishwa na wazungu ...Na hizo suti si wameanzisha wazungu
.
Nionyesha andiko yesu alivaa suti au wanafunzi wake ...Nikuonyesha neno kanzu kweny bible..
Unafuata mila za wazungu hamna dini ndo maana mnafungisha ndoa za wanaume [emoji1787][emoji1787][emoji1787]hamna dini hapo ni mila za wazungu kuvaa nguo fupi hapo wakubwa wenu sijui ndo sangara wanavaa kanzu
Huyu Lah ni nani?AlhamduliLlah, leo Waislam wapo Arafa wakitimiza nguzo ya Uislam ya Haj.
Kwa hiyo mtume wa Allah kakuta ma pedophile na ma child molester kaungana nayo tena na yeye kaoa katoto ka miaka 6Mtume Muhammad (S.A.W) kumuoa Aisha Akiwa Na Umri Wa miaka 9 Ni Amri kutoka Kwa Allah Pia Watu wa Miaka 1400 Iliyopita si sawa na Wa sasa.Haikuwa Kitu Cha Ajabu Kipindi Hicho Kwenye jamii Mtu Kuoa Msichana Wa miaka 9.
SAsa ndo umejibu nini? Wewe uliye soma maana ya dini toa elimu tueleweKasome kwanza Tafsiri ya Neno Dini
Kisha Uje kuuliza ulichouliza
Eti enzi hizo walikuwa ni magiant!! Wakati mtume kamuoa khadija wa miaka 40 ameshazaa watoto wawili akakuta wazungu hawamo akaingia kwa vitoto miaka 6-9. Miaka hii bado wanaingia mahakamani kuhalalisha ndoa za watoto sijui haraka za nini?Kwa hiyo mtume wa Allah kakuta ma pedophile na ma child molester kaungana nayo tena na yeye kaoa katoto ka miaka 6
Mpuuzi angekuwepo kipindi hichi ni jela maisha na viboko 12 na dini yake ingeishia apo