Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio hao ni wanaume kwa wanaume au ni malaika?? Acha upotoshajiNi Jambo jema lakini kwa Karne hii mtihani mkubwa ni kumpata mwanamke atakayekubali kufunga ndoa bila sherehe kubwa. Wengi wanataka sherehe ya kifahari, msafara wa magari na miosho mingi ili mji mzima wajue kuwa ameolewa. Ukigusia swala la ndoa bila sherehe wanakukimbia
Hatukosi kukosoaHongera zao , Ila kwa mfululizo wa picha naona tukio nalo lilikuwa staged ,
Sio mbaya Ila Kuna namna wangeweza kuwa cheap zaidi .
Umejuaje mkuu Kama wazazi wahakuwepo hapoInatia huruma nilichokiona hapo ni kuwa maharusi wanajioza hawaozwi na wazazi wala ndugu tofauti na makanisa mengine
Hiyo si nzuri kwa mahusiano ya wazazi na ndugu .Yaani kweli watu wanaoana hawana hata mzazi au ndugu wa kuwasindikiza wakishaoana wanaondoka kama wakiwa au yatima.Hivi kwa mtindo huo kuna hata mkwe au mzazi au ndugu atakwenda kukanyaga nyumbani kwa maharusi?
Huo mfumo unaua kabisa undugu.Wanatakiwa kuozwa sio kujioza ndio maana hata michango huwa haiitishwi na wanaooana huitishwa na wazazi au ndugu
Hata kipindi cha Yesu harusi zilikuwa sherehe mfano harusi ya kana
Hilo la watu kujiondokea tu utafikiri vibaka na kukimbilia daladala ni kudhalilisha ndoa
issue sio kuwepo kuhudhuria ibada ya kufunga harusi ila huo uondokaji una walakini na umeficha mengi ! Walitakiwa kusidikizwa na ndugu hata kama wanaenda kwaoUmejuaje mkuu Kama wazazi wahakuwepo hapo
pengine nao wameondoka na usafiri wao au wanawasubili nyumbaniissue sio kuwepo kuhudhuria ibada ya kufunga harusi ila huo uondokaji una walakini na umeficha mengi ! Walitakiwa kusidikizwa na ndugu hata kama wanaenda kwao
Wamekaa kikiwa mno sio sawa mtu mwenye wazazi na ndugu na majirani na marafiki kuondoka hivyo kuna walakini!!!
issue sio kuwepo kuhudhuria ibada ya kufunga harusi ila huo uondokaji una walakini na umeficha mengi ! Walitakiwa kusidikizwa na ndugu hata kama wanaenda kwao
Wamekaa kikiwa mno sio sawa mtu mwenye wazazi na ndugu na majirani na marafiki kuondoka hivyo kuna walakini!!!
Kwa taarifa yako wazazi na ndugu ndio huhusika sio wanaooana !!! Maharusi huwa hawahusiki kwa sehemu kubwa anabakije na madeni wakati anaozwa na hajiozi?Hii ni nzuri sana, gharama za harusi huacha watu na madeni, hongereni sana maharusi na Mungu awabariki
Picha hizo zinajieleza wazi kabisa kuna tatizopengine nao wameondoka na usafiri wao au wanawasubili nyumbani
umeongea ukweli mkuu ambao wanawake wengi hawataki kuambiwa, nimesha wai kukombiwa live kabisa mkuu, nilienda mpaka kujitambulisha kwao, baadae nikamuambia kwanini tusifunge ndoa kanisani tukarudi nyumbani tukaweka bajeti ya watu 80 (40 upande wake 40 upande wangu ) tukafanya tafrija ndogo, mkuu ilikuwa vita, yule dada aliibuka na sauti ambayo sikuwai kuisikia kwa kusema rafki zake watamuonaje, kama ni ivyo bora ndoa yenyewe isiwepo, nikamuambia wasalimie, ni mwaka wa 4 sasaivi, na bado anasaga vumbi kutafuta ndoaNi Jambo jema lakini kwa Karne hii mtihani mkubwa ni kumpata mwanamke atakayekubali kufunga ndoa bila sherehe kubwa. Wengi wanataka sherehe ya kifahari, msafara wa magari na miosho mingi ili mji mzima wajue kuwa ameolewa. Ukigusia swala la ndoa bila sherehe wanakukimbia
Nimewapenda bure nitafanya mchakato wa kuamia hapo. Kwanini utumie mamillion kwa shughuri ya siku moja[emoji1787]
umasikini huo, hakuna hoja hapoVikao miezi 4, michango niyakuifukuzia, bajeti haiwiani na pesa mliyo ikusanya mnaingia madeni, kisa sherehe kubwaaa kama ya fulani mburaaaa, nikufunga ndoa halafu fyuuu jumbani kula kilichopo kesho yake kibaruani, wamependeza na kufanya lililojema.
Siwezi kupingana na wazo lako maana hata kipato tunapishana, kwangu mimi walichokifanya ni sawa maana mengi ni ufahari wa ulimwenguni tu mkuu.umasikini huo, hakuna hoja hapo
Mkuu Shift soma hii .na usirudie kubisha Mambo usiyoyafahamuumeongea ukweli mkuu ambao wanawake wengi hawataki kuambiwa, nimesha wai kukombiwa live kabisa mkuu, nilienda mpaka kujitambulisha kwao, baadae nikamuambia kwanini tusifunge ndoa kanisani tukarudi nyumbani tukaweka bajeti ya watu 80 (40 upande wake 40 upande wangu ) tukafanya tafrija ndogo, mkuu ilikuwa vita, yule dada aliibuka na sauti ambayo sikuwai kuisikia kwa kusema rafki zake watamuonaje, kama ni ivyo bora ndoa yenyewe isiwepo, nikamuambia wasalimie, ni mwaka wa 4 sasaivi, na bado anasaga vumbi kutafuta ndoa