Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

Kwahio Majizo yeye ni kibaka pia maana alifunga ndoa siku ya jumanne na kurudi ofisini kuendelea na ujenzi wa taifa. Bila msafara wala mbwembwe.
Issue siyo namna walivyofanya Kwasababu Kwasababu binafsi najua ndoa siyo gharama.

Gharama huwa zinakuja kwenye Sherehe kitu ambacho ni option.

Kila siku watu wanafunga ndoa kwa wakuu wa wilaya kwabkujaza tu fomu na kusepa.

Hili tukio linaonekana ni staged, na kiki zinahusika. There is no way unaweza kui-entertain umasikini kwa namna yoyote kama hawa wanavyotaka kufanya.

Kwanza wamesema, ndoa zilizofungwa ni 21, then why this couple ?????
 
Kama kuna utajiri,vikao vya nini kuanza kusumbua watu kuwaomba Michango!?
Ndio utaratibu tuliojiwekea..... yes ni element ya umasikini ukiwa na hela za kumwaga, nawaita watu waje kula na kunywa basi.......... nakubaliana na wewe ingawa wengie wasipochangia hawaji maana utawabeza....
 
Kama kuna utajiri,vikao vya nini kuanza kusumbua watu kuwaomba Michango!?
Michango ni sehemu ya mahusiano ndio maana hata akifa tajiri huwepo daftari la kuchangia watu wanachangia hata nia tano
 
ISSUE HAPA NI KUTAKA KUUFANYA UMASIKINI FASHION ZA KUJISIFIA/KUJIVUNIA. HICHO NDICHO NINACHOKIKATAA! SEMA SINA PESA NAPANDA DALADALA! NITAKUSIFU
Lakini pesa ya daladala si anayo!? Kuna wengine hata hiyo pesa ya daladala hawana!!
 
Hongera sana kwa maharusi, tunapaswa kujifunza kupunguza ama kuacha kufanya sherehe za garama na usumbufu mkubwa kwa wadau.Kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.
 
Issue siyo namna walivyofanya Kwasababu Kwasababu binafsi najua ndoa siyo gharama.

Gharama huwa zinakuja kwenye Sherehe kitu ambacho ni option.

Kila siku watu wanafunga ndoa kwa wakuu wa wilaya kwabkujaza tu fomu na kusepa.

Hili tukio linaonekana ni staged, na kiki zinahusika. There is no way unaweza kui-entertain umasikini kwa namna yoyote kama hawa wanavyotaka kufanya.

Kwanza wamesema, ndoa zilizofungwa ni 21, then why this couple ?????
Usiwabeze mkuu sababu miongoni mwa hao jamaa hapo huenda kuna ambao wana pesa ya kutosha tu sema sio watu wa kutaka ufahari.

Kupanda daladala sio umaskini ni maamuzi tu. Mi nina usafiri binafsi ila kuna siku naamua tu kupanda daladala. Na hata ndoa yangu nimeplan kufunga ya style hio. Kwenda kanisani tu au kwa mkuu wa wilaya na kuapishwa kisha nachukua cheti na mke wangu tunaishia zetu.

Kama ni tafrija basi ni ya ndugu wa karibu wa mke tu na wa kwangu. Ila sio zile za kuchangisha watu. Ntaifund mwenyewe.
 
Umeambiwa mashahidi walikua 42..na umejuaaje kama wazazi wa onde zote mbili hawajui mkuu?

Ila sawa maoni yake yaheshimiwe pia.
Inatia huruma nilichokiona hapo ni kuwa maharusi wanajioza hawaozwi na wazazi wala ndugu tofauti na makanisa mengine

Hiyo si nzuri kwa mahusiano ya wazazi na ndugu .Yaani kweli watu wanaoana hawana hata mzazi au ndugu wa kuwasindikiza wakishaoana wanaondoka kama wakiwa au yatima.Hivi kwa mtindo huo kuna hata mkwe au mzazi au ndugu atakwenda kukanyaga nyumbani kwa maharusi?

Huo mfumo unaua kabisa undugu.Wanatakiwa kuozwa sio kujioza ndio maana hata michango huwa haiitishwi na wanaooana huitishwa na wazazi au ndugu

Hata kipindi cha Yesu harusi zilikuwa sherehe mfano harusi ya kana

Hilo la watu kujiondokea tu utafikiri vibaka na kukimbilia daladala na bodaboda ni kudhalilisha ndoa
 
ISSUE HAPA NI KUTAKA KUUFANYA UMASIKINI FASHION ZA KUJISIFIA/KUJIVUNIA. HICHO NDICHO NINACHOKIKATAA! SEMA SINA PESA NAPANDA DALADALA! NITAKUSIFU
Asilimia kubwa ya hizo ndoa 21 waliofunga hizo ndoa ni maskini sababu mleta mada kasema mwenye gari alikuwa mmoja tu na mwenye bodaboda mmoja tu .Lakini hao watu waliooana si maskini tu wa kipato lakini pia ni maskini wa mahusiano ndio maana huoni wazazi wala ndugu wala marafiki wala majirani wa kuwasindikiza wanajiendea wenyewe!!!! Wana umadkini mara mbili.Social relation life wako zero

Hizo ndoa Mungu tu azisaidie kwa kweli
 
Usiwabeze mkuu sababu miongoni mwa hao jamaa hapo huenda kuna ambao wana pesa ya kutosha tu sema sio watu wa kutaka ufahari.

Kupanda daladala sio umaskini ni maamuzi tu. Mi nina usafiri binafsi ila kuna siku naamua tu kupanda daladala. Na hata ndoa yangu nimeplan kufunga ya style hio. Kwenda kanisani tu au kwa mkuu wa wilaya na kuapishwa kisha nachukua cheti na mke wangu tunaishia zetu.

Kama ni tafrija basi ni ya ndugu wa karibu wa mke tu na wa kwangu. Ila sio zile za kuchangisha watu. Ntaifund mwenyewe.
Sibezi namna walivyofanya. Ila sikubaliani na kiki za mapichapicha mitandaoni. Kwasababu inaonekana hii mipicha ina Baraka za kanisa kabisa
 
Labda hizo picha zitawafanya na Vijana wengine waliokua wanataka kuowana,waowane haraka,bila kuanza kuhangaika na Michango!!
Watu tu hawapendi kuoa. Gharama hazijawahi kuwa kikwazo.

Hao kina Diamond hawana pesa za kuoa ????

Mbona harusi zinafungwa huku mitaani nyingi tu, mtu ana godoro katandika chini, mali elfu 70 maisha yanaendelea.

Waulize hao maharusi kama michango kanisani hawatoi ???

Tena kwa Kakobe kuna sadaka zaidi ya 4 na sadaka ya sarafu pale haitakiwi!!!
 
Umeambiwa mashahidi walikua 42..na umejuaaje kama wazazi wa onde zote mbili hawajui mkuu?

Ila sawa maoni yake yaheshimiwe pia.
Huo uondokaji wa maharusi unajieleza wenyewe kuwa hakuba cha ndugu wala jirani wala wazazi wala marafiki wa kusindikiza watoto wao baada ya ndoa kanisani!!! aisee yaani hata waumini wenzao tu kuwasindikiza hakuna!!!! Hii kali.Mungu awasaidie kwenye maisha yao ya upweke waliyoanza nayo kanisani kwenye ndoa yao

Hii kitu wazazi na ndugu na marafiki na majirani wanaowafahamu wakiziona hizi picha wengi roho zitawauma sana yaani siku ya ndoa watu wanakuwa wakiwa hivyo inatia huruma
 
Sasa ungesimuliwa hii story bila ushahidi wa picha ungeamini?
Mkuu mimi nimesali sana kwa Kakobe hapo mwaka 2014/2015.

Pia harusi za hivyo au cheapest kuliko hizo ni nyingi tu huku mtaani kwetu.

Kijijini kwetu kuna jamaa alikuwa 44 of age hata mahali hana, akataka kumwoa mtoto wa mchungaji wetu alikuwa, binti 25.

Ikabidi mchungaji amkopeshe ( yaani amfungishe ndoa tu freely ) mahari akipata ataleta.

Tena ilikuwa tu Jumamosi wakala viapo wakasepa.

Sioni kama ni jambo la kushangaza sana.
 
Nchi hii ni ngumu sana mkuu. Pamoja na hawa watu hawa kurahisisha mambo bado watu wanaona haitoshi na picha wasingepigwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nchi ni ngumu haswaa...Yani hawa raia wameamua kukaza ubongo kwamba hata picha hawakutakiwa kupiga.

Unajua pengine umekuwa ni utamaduni wa muda mrefu tu hapo kanisani ila sasa mtu kaamua kuufanya habari ila nalo limekuwa nongwa. Hivi kweli unaweza kuoa ukiwa maskini yani 0.000% kimaisha? Huyo mke utamlisha nini?
 
Back
Top Bottom