Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... tatizo sio ndoa wala kipato; tatizo ni publicity. Kuna ujumbe gani wanataka ku-convey kwa jamii? Unadhani ni wao tu hufunga ndoa za makundi? Makanisa yote yana taratibu za aina hiyo. Mnafungishwa then mnasepa zenu kuendelea na majukumu mengine bila publicity.Aisee safi sana,,nimeipenda hiyo.Japo ndoa ni sherehe muhimu sana kwa binadamu lakini kama uwezo hamna isilazimishwe sherehe watu wakaingia madeni....Hongera Askofu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nchi ni ngumu haswaa...Yani hawa raia wameamua kukaza ubongo kwamba hata picha hawakutakiwa kupiga.
Unajua pengine umekuwa ni utamaduni wa muda mrefu tu hapo kanisani ila sasa mtu kaamua kuufanya habari ila nalo limekuwa nongwa. Hivi kweli unaweza kuoa ukiwa maskini yani 0.000% kimaisha? Huyo mke utamlisha nini?
Publicity ndio utandawazi wenyewe mkuu😝!... tatizo sio ndoa wala kipato; tatizo ni publicity. Kuna ujumbe gani wanataka ku-convey kwa jamii? Unadhani ni wao tu hufunga ndoa za makundi? Makanisa yote yana taratibu za aina hiyo. Mnafungishwa then mnasepa zenu kuendelea na majukumu mengine bila publicity.
Huyo msichana na mchungaji wote wajinga kabisa mtu hana kitu unaoza mwanao ataishije huko si atakufa njaa.Mchungaji hakumtendea haki binti yake na binti hakujitendea haki kabisaMkuu mimi nimesali sana kwa Kakobe hapo mwaka 2014/2015.
Pia harusi za hivyo au cheapest kuliko hizo ni nyingi tu huku mtaani kwetu.
Kijijini kwetu kuna jamaa alikuwa 44 of age hata mahali hana, akataka kumwoa mtoto wa mchungaji wetu alikuwa, binti 25.
Ikabidi mchungaji amkopeshe ( yaani amfungishe ndoa tu freely ) mahari akipata ataleta.
Tena ilikuwa tu Jumamosi wakala viapo wakasepa.
Sioni kama ni jambo la kushangaza sana.
Hahahah watakula madhabahuni mkuu, sababu watu wa design hio ndio wale waimba kwaya na wadekiji kanisa😂😝😝Huyo msichana na mchungaji wote wainga kabisa mtu hana kitu unaoza mwanao ataishije huko si atakufa njaa.Mchungaji hakumtendea haki binti yake na binti hakujitendea haki kabisa
mtu hana kitu akatafute kwanza
Yule jamaa inaonekana ni wale wazee wa shule mpaka wanajisahau. Unasoma weee, wakati huna kazi au kipato CHOCHOTE.Huyo msichana na mchungaji wote wainga kabisa mtu hana kitu unaoza mwanao ataishije huko si atakufa njaa.Mchungaji hakumtendea haki binti yake na binti hakujitendea haki kabisa
mtu hana kitu akatafute kwanza
... kama wameamua kuzingatia kanuni ya "biashara ni matangazo" hapo sawa Mkuu kama wako kibiashara zaidi.Publicity ndio utandawazi wenyewe mkuu😝!
Sasa bila wao kupost si tungejuaje kuna ndoa za hivyo kwa kakobe
Uislam dini nzuri sana kwenye upande wa kuoa 😂😂😂,,, pisi 4 za kwenda ruksa kuzimiliki kwa gharama ya chupa za chai na mandazi tu.Mnichukulie mtakavyonichukulia ila hichi kitendo kingekuwa kinafanywa na madhehebu mengine ya kikristo vijana tusingesita kuoa kwa ndoa takatifu bila ya gharama kubwa kama mara kamati mara mapambo sijui ukumbi that is nothing!..angalia wenzetu ndoa za kiislamu zilivyo cheap ku afford yani baada ya kukubaliana ata kutanguliza mahali shekh anaitwa mkeka unawekwa ndoa inafungwa kiukweli huwa napendezwa sana watu wakila wali wa kawaida kabisa.Hata leo hii tuseme tupige paranja la vijana kwa sisi WAKRISTO na WAISLAMU waislamu wengi wamefunga ndoa🙏🙏🙏🙏
Huo uondokaji wa maharusi unajieleza wenyewe kuwa hakuba cha ndugu wala jirani wala wazazi wala marafiki wa kusindikiza watoto wao baada ya ndoa kanisani!!! aisee yaani hata waumini wenzao tu kuwasindikiza hakuna!!!! Hii kali.Mungu awasaidie kwenye maisha yao ya upweke waliyoanza nayo kanisani kwenye ndoa yao
Hii kitu wazazi na ndugu na marafiki na majirani wanaowafahamu wakiziona hizi picha wengi roho zitawauma sana yaani siku ya ndoa watu wanakuwa wakiwa hivyo inatia huruma
Tatizo si umri tatizo hana kitu atatesa mtoto wa watu mchungaji alitakiwa amweleze live huna kitu huwezi oa binti yangu atakosa matubzo kwako na utaingia kwenye dhambi sababu Biblia inasema mtu asiyetunza wa kwao ni mbaya kuliko asiyeaminiYule jamaa inaonekana ni wale wazee wa shule mpaka wanajisahau. Unasoma weee, wakati huna kazi au kipato CHOCHOTE.
Maana hata siku ya ndoa wazazi wake walikuwepo.
Pia mchungaji alihofu, maana unaweza kumkatalia mwanao kwa umri huo halafu akazalishwa nyumbani ikawa aibu kwake.
Tofautisha kati ya NDOA na SHEREHE.Mnichukulie mtakavyonichukulia ila hichi kitendo kingekuwa kinafanywa na madhehebu mengine ya kikristo vijana tusingesita kuoa kwa ndoa takatifu bila ya gharama kubwa kama mara kamati mara mapambo sijui ukumbi that is nothing!..angalia wenzetu ndoa za kiislamu zilivyo cheap ku afford yani baada ya kukubaliana ata kutanguliza mahali shekh anaitwa mkeka unawekwa ndoa inafungwa kiukweli huwa napendezwa sana watu wakila wali wa kawaida kabisa.Hata leo hii tuseme tupige paranja la vijana kwa sisi WAKRISTO na WAISLAMU waislamu wengi wamefunga ndoa🙏🙏🙏🙏
Mbona hamkuwasindikiza kupanda daladala na bodaboda mlijificha wapi?Mimi ni miongoni mwa ndugu niliekuwepo. Ndugu tulikuwa wengi sana.
Yaani huo ni utaratibu wa kimasikini,umewalemaza watu wengi sana,hadi wengine wakiwa na birthday party nao wanataka wachangishe Michango pia!! Sherehe ni yako zama mfukoni mwako alafu fanya Mambo watu wako wafurahi kuliko kuwakera na Michango ya hovyo!!Ndio utaratibu tuliojiwekea..... yes ni element ya umasikini ukiwa na hela za kumwaga, nawaita watu waje kula na kunywa basi.......... nakubaliana na wewe ingawa wengie wasipochangia hawaji maana utawabeza....
Kuna watu wengi tu wanaoa, halafu wanakaa nyumbani.Tatizo si umri tatizo hana kitu atatesa mtoto wa watu mchungaji alitakiwa amweleze live huna kitu huwezi oa binti yangu atakosa matubzo kwako na utaingia kwenye dhambi sababu Biblia inasema mtu asiyetunza wa kwao ni mbaya kuliko asiyeamini
Huyo mzee hakutakiwa kuozwa mke hana kitu huyo
pilau huliwa sana mkuu Maharusi husindikizwa na ndugu marafiki majirani nk sherehe huwepoUislam dini nzuri sana kwenye upande wa kuoa 😂😂😂,,, pisi 4 za kwenda ruksa kuzimiliki kwa gharama ya chupa za chai na mandazi tu.