Kwa bajeti ya 10M - 12M naweza kupata gari gani used kutoka Japan?

Chukua chuma hiki,kitakufaa kabisa kwa bajeti yako

TRA Used Motor Vehicle Valuation Details
Reference Number:22233056322
Make:MAZDA
Model:DEMIO - DE3/DE5
Body Type:HATCHBACK
Year of Manufacture:2008
Country:JAPAN
Fuel Type:PETROL
Engine Capacity:1001 - 1500 CC
Customs Value CIF (USD):1,779.97
Import Duty (USD):444.99
Excise Duty (USD):111.25
Excise Duty due to Age (USD):667.49
VAT (USD):582.30
Custom Processing Fee (USD):10.68
Railway Dev Levy (USD):26.70
Total Import Taxes (USD):1,843.41
Total Import Taxes (TSHS):4,278,308.42
Vehicle Registration Fee (TSHS):450,000.00
TOTAL TAXES (TSHS):4,728,308.42
 
Sijui kwa nini mimi mwenyewe siipendi kabisa. Imekaa kama bata. Hata kwenye ramani haipo. Achukue Raum,ukiwa mwaminifu kwenye magari itakubeba. Ila sina uhakika kwa 12m. Nahisi inacheza 15

Kwa sababu anakaa rough road sana Carina T.i pia itamfaa sana Ile chuma ni ngumu body yake raum Barbara mbovu inachoka vibaya Yani .
 
Ana familia ya watu 6.
 

Ongeza 1M agiza Carina TI
Huwezi pata 7seater kwa hiyo budget za ya kupigwa
Au uamue kumvua mtu Wish au Sienta thou kwa hayo mazingira zitakutesa.

Ningekuwa mimi ndo wew ningevumilia kidogo nkajichanga ikafika 16 afu nkavuta Honda CrossRoad[emoji119]

Kwa maelezo yako yanaangukia kene iyo Honda basi
 
Unataka aue familia Disemba wakati anaenda kijijini umbali wa km 1150?
 
Ushauri wangu ongeza hela upate chombo kizuri utaenda kwa wajanja watakushikisha kisa hela ndogo na unataka kitu kizuri. Au nunua mkononi zipo gari hadi za lakitisa😆😆😆
Niongeze tsh ngapi kwenye hiyo bajeti yangu nipate kitu kizuri? Unashauri gari gani mkuu? Hembu funguka kidogo
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…