Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Clearance kati ya 300,000 mpaka 500,000Wakuu kwema? Baadna ya kupita pita kwenye mitandao nimekutana na subaru forester x20 ya mwaka 2003, cc 1990, TA-SG5 kutoka Japan. Gharama yake inafika 13.5m. Naomba kujua kuna gharama gani zingine ukiacha hizi za CRF + TRA?. Pia, nimepata Spacio new model kwa 10.5, hii ni ya kumvua mtu, ipo Dar, naombeni ushauri kuhusiana na hizi gari 2
Clearance kati ya 300,000 mpaka 500,000
Usajiri 500,000
Bima, hii hutegemea unataka kukata bima aina gani.
Service ya awali kabla hujaanza kuitumia.
Kununua taili kama zilizopo si nzuri.
Mafuta ya kuanzia.
All the best
Safi, gari zako bei nzuriToyota IST
Year: 2003
Cc 1300
16.5 Mil
SPORTS RIM
Registration freeView attachment 2594152View attachment 2594155View attachment 2594156View attachment 2594157View attachment 2594160View attachment 2594161View attachment 2594162
Huwa ni shingapi????Port charges hujaweka
Hizo gharama za clearance na usajiri hazijumuishwi kwenye malipo ya TRA?Clearance kati ya 300,000 mpaka 500,000
Usajiri 500,000
Bima, hii hutegemea unataka kukata bima aina gani.
Service ya awali kabla hujaanza kuitumia.
Kununua taili kama zilizopo si nzuri.
Mafuta ya kuanzia.
All the best
Bima nimeona ipo included kwenye gharama za ununuzi kwa kampuni ya SBT Tanzania, ni USD 30. Sasa hiyo sijui ni aina gani ya bima?Clearance kati ya 300,000 mpaka 500,000
Usajiri 500,000
Bima, hii hutegemea unataka kukata bima aina gani.
Service ya awali kabla hujaanza kuitumia.
Kununua taili kama zilizopo si nzuri.
Mafuta ya kuanzia.
All the best
Gharama za clearance hazihusiki huko TRA. Hiyo kazi hufanywa na kampuni au mtu binafsi. Inawezekana ikafanywa na kampuni ambayo umenunua gari kwao, au ikafanywa na kampuni nyingine.Hizo gharama za clearance na usajiri hazijumuishwi kwenye malipo ya TRA?
Gari hutakiwa kufanyiwa clearance ndani ya siku 7 tangu lifike. Zikipita siku 7, unaanza kulipia port charges. Kama unaagiza gari, lipia hadi gharama za clearance. Wao watakupigia tu ukachukue gari lako ofisini kwao wakiwa wamemaliza kila kitu.Nasikia hii unalipia kila siku. Kadri unavyochelewa kwenda kuchukua gari, ndivyo inazidi kuongezeka
Gari hutakiwa kufanyiwa clearance ndani ya siku 7 tangu lifike. Zikipita siku 7, unaanza kulipia port charges. Kama unaagiza gari, lipia hadi gharama za clearance. Wao watakupigia tu ukachukue gari lako ofisini kwao wakiwa wamemaliza kila kituNasikia hii unalipia kila siku. Kadri unavyochelewa kwenda kuchukua gari, ndivyo inazidi kuongezeka
Hiyo huwa ni bima ya safarini wakati meli inatoka huko iliko kuleta mzigo huku. Ikitokea meli imezama, basi wao wana jukumu la kukuletea gari jingine lenye thamani kama ile ya gari lililopita. Gari ikifika huku utatakiwa kuikatia bima ya huku. Utachagua sasa kati ya bima ndogo (laki na 18) au bima kubwa (3% ya thamani ya gari).Bima nimeona ipo included kwenye gharama za ununuzi kwa kampuni ya SBT Tanzania, ni USD 30. Sasa hiyo sijui ni aina gani ya bima?
Hutofautiana kati ya gari moja na jingine.Huwa ni shingapi????
Kama lengo kubwa ni fuel consumption, achana na magari yenye zaidi ya 1500cc. Mbali ya CIF na TRA, gharama nyingine ni za bima na bandarini (hizi in most cases huwa hazizidi milioni 1).Wakuu kwema? Baadna ya kupita pita kwenye mitandao nimekutana na subaru forester x20 ya mwaka 2003, cc 1990, TA-SG5 kutoka Japan. Gharama yake inafika 13.5m. Naomba kujua kuna gharama gani zingine ukiacha hizi za CRF + TRA?. Pia, nimepata Spacio new model kwa 10.5, hii ni ya kumvua mtu, ipo Dar, naombeni ushauri kuhusiana na hizi gari 2
Hivi haka kagari kanaitwaje
Usinunue gari l mkononi Tanzania hii.utajuta mtanzania akiuza kitu chake ujue kibovu kabisa kina msumbua. Kama huna pesa subilia upate kisha uagize nje tu.Wakuu kwema? Baadna ya kupita pita kwenye mitandao nimekutana na subaru forester x20 ya mwaka 2003, cc 1990, TA-SG5 kutoka Japan. Gharama yake inafika 13.5m. Naomba kujua kuna gharama gani zingine ukiacha hizi za CRF + TRA?. Pia, nimepata Spacio new model kwa 10.5, hii ni ya kumvua mtu, ipo Dar, naombeni ushauri kuhusiana na hizi gari 2