Kwa bajeti ya Tsh. 300,000/- naweza kununua simu gani nzuri mpya au used?

Ni simu nzuri sana hii nilitaka pia nii suggest achukue..
 
Shukrani sana ,naenda kuchukua ya laki Nne na elfu ishirini na tisa (429K) yenye RAM 8 storage 128 battery 5000 .

Fene natangaza rasmi kurudi kwenye gemu.
Gemu yako ya kwanza na mim katika simu mpya nakuahidi lazima nikuponde ili kujiongezea heshima
 
Aisee maisha yanatofautiana aisee sie wengine tunawaza kuongeza land cruiser hardtop nyingine kuna lijitu lla shule linawaza simu tu,ok mkuu nipe hiyo 300k nikupe note 10 yangu plus matata GB 256,RAM 12 ni pm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila JF bhana, raha sana
 
Just found this amazing item on AliExpress. Check it out! TZS322,506.45 50%OFF | Global Version Xiaomi Redmi Note 9 Pro Smartphone 6GB 64GB Snapdragon 720G Octa core 64MP Camera 5020 mAh 33W Charging

Chukua simu hii, utakuja kunishukuru sana.
 
Njoo inbox nikupatie hii sjmu full Box.
RAM 4 GB
Internal storage 64 GB
Kwa Tsh 300,000/= Tu
 
hii simu na ipata wapi kwa bongo?
Kwa wauzaji wa used hapa Bongo si rahisi kuipata labda jaribu kuchungulia mara kwa mara Jiji Online Shop mara moja moja huwa zinapatikana !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…