iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Ni simu nzuri sana hii nilitaka pia nii suggest achukue..Kwa used hii budget unapata xperia 5 II simu nzuri zaidi kwa hio budget sema around 330,000 ni sweet spot ila kama unaongea sana 320,000 pia waweza pata. Ina tick matumizi yako yote hayo. Sema display yake ni nyembamba halafu ndefu uangalie kwanza kama unaweza ishi na remote.
Kwa mpya redmi 12C sema camera ya kawaida sana. Ila storage, battery na display ukubwa vinakidhi mahitaji